Ni siku chache tu zimepita tangu Rais wa kwanza wa Zambia, Kenneth Kaunda afariki dunia akiwa na umri wa miaka 97.
Ameondoka duniani na kuacha vitu vingi vya kukumbukwa, lakini leo acha nikupe hili la mavazi, amefariki akiacha jina maarufu la kaunda suti, ambazo kwa sasa vijana, watoto na wazee...