kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Ukilifahamu hili hautamdharau mtu yeyote kwa kazi au cheo alichonacho

    Mungu alipomaliza kuiumba dunia na kisha kumuumba mwanadamu ambaye alipewa milki yote ya duniani ili aitunze na kuitawala aligawa majukumu kabla hatujauona uso wa Dunia. Sisi wanadamu tunahangahika kupata nafasi nzuri zenye kutukuka. Tunahangahika kupata vyeo vitamu vyenye kunguruma. kumbe kila...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ualimu masomo ya English na Geography

    Asalaaam alekyum. Apewe sifa yesu. Mimi ni mwalimu wa masomo la Kiingereza na Geography. Ninauzoefu wa kazi miaka 6. Ninauwezo mkubwa wa kumuongoza mwanafunzi vizuri mpaka akaelewa pasipo kukariri. Asante
  3. JamiiForums Tanzania A-Z yatikisa maonyesho mahala pa kazi Biteko kuzindua kesho rasmi Arusha

    Mwenyekiti wa bodi ya wakala wa usalama na afya mahali pa kazi Adelhelm James Meru ametembelea maonyesho ya mabanda katika viwanja vya General teyre Jijini Arusha kukagua mabanda pamoja na kujionea majukumu ya utekelezaji wa vifaa vinavyo tumika mahala pakazi kwa tahasisi mbali mbali za...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Afisa Kazi ni nani hasa? Anajishughulisha na nini na ofisi zao ziko wapi?

    Natumai mu wazima, kuna kipindi niliuliza watu mkakejeli, wengine mkafika mbali mkasema mimi kilaza, haya bana namshtakia Mungu (hapo natamka kwa sauti ya roma mkatoliki "Nipeni maua yangu"). Ni liuliza, naomba kujua AFISA KAZI ni nani, wanajishughulisha na nini hasa na ofisi zao zipo wapi?
  5. JamiiForums Tanzania Kitendo cha Walimu wengi Kuomba Kazi kuboresha Daftari la mpiga kura Basi ni kielelezo tosha Maslahi ya Walimu ni Duni...

    Wasalam mabibi na mababu... Toka tarehe 14/4/2024 Tume huru ya uchaguzi imetoa tangazo la nafasi za kazi za muda katika kuboresha Daftari la kudumu la mpiga Kura. Katika Jambo lililonishangaza ni kuona wimbi la walimu kuomba hizi nafasi, imani yangu inaniambia hizi ilikuwa n nafasi za kuomba...
  6. JamiiForums Tanzania Madini na kazi zake

    Katika ulimwengu wa sasa, kuna madini mengi ambayo yana umuhimu mkubwa kwa uchumi na viwanda. Hapa kuna baadhi ya madini muhimu: Dhahabu (Gold): Mdhahabu bado ni moja ya madini yenye thamani kubwa zaidi duniani. Hutumika kama akiba ya thamani, katika utengenezaji wa vito vya thamani, na pia...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Changamoto gani umewahi kutana nayo sehemu umejitolea kufanya kazi?

    Wakuu habari, Embu tujadili hili swala hapa. Mimi baada ya kumaliza form 6 niliamua kujitolea kwenye shule fulani hivi ya sekondari nikisubiri kujiunga na chuo kikuu. Sasa bwana pale kuna changamoto nilikutana nayo kwamba kuna supervisor wangu alinielewa. Mimi nikamkatia bwana kwa sababu...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote

    Habari zenu wakuu, Mimi ni kijana wa kitanzania ,mwenye nia ya kufanya mabadiliko kwa kuleta chachu ya maendeleo kwa kushiriki kulipa kodi na kufanya majukumu mengine kama raia Changamoto yangu ni kama vijana wengine wa kitanzania tuliozqliwa kwenye wimbi la umaskini kukosa hata mitaji ya...
  9. JamiiForums Tanzania Ewe Mwenyezi Mungu hujawahi Kuacha Kusikia na Kutendea Kazi Maombi yangu basi na leo tena hili Ombi langu Ulikubali na litokee kama nitakavyo

    "Ewe Baba Mwenyezi Mungu naomba fanya kila uwezalo Klabu yangu ya Simba SC isiishie kabisa katika Nafasi ya Tatu bali ishie nafasi ya ama ya Tano au ya Saba ili sasa Sisi Mashabiki na Wanachama Kwanza tuanze Kupigana wenyewe kwa wenyewe kisha Hasira zetu tuzihamishie kwa Viongozi wetu na baadae...
  10. JamiiForums Tanzania Muuguzi aliyesomea Afya ya Akili (Mental Health Nurse/Nurse Psychiatry) anaomba kazi

