kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi dar

    .
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ile nina elimu ya education ila nimeahirisha mwaka

    Habari viongozi, Mimi ni kijana wa miaka 24 mkazi wa Dar, Nina ELIMU ya chuo kikuu na nimehairisha MWAKA kutokana na changamoto mbalimbali ila nahitaji kufanya KAZI itakayo nipa kipato ili niweze kukusanya pesa za Kuni somesha ,KAZI YOYOTE ila kikubwa iwe halali, namba 0785598033
  3. JamiiForums Tanzania Utumishi watangaza nafasi mbalimbali za kazi

    SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Kumb.Na.JA.9/259/01/A/539 24 Mei, 2024 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Mamlaka za Serikali ya Mtaa (LGA's) anakaribisha maombi ya kazi kutoka...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Kazi kwa vijana wawili

    Ofisi mpya inahitaji vijana wawili, mmoja kwa ajili ya kusimamia duka la viatu (wakike) na mwingine ni kwa ajili ya mauzo ya insurance. Ofisi ipo kinondoni vijana, Dar es salaam, mwombaji awe jirani na maeneo hayo awe na uwezo wa kuuza, kutumia computer kidogo na awe anajua tumia mitandao ya...
  5. JamiiForums Tanzania Weka kazi na kuwa na msimamo kujenga utajiri mkubwa

    Rafiki yangu mpendwa, Kwenye maisha, kile kinachoitwa ni mafanikio ya haraka, huwa ni kazi iliyofanyika kwa muda mrefu bila ya kuonekana. Kwa bahati mbaya sana, wakati watu wanaanzia chini kabisa na kupambana kufanikiwa huwa hawaonekani. Lakini wakishafanikiwa, wanaanza kusikika na kujulikana...
  6. JamiiForums Tanzania SoC04 Kuandaa mpango kazi juu ya upatikanaji wa vitambulisho online

    Mim nilikuwa nashauri serikali ianzishe mpango kazi mzurii juu ya kurahisisha upatikanaji wa vitambulisho kwa njia ya mtandaoni(online)ambapo mwananchi ataweza kuweka tarifa zake mtandaoni akiwa mahari popote nchini,ili kupunguza usumbufu wa wananchi kwenda ofisi za nida ambapo muda mwingnee...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kupata kazi ya uvuvi

    Habari wakuu, Mimi ni kijana wa miaka 24 mkazi wa apa dar es salaam naitaji kufanya KAZI ya uvuvi naomba mwenye connection anisaidie.
  8. JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Philemon Mollel: Kuteuliwa kwa Makonda ni fursa kwa wakazi wa Arusha kutatuliwa kero zao

    Askofu Dkt. Philemon Mollel (Monaban) , ambaye pia ni kada wa CCM, mfadhili mkuu wa CCM Arusha, anayejiita mtu wa kiroho, wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki[Aliasi kutoka KKKT akafungua Kanisa lake la KKTA] amesema kitendo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  9. JamiiForums Tanzania Makonda piga kazi baba usisikilize kelele za wabaya wanaokuteta mitandaoni

    Mh Makonda piga kazi baba usisikilize kelele za mafisadi wanaokuteta mitandaoni kumbuka kuwa binadamu hata umfanyie jema atakupaka mavi Ni hivi karibuni umeanza harakati za kuwafuata Wananchi na kusikiliza keo zao ikiwemo kutatua lakini mitandaoni humu tunaona watu wakijadili misafara yako...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimeomba kazi Polisi pamoja na Kampuni binafsi. Kwa wenye uzoefu, ni wapi niende?

