Candela
JF-Expert Member
- Aug 12, 2021
- 919
- 2,516
Kwa tupangieni content na sio na watu wazima? Kisheria mtoto harusiwi kuwa na simu sasa kutuzimia huduma maana yake nini? Kama wanahofia watoto wana simu hayo waachie wazazi wao.
More
www.jamiiforums.com
www.jamiiforums.com
More
Mbona Telegram haifunguki?
Wakuu habar za muda huu? Leo kila nikijaribu kufungua telegram inafunguka lakini inaandika connecting halafu haifunguki. Je, kuna mtu nae kwake inazingua kama hivi? Ningependa kujua
Pre GE2025 - Telegram Messenger ina shida Tanzania hadi utumie VPN
Kwanini wamefungia telgram hasa?