kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. G

    JamiiForums Tanzania Interview kwa walimu walio wahi kuomba kazi ajira PORTAL sector ya curriculm na assistasistant lecturer

    Habri Aliye wahi kuomba Tutor grade ii of english for NTA level 6 pale ajira PORTAL au curriculum developer ii pale TIE kupitia ajira PORTAL Naomba anisaidie nondo na jinsi maswali yanavyo toka au kama ana maswali na notes zilizopita naomba ani save 🙏
  2. JamiiForums Tanzania Wagner Group watangaza nafasi ya kazi -🇷🇺

    Kundi la Kijeshi la Wagner Group limetangaza nafai ya kazi huku likitoa maslahi makubwa kwa waajiriwa ikiwa ni mshahara mnono, nyumba, bonus kubwa ya uhakika, silaha ya kisasa ya kupigania, bima ya afya, malipo ya ulemavu kifo au majeruhi.. Ni maamdalizi ya kazi kubwa ‼️Join Orchestra‼️...
  3. JamiiForums Tanzania Kitu gani ulikutana nacho au kukifanya kwenye Interview ukajua ushakosa Kazi

    Ulishawahi kuona yale Mazingira ya kushindwa jambo au kukosa fursa kabla hata hujaipata, basi kuna wakati unaweza kujikuta umefeli Interview hata kabla ya kupewa Majibu na Kampuni husika Umeshawahi kupatwa na hali hii? Nini kilitokea?
  4. JamiiForums Tanzania Mhandisi Innocent Luoga: Serikali inajiandaa kuzindua Mkakati na Mpango Kazi wa Kitaifa wa Nishati Jadidifu

    Wizara ya Nishati imeshiriki Kongamano la Kitaifa la Nishati Jadidifu kwa mafanikio ambapo imetumia kongamano hilo kueleza juhudi zinazofanywa na Serikali katika uendelezaji wa Nishati Jadidifu nchini na hii ikijumuisha utekelezaji wa Mkakati wa Kitaifa wa Nishati Safi ya Kupikia. Akifungua...
  5. JamiiForums Tanzania TCRA watangaza nafasi mbalimbali za kazi

    VACANCY ANNOUNCEMENT On behalf of Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA), Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) invites high caliber, results oriented, self-driven professionals with integrity, dynamic and suitable qualified Tanzanians to fill thirty- eight (38) vacant posts...
  6. JamiiForums Tanzania Huduma za Uvushaji wa MV Kigamboni zasitishwa

    KUSITISHA UTOAJI HUDUMA YA UVUSHAJI KWA KIVUKO MV. KIGAMBONI Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) unawataarifu watumiaji wa kivuko Magogoni Kigamboni na wananchi kwa ujumla kuwa, Kivuko MV. KIGAMBONI kinachotoa huduma eneo hilo, kitasimama kutoa huduma kuanzia alfajiri ya siku ya Ijumaa...
  7. JamiiForums Tanzania Kazi ambazo lazima uwe mtu wa mambo mengi

    1.sekta ya Madini - ukikutana na mwekezaji wa Madini huko machimboni wanakuwaga na wasiwas muda wote sijui wa kuibiwa yaani rahisi sana kuchanganyikiwa ukiwa sekta hio 2.sekta ya ufugaji - hawa wachunga ng'ombe wanakuwa na akili zinazowaza ng'ombe tu muda wote.
  8. JamiiForums Tanzania Je, Website za Serikali na mashirika ya umma hazifanyi kazi muda huu au ni kwangu tu? "This site can’t be reached"

    Habari wana jukwaa, Nimejaribu kuingia Website za serikali na za mashirika ya umma ila naona zote zinasema "This site can’t be reached". je kuna shida? na zote zinatumia server moja? Nimejaribu web zifuatazo; 1. IKULU 2. EGA 3. PSRS 4. NSSF 5. WIZARA KADHAA Jaribu na wewe mdau tujue.
  9. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kazi iendelee kwa kufanya kazi masaa ishirini na nne katika siku saba za wiki kwa kuukuza uchumi wa kila Mtanzania

    Yamkini tukiweza kuruhusu na kufungua sehemu nyingi za kiuchumi kufanya kazi usiku na mchana tutaongeza wigo kubwa la kuwapatia nafasi wasiokuwa na ajira kupata ajira. Tukiachilia hivi karibuni baadhi ya mabasi yaliyoachiwa kufanya kazi ya usafirishaji wa abiria usiku na baadhi ya makampuni...
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi wasifu wangu upo hapo