    Habari ndg... Kama utasikia au unahitaji mtaalamu kama huyu usisite kumtafuta Ana uzoefu wa kutoa huduma ya afya akili kama Asante Karibu
  11. JamiiForums Tanzania Fursa za kazi kwa chemical and process engineer Tanzania

    Habari wana jamii forum, chemical and process engineering ni kozi nzuri sana kwa sasa japo kupata nafasi ya kuajiriwa ndio changamoto. Naomba tutumie uzi huu kuandika fursa mbali mbali zinazohusiana na hii taaluma kwenye viwanda au taasisi mbali mbali.
  12. JamiiForums Tanzania Kutokana na hila zenu viongozi basi na sisi hatufanyi kazi vema

    Habari wanajukwaa.Juzi nimeenda hospitali ya serikali kupata tiba ya mteguko wa miguu baada ya mazungumzo ya awali Kati ya dokta na mgonjwa (diognosis)dokta akaniambia hawana vifaa pale ila nichukuwe namba yake atakuja kunitibu nyumbani na hakika alikuja. Na kunasiku tena nikamchek dokta fulani...
  13. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Aliyelikimbia Jeshi la Uganda (UPDF) atupwa gerezani miaka 35, mwingine afukuzwa kazi kwa kujipa likizo ya miaka mitano

    Pte Abraham Engwedu (kushoto) and Pte Stephen Jarili (kulia). Askari mwenye umri wa miaka 44 amehukumiwa miaka 35 jela baada ya kupatikana na hatia ya kuikimbia Jeshi la Ulinzi la Watu wa Uganda (UPDF). Mmoja wa wenzake ameukuzwa kutoka kwenye Jeshi baada ya kupatikana na hatia ya kutokuwepo...
  14. JamiiForums Tanzania Kazi ya upishi

    Habari wanajamii naitwa Samwel Mayala ninatafuta kazi za upishi ninauzoefu wa miaka 19 katika tansinia ya hotel ninaishi Dar es salaam NInapika chakula Cha aina mbali mbali kama vile chakula Cha wachina,wazungu pamoja na chakula Cha kihindi Kwa mawasiliano zaidi namba zangu ni...
  15. JamiiForums Tanzania Pesa wanayolipwa Polisi Trafiki na wafanyakazi wa TRA haiendani na maisha yao

    Hawa watu wanaofanya kazi katika hizo sekta Mara kwa Mara huwa nakutana nao. Ila kinachonishangaza kwao, kwa pesa wanazopata ukiondoa mishahara wanayolipwa hawa jamaa, wanapata pesa nyingi sana. Sasa maendeleo Yao na Pesa wanazopata haviendani, pia usiombe ukutanenao ukiwa na mzigo, kweli...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Kijana wangu amepata kazi Shirika la Good Neighbors na Halmashauri, aende wapi?

    Ni kitinda mimba wangu. Amepata kazi Serikalini kwenye Halmashauri moja Mkoani Shinyanga na pia kwenye Shirika linaitwa Good Neighbors Tanzania. Mishahara ni kama inalingana, aende wapi? Naomba ushauri wapendwa.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Unahitaji miaka mingapi ili ufanikiwe kupitia kazi yako?

    Haya nimejifunza mimi kupitia shughuli zangu na kuwaona pia wengine kwenye shughuli zao. Mafanikio ni mchakato na kila kazi ina njia zake kuna kazi zinamafanikio ya haraka na hata kupotea huja kwa haraka sana kupitia kazi zangu tatu ninazofanya nimejifunza haya. 1. Biashara, hii ni kazi ngumu...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa yeyote anayehitaji Chef nipo hapa

    Habari za Jumapili, Kwa yoyote anayehitaji chef tuwasiliane 0744054228/0657642225
  19. G

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na chini ya milioni 100 ni heri uiweke fixed account, Kujenga nyumba ya kukodisha ni ngumu kupiga hatua

    Umenunua kiwanja ukaanza kujenga nyumba from scraatch kwa milioni 100 unakuja kukodisha kwa laki 2 na nusu, hicho kiasi ni ngumu kukupigisha hatua, ni pesa itayokuwa inaishia kwenye bills za mwezi, hapo kumbuka kuna muda nyumba inaweza isiwe na mpangaji ama mpangaji akawa msumbufu, Ukiweka pesa...
  20. JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG, Kazi Inaendelea ya Kufuja Fedha za Umma

    Maeneo kumi (10) muhimu katika Uchambuzi wa Ripoti ya CAG mwaka 2022/23. Kama ambavyo tumekuwa tukifanya kila mwaka, uchambuzi wetu mwaka huu utajikita kwenye mambo kumi (10) ambayo tunaona ni muhimu Watanzania kuyatambua na tutayatolea mapendekezo ili yaweze kuchukuliwa hatua. Katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…