kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania FCS: Tumeandaa mpango kazi utakaosaidia AZAKi kiuchumi na kuziunganisha na Sekta Binafsi

    Shirika la Foundation for Civil Society (FCS), limeandaa mpango kazi utakaosaidia AZAKi kujikwamua kiuchumi kutokana na ushirikano utakaozikutanisha pamoja na Sekta Binafsi katika utekelezaji wa shughuli zao mbalimbali za maendeleo katika jamii. Afisa Oparesheni na rasilimali watu wa FCS, Karin...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Kazi: Graphics Designer & Motion Artist

    Tunatafuta Mbunifu wa Picha na Sanaa ya Mwendo kujiunga na timu yetu. Muhitaji anapaswa kuwa na ujuzi wa kudesign "mockups" kwa miradi mbalimbali, michoro ya 3D, michoro ya kawaida ya 2D, na kutengeneza picha zinazotembea za GIF kwa matumizi ya tovuti. Majukumu: 1. Kuunda michoro ya 2D na 3D...
  3. M

    JamiiForums Tanzania GPA ya 3.0 ni nzuri kwenye fursa za kazi?

    GPA ya 3.0 ni nzuri kwenye fursa za kazi? As data analyst?
  4. JamiiForums Tanzania Mimi ni mteknolojia wa maabara za hospitali, natafuta Kazi

    Ninatafuta kazi, Mimi ni mteknolojia wa maabara za hospitali niliyesajiliwa na baraza la HLPC nina leseni hai na nipo tayari kufanya kazi popote Tanzania. Natanguliza shukrani🙏
  5. JamiiForums Tanzania Kazi imeanza mpaka wa Jordan na Israel.Walinzi watatu wa Israel wauawa.

    Walinzi watatu wa Israel wameuawa kwa kupigwa risasi kutokea upande wa mpaka wa Jordan kwenye kivuko pekee cha daraja linalounganisha ukingo wa magharibi wa Palestina na Jordan. Uchunguzi umeanza kubaini tukio hilo kwenye daraja lijulikanalo kama Allenby Shooting attack at the West Bank-Jordan...
  6. JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi bakery

    Habari Nahitaji wafanyakazi wa bakery Eneo: Kibaha Kwa maelezo zaidi piga : +255 762 866 652
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kazi za mtu wa IT

    Nisaidieni kazi ambazo mtu aliyesoma IT anazifanya kwa upana zaidi.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya safety officer

    Habari wana jamii, Naomba kwa yeyeto mwenye connection ya kazi ya Health, Safety and Environment (HSE) popote aniunganishe. Nina Degree ya Environmental Planning and Management pia nina NOSHC I, OHS Risk Assessment zote kutoka OSHA pamoja na Computer Certificate. Kwa yeyeto anayeweza...
  9. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi GGM

    Kazi kwenu wenye vigezo
  10. JamiiForums Tanzania System Admin: Contact & Digital Channels at Vodacom

    System Admin: Contact & Digital Channels Posting Country: Tanzania, United Republic of Date Posted: 30 Aug 2024 Full Time / Part Time: Full Time Contract Type: Permanent At Vodacom, we’re working hard to build a better future. A more connected, inclusive and sustainable world. As a dynamic...
  11. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Korea Kusini kuanza majaribio ya kufanya kazi kwa Siku 4 kwa Wiki badala ya SIku 5

    Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Yonhap, Watumishi wa zaidi ya Taasisi 50 katika Jimbo la Gyeonggi wataanza jaribio hilo badala ya Siku 5 au 6 za sasa. - Majaribio hayo yanayotarajiwa kuanza mwaka 2025 yatatoa Uhuru kwa Watumishi kuchagua kati ya kufanya kazi siku 4 au kupunguza zaidi Saa za...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji kazi

    Poleni na majukumu ndugu zangu. Mimi ni kijana was kiume, nina umri wa miaka 27 na ninaishi Dar es salaam Tanzania. Ninahitaji kazi, aidha internship, nafasi ya kuanzia(entry level), kazi ya kujitolea inayolipwa au nafasi za junior. Nina shahada ya Sayansi ya Maji na Uvuvi (Bsc.Aquatic...
  13. L

