kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. ***JE,UNAJUTIA TAALUMA/KAZI ULIYOISOMEA /KAZI UNAYOIFANYA, ?UNAFURAHIA NA KUJIVUNIA TAALUMA/ KAZI YAKO?***

    1)JE? unajutia kwanini ulisomea taaluma ya kazi yako ya sasa??ulishawahi jilaumu kwa nini ulisomea kazi yako uliyonayo sasa wakati wakati una apply ulikuwa na uwanja mpana wa machagua ya fani mbalimbali tofauti? 2)Je? unahisi haukuwa na information za kutosha/ exposure ya fani/ujuzi wa kazi...
  2. G

    MWALIMU WA KEMIA & BIOLOGIA NAOMBENI KAZI

    Habari zenu ndugu zangu. kama nilivyojitambulisha mimi ni mhitimu wa shahada ya ualimu wa somo la kemia na biologia mwaka 2020 na G.P.A ya 2.9 Nina uwezo mzuri wa kufundisha vidato vyote (form 1 mpaka form 6) na vyuo vya kati pia. Nimefundisha shule kadhaa za sekondari kabla ya kuingia mazima...
  3. W

    Baba Levo: Kama CCM haitowapa kazi wasanii kwenye kampeni 2025, basi kuna dalili kubwa wasanii wakawehuka

    Baba Levo kupitia ukurasa wake wa Instagram ameeleza kuwa; Nimeiangalia GAME Kwa Upana Wake NA Kuangalia Kipato Cha Msanii Mmoja Mmoja Nimegundua Vitu Vitatu ..! 1 MZIKI HAUNA NGUVU YA KUKAA TREND WIKI TATU..! Tafsiri Yake Ni Kwamba Msanii Anatumia NGUVU Kubwa Kupata HIT SONG Lakini Haidumu...
  4. Wenje ana kazi maalum CHADEMA

    Huyu Wenje amejidhihirisha kuwa ana kazi Maalum ndani ya CHADEMA. Kwanza yeye ndiye kamleta Abdul CHADEMA. Mivurugano yote unayoiona kwa Sasa imeletwa na Wenje baada ya pesa za Abdul kuingia kwenye chama. Leo kiburi Cha Kambi ya Wenje ni kwamba Kuna pesa walizonazo ndizo Kinga yao. Na pesa za...
  5. Dini kama janga linalofukarisha wasiotaka kushtuka, kujifunza, kubadilika, kubuni , na kuchapa kazi

    Japo dini ni hazina tofauti na uganga wa kienyeji, upiga ramli, na utapeli, ni wachache wanaoelewa hivi. Hebu angalia namna dini zinavyotufanya waswahili tuwe maskini tukitajirisha wale waliozileta. Mosi, zina mfumo wa kuwatoa waumini kodi kwa njia haramu kama vile fungu la kumi, michango