    Name: XX Age: 23 gender: MALE Academy: CERTIFICATE,GRAPHIC DESIGN Professional: DRIVER/VETA, NIT, RFC, JKT, PREPARATION OF AGRICULTURAL SEEDS. Experience : PASTA INDUSTRY, NIDA, SUMA JKT, MAGAMBA GOLD MINE'S, T, MARK SALES region : DAR ES SALAAM Contact : 0695581138 or 0613 654 307 Ila...
  11. JamiiForums Tanzania RPC Mara: Kama kuna Mgambo wanaodai wanafanya kazi ya Polisi hao ni Wahalifu tu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara limetoa ufafanuzi juu ya madai ya Polisi kuwatumia Mgambo katika shughuli zao Awali, Mwanachama wa JamiiForums.com alidai Mgambo hao wamekuwa wakitumiwa usaidia shughuli za Kipolisi wamekuwa hawatendi haki kwa baadhi ya Wananchi pia akadai wanashirikiana na Whalifu...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Medical Laboratory scientist

    Mimi ni kijana wa Kitanzania nahitaji kazi kwa hiyo fani niliyosomea ..uzoefu miaka 3 ...kazi temporary au parmanent. Popote Tanzania
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kwa kijana mwenye uhitaji wa kazi isiyohitaji vyeti

    Mimi ninatafuta kijana wa kazi ya kuuza na kusambaza bidhaa Kwa wateja.kazi ni ya dukani,nafasi moja (1) eneo la kazi ni Arusha Tanzania Sifa zake 1. jinsia yoyote ilimradi awe tayari kukubali mazingira ya kazi. 2. Umri wake awe na angalau miaka 18+ na asizidi miaka 20.( Awe kijana). 3...
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya IT mkoa wowote kasoro Dar es Salaam

    Habari, natafuta kazi nimesoma IT, Iwe mikoa yoyote kasoro Dar es Salaam
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuanza kusafiri na Wasanii kwenye ziara zake nje ya nchi

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema mara nyingi anapokwenda nje ya Nchi huwa anafuatana na jopo la Wafanyabiashara lakini kwa sasa anataka kugeuka kidogo na atakuwa anasafiri pia na Wasanii ili kuwapa nafasi ya kujifunza zaidi kutoka nje ya Nchi na kutanua wigo wa kazi zao. Rais...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Naomba Ajira/ kazi ya aina yoyote

    Wakuu habari za Leo. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, ni kijana wa kiume , ninapatakana Dar es salaam. Naomba kazi, kibarua cha aina yoyote cha mkataba, cha day Yani kazi yoyote Ile, kwa malipo yoyote Yale ya halali natanguliza shukurani wakuu.
  17. JamiiForums Tanzania Mbunge Edwar Lekaita aweka msisitizo maliasili na utalii kufanya kazi kwa karibu na WMA

    MBUNGE EDWAR LEKAITA Aweka Msisitizo Maliasili na Utalii Kufanya Kazi kwa Karibu na WMA Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mkoa wa Manyara, Mhe. Edward Ole Lekaita wakati akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mwaka mpya wq fedha 2024/2025 amesema WMA inasaidia wananchi...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kazi ya kupanda mlimani

    Naomba msaada kuunganishwa na kazi ya porter kupanda mlima Kilimanjaro
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya editor na cinematography

    Naitwa Rama Pepe naishi dar natafuta kazi ya kuedit na kushuti muvi mimi ni Editor na pia ni Cinematography mwenye uzoefu wa miaka 7 nafanya kazi mahali popote napatikana kwa namba 0699524998 Na hizi ni baadhi ya kazi nilizofanya zipo youtube https://youtu.be/78ZpRG10crc
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta binti mdogo wa kazi za nyumbani (housegirl)

    Natafuta binti mdogo wa kazi za nyumbani (housegirl) Sehemu ya kazi -Dar es Salaam Majukumu yake -Kufanya usafi wa nyumba ya wastani -Kufua nguo za watu wawili tu -Kupika chakula cha watu wawili Mapendekezo -Napendekeza awe Mkristo ili aishi ndani ya familia pasipo kukinzana katika imani ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…