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura, nakutafutia ushahidi wangu kuhusu vurugu wakati wa uchaguzi

    Bw IGP Inspekta General Camilius Wambura, mimi ni mtanzania mwema na na nia ya dhati kabisa Kusaidia nchi kufichua maovu yote yanayoendelea nchini hasa mienendo ya chama hiki cha Kaskazini. Namba za Jeshi la Polisi ktk tovuti yenu naomba mzihuishe, nitakuwa napiga simu kwenu mchukue hatua...
  14. JamiiForums Tanzania Hii ndio tofauti ya masikini na tajiri katika utoaji wa sadaka

    Hii ndio tofauti ya masikini na tajiri katika utoaji wa sadaka Masikini anaamini ukitoa sadaka unabarikiwa unapata pesa Lakini kwa upande wa tajiri katika utoaji wa sadaka na kusaidia wasiojiweza hichi ndio anachokitafuta ushawah kujiuliza kwanini Kuna watu kila wanachoanzisha kinafanikiwa...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Mabinti wa Manyara, Singida na Dodoma huja mijini kwa ahadi ya kazi kumbe ni pimping, Nashauri walezi wawe makini wajiridhishe kabla ya kuwaachia

    Pimping - Kupata fedha kwa njia ya kuwadalalisha wanawake watumike kingono Kumekuwa na michezo michafu inafanyika mabinti wa mikoa hiyo Songida, Manyara na Dodoma wanaitwa kuja kwenye majiji wakiahidiwa kazi kumbe ni mambo mengine kabisa. 1, Bar - Yaani wauza bar na Pub imekuwa kama wamekariri...
  16. JamiiForums Tanzania Kijana mwenye ujuzi wa kupika vyakula vyote vya kisasa anatafuta kazi Dar es Salaam

    Habari JF, Je unahitaji mpishi mwenye ujuzi mkubwa wa kupandisha mauzo yako kwa kuongeza wateja wengi katika biashara hako? Kama ndiyo basi yupo kijana mdogo mwenye ujuzi wa kupika vyakula vyote vya kisasa vyenye hadhi kubwa anatafuta kazi ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam Makazi ya kijana huyu...
  17. JamiiForums Tanzania Jamani ndiyo sipati hata kazi ya House Boy au gargeni?

    Habari za mida, jamani mwenye moyo wa msaada waeza okoa jahazi japo pate hata hela ya kula takushukuru pia. Umri: 22 Location: Mbezi- DSM Edc: Form6 Ujuzi: Cmputer Vipawa:sanaa contact:+255625544723 #Nishike mkono
  18. JamiiForums Tanzania The BRICS Trading System Is Arleady Wiping Out US Dollar.

    The BRICS trading system is already wiping out US farmers, as global price discovery is destroyed (2024.08.29) Millions of tons of annual agricultural trade is now being conducted OUTSIDE the US dollar, and within the new BRICS framework.
  19. JamiiForums Tanzania Watu wanaodharau Kazi za Watu Wengine ukiwafuatilia walikuzwa na kusomeshwa na Wazazi au walezi waliofanya Kazi Zenye mazîngira ya Kúpiga Dili

    WATU WANAODHARAU KAZI ZA WATU WENGINE UKIWAFUATILIA WALIKUZWA NA KUSOMESHWA NA WAZAZI AU WALEZI WALIOFANYA KAZI ZA KUPIGA DIL Bado naendelea na utafiti wàngu. Lakini Mpaka Hapa nilipofikia nakaribia kufanya hitimisho. Sidhani kama kitakuwa na badiliko lolote Kwa haya Majibu niliyonayo mpaka...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi ulisomea kazi gani na Sasa hivi unafanya kazi gani?

    Tuwape Pongezi wale wote wanaofanya kazi walizosomea. Nadhani wanafurahia wanachokifanya na wana amani pia. Lakini kama unafanya kazi huku ukiwa na kinyongo basi mafanikio hutayaona. Wengine ambao wanafanya kazi ambao hawakuzisomea, najua ni ngumu kwao kufanya kwa moyo wote. Lakini usiache...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…