kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. FCC yaipa kibali Space X kulink starlink na Smartphone, ISP wa bongo mnasubili nini na kazi imewashinda Vijijini?

    FCC sasa imeipa kibali Space X kulink smartphone na StarLink (Direct to Cell) yaani bila kutumia madish yao ya starlink kama tunavyosubili hapa bongo, hii feature ipo kwenye Generation ya pili ya Starlink lakini ilikuwa ikisubili vibali kwasabu ilihitaji kufanya satellite ziwe zina orbit kwenye...
  2. H

    Natafuta kazi yoyote, nipo Tanga

    Habari wakuu nimekuja mbele yenu kuomba kazi yoyote ile. Kwa sasa nipo Mkoani Tanga lakini nipo tayari kufanya kazi kwenye mkoa wowote ule na kazi yoyote ile. Atayeguswa naomba anipe msaada kwenye Jambo hili. Asanteni
  3. F

    Msaada:Natafuta kazi katika mashirika ya wakimbizi au NGO za masuala ya Afya

    Msaada:Natafuta kazi katika mashirika ya wakimbizi au NGO za masuala ya Afya ELimu: Diploma in Nursing and Midwifery Nina leseni Hai kutoka TNMC ( Tanzania Nursing and midwives Council) as a Registered Nurse Jinsia: Male Email: avicboston@gmail.com PM ipo wazi kwa mawasiliano zaidi...
  4. Naombeni Connection ya kazi

    Habari zenu humu, naombeni mnisaidie connection ya kazi Nina degree ya mechanical engineering, nimetoka mkoani nimekuja dar kutafuta kazi, Nina familia ,imebidi niiache nije kupambana huku, nakosa hata nauli Msaada wenu Wana jf ,kazi yoyote halali , Storekeeper,warehouse, Service Engineer,n.k...
  5. Ajira ni haki ya kila kijana msomi, lakini kwasababu ya upumbavu wao hawatakuja kuitambua hii haki yao ya msingi mpaka watazeeka.

    Vijana wanajifariji eeeh maisha popote ilimradi mkono uende kinywani. Kijana bila aibu na kimeza chake cha matunda anasema Mimi nina degree. Are you mad? Kama ungetaka kuwa muuza matunda ungeishia DARASA la kwanza tu au la pili. Hesabu za darasa la pili zinatosha kwa mfanyabiashara wa matunda...
  6. Madam Nderitu Mama Mkenya Ofisa wa UN Afukuzwa kazi kwa kulazimisha kusema Israel inafanya mauaji ya Kimbari - Inawezekana amekuwa kilaza

    Umoja wa Mataifa(UN) yamfukuza Nderitu(Faizafoxy wa Kenya) kwa kukataa kuainisha tabia ya Israel huko Gaza kama 'mauaji ya halaiki,' WSJ inahoji. Upinzani wa Nderitu kutaja vitendo vya Israel huko Gaza wakati wa Vita vya Israel-Hamas kuwa mauaji ya halaiki, ulisababisha Umoja wa Mataifa kukataa...
  7. G

    Je, kesho Tabora itamfukuzisha kazi kocha wa KMC?

    Tabora imecheza na Yanga , kocha wao Gamond akafukuzwa, kisha ikacheza na Singida Black Stars , nao wakamfukuza kocha wao. Sasa kesho 29/11/2024, ni zamu ya KMC. Swali ni je, kocha wa KMC atapona kipigo cha Tabora na kuepuka kufukuzwa kazi?
  8. Mkasa wa Afande Mwasifiga alivyopoteza kazi baada ya kubishana na hayati Rais Magufuli

    Leo nimekumbuka mkasa mmoja uliotokea enzi ya awamu ya tano! Ilikuwa ni Julai 16 ya mwaka 2019 Jumanne tulivu tu ndani ya jiji la Mwanza, ghafla Gereza Kuu la Butimba likapata ugeni wa Amiri Jeshi Mkuu, Rais Magufuli. Basi baada ya maofisa wa juu kutonywa kuwa Rais angeweza kufika pale...
  9. Simba ina makipa sita(6) wote hao wa kazi gani?

    Camara Aishi Manula Ayubu Lakred Husein Abel Ally Feruz Ally Salim katoro Hii huenda ikawa rekodi ya aina yake,kwa nini wasibaki wanne tu mkasajili wachezaji wa ndani
  10. Simiyu: Kihongosi amzawadia Msaidizi wake Pikipiki kwa kazi nzuri

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenani Kihongosi amempatia zawadi ya pikipiki mpya aina ya SAN LG Msaidizi wake wa Ofisi (PS) Florenciana Kagya, kutoka na kazi nzuri anayofanya na kujituma katika ofisi yake. Kihongosi amesema kuwa ameamua kutumia mshahara wake kumnunulia msaidizi wake huyo zawadi ya...
  11. Ukipokea Ujumbe Huu wa Rais Samia Kuhusu Kesho, Usikae Nao, Sambazia na Wengine!. Kesho Kazi ni Moja Tuu!, ni Unachukua...Unaweka...!.