    Naombeni mnisaidie ushauri, nimeapply Kazi sehem mbili, Ajira za polisi pamoja na private company as sales engineer. Kwa wenye uzoefu Ni wap niende.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kazi ya udereva bodaboda

    Habari wakuu, Mimi ni kijana umri miaka 24 mkazi wa dar mtaa wa external manispa ya ubungo,natafuta KAZI ya udereva boda boda iwe ya mkataba au daywaka ,namba 0785598033, ila leseni sina japo ni mzoefu na natarajia nitakata mwezi ujao
  12. JamiiForums Tanzania SoC04 Hizi hapo title za kufanyia utafiti/ research kwa ajili ya wanazuoni na wadau wengine, title ambazo hazijafanyiwa kazi mpaka Sasa kwa sector zote

    Habari za Leo tena, karibu katika jamvi la story of change, jukwaa linaloibua mawazo mapya. Leo katika Uzi wangu huu, nataka wadau wote kutoka katika sector zote, tusaidie wadau na wanazuoni wanaotafuta titles za kufanyia research ambazo bado hazijawahi kufanyiwa kazi kabisa, naomba tuwe...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji kazi ya ualimu kufundisha Chemistry na Biology

    Kitaaluma ni mwalimu wa masomo ya chemistry na biology. Nina uzoefu wa kufundisha O level na A level kwa zaidi ya miaka tisa sasa. Ninao uzoefu wa kuongoza pia katika nafasi za ukuu wa shule, taaluma na nafasi nyinginezo za uongozi katika taasisi zizsizo za kielimu. Nina uwezo pia wa kufanya...
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi. Nina Certificate ya Laboratory Technician level ll

    Habari wakuu, natafuta kazi ya permanent au temporary. Nina certificate ya laboratory technician level ll, pia nina experience ya miaka 2 ya quality control, quality assurance, lab technician na blending operator pia viwanda vyote vinavyotengeneza vinywaji vya spirit kama konyagi, kvant...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Bado mnashea umeme? Ijue prepaid submeter inavyofanya kazi

    Kwenye nyumba zetu tunazoishi au maeneo mbalimbali ya biashara, changamoto ya umeme wa kushea ni kero kubwa kutokana na kutegemea mfumo wa kushea mita moja ya umeme (LUKU). Katika mfumo huu ni ngumu kutambua matumizi ya umeme kwa mtu binafsi, ni ngumu kudhibiti matumizi ya umeme kwa mtu binafsi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali ianzishe shule za msingi za kata nchini ili kuwa na nguvu kazi tosherezi ya walimu

    Serikali imekuwa ikiboresha miundombinu ya shule za msingi na sekondari hapa nchini Tanzania ikiwa ni pamoja na ujenzi wa shule mpya za msingi na sekondari katika maeneo mbalimbali ya Tanzania. Pamoja na jitihada hizo bado kumekuwa na changamoto kubwa katika utoaji wa vifaa tosherezi na ugawaji...
  17. JamiiForums Tanzania Sikufukuzwa kazi Singida Fountain Gate, nilivunja mkataba kwa makubaliano

    Watu wa Soka, Umofia kwenu. Nimekuwa nikipokea SMS nyingi na maswali kwenye mitandao ya kijamii kuhusu nini kimetokea kati yangu na Klabu ya Singida Fountain Gate ambayo nilikuwa naitumikia kama Msemaji na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano. Kuweka rekodi sawa tu, sijafukuzwa kazi wala...
  18. JamiiForums Tanzania Je, kuna ukweli watu wengi hufanya kazi kwa bidii zaidi siku ya Jumanne tofauti na siku nyingine ya wiki?

    Je, kuna ukweli watu wengi hufanya kazi kwa bidii zaidi siku ya Jumanne tofauti na siku nyengine ya wiki?
  19. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi nipate laki 8 nadaiwa chuoni tokea 2021

    Habari wanajukwaa Mimi ni binti wa miaka 28 nimesoma diploma ya pharmacy changamoto niliyonayo ni kusikia nimemaliza chuo 2020 sjabahatika kupata Chet nadaiwa sina wazazi. Naombeni mnisaidie jamani hata kazi yoyote tafadhal nichukue chet changu asanteni Mungu awabariki.
  20. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi wameongeza muda wa kuomba kazi hadi 26.05.2024

    Vijana endeleeni kuomba KAZI, nawaombea Mungu wangu awape kibali wote wenye uhitaji mfanikiwe. Pia soam: Tangazo la ajira kutoka Jeshi la Polisi Tanzania Aprili, 2024
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…