    Wanabodi Huu ni ujumbe kwa wote waliopokea ujumbe huu siku ya leo “Habari Ndg. PASCAL ANDREW MAYALLA, Mimi Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa CCM na Rais wa JMT. Kwa heshima napenda kukumbusha kesho tarehe 27 Novemba, 2024 kujitokeza kupiga kura kuchagua viongozi wa serikali za mitaa...
  12. Nafasi za kazi kituo cha Afya Temeke

    Nafasi za Ajira Kituo: Wakuru Specialised Clinic Mahali: Temeke, karibu na Hospitali ya Temeke Wanahitajika wafanyakazi wafuatao: Daktari Bingwa (Internal Medicine) Nurse (ANO) Laboratory Technician Pharmacy Technician Kwa mawasiliano zaidi, tafadhali piga simu kupitia namba: 0783070792.
  13. Usipokuwa makini na kazi ya ualimu utakufa kwa Msongo wa Mawazo

    Hii kazi ina mshahara mdogo sana. Ni pesa ambayo bodaboda wanapata kwa wiki mbili au tatu. Acha tu, mungu wasaidie walimu wanaishi maisha ya ajabu sana, Kila mwaka madarasa yanajengwa ila huwez kukuta nyumba za walimu zinajengwa Madarasa ya vioo na tiles Ila nyumba za walimu mbovu sakafu...
  14. W

    LGE2024 Nov 27 Mapumziko ni Bara tu, Zanzibar ni siku ya kazi kama kawaida

    Ikiwa zimebaki siku mbili tu kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania Bara, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imetoa taarifa kuwa Jumatano ya Novemba 27 ni siku ya kazi kama kawaida Zanzibar. Taarifa hiyo imetolewa na ikulu Soma pia: LGE2024 Tamko la kutangaza siku ya uchaguzi wa...
  15. B

    Je!! Kuna haja ya kumfata mumewe kituo kipya cha kazi??

    Mume na mke wana watoto 3, hawana maelewano mazuri kama mwaka hv ilipelekea kulala kilamtu chumba chake,,, Sasa mwanaume kapata uhamisho kazini anahamia mkoa mwingine bidada ndio anaomba ushauri kuna haja ya kuhama wote??? Au amuache tu jamaa aende yeye abaki na watoto maana pia wamejenga +...
  16. LGE2024 Mwenyekiti wa CCM Simiyu, Shemsa Mohamed asisitiza wajibu wa kila Mwanachama kwenye ushindi wa CCM

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, ameendelea na kampeni yake ya kutafuta kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, akizungumza na wananchi na vijana wa UVCCM katika Wilaya ya Bariadi. Katika kampeni hiyo, alisisitiza umuhimu wa vijana kushiriki kikamilifu katika...
  17. E

    Kazi ya kuhariri research, papers, proposals, business plans, vitabu

    Habari wakuu. Natafuta kazi za kuedit research, papers, proposals, business plans, vitabu etc. Kazi zangu ni nzuri. Pia Nina andika project proposals na business plans kwa Bei nafuu Sana. Nipo Dar.
  18. Natafuta kazi, ni mhitimu wa stashahada ya afisa tabibu (clinical officer)

    Iwe ni katika vituo vya kutolea huduma za afya (hospitali, vituo vya afya au zahanati), mashirika ya umma au binafsi au katika taasisi za elimu. Nipo tayari kuanza kazi mda wowote ule nitakaohitajika.
  19. LGE2024 Geita: Maneno haya ya Dotto Biteko kwenye Uchaguzi si mageni jijini. Labda kwa mgeni jijini. Kwa wenyeji tushayazoea

    Wakuu, Nimekutana na clip hii ya Dotto Biteko akizungumzia malengo ya CCM kwenye Uchaguzi huu. Tunajua nini wataenda kufanya. Ni kama marudio ya 2019. Ushindi wa asilimia 99.99
  20. Chuo cha Afya Nyaishozi kinatangaza nafasi za kazi zifuatazo

    Nafasi Tutors (Diogonostic radiography na Nursing), Receptionist na Networking Sifa za Mwombaji Elimu ngazi ya diploma na kuendelea Maombi yote yatumwe kupitia Email: info@nyaishozicollege.ac.tz au Whatsapp: 0745009792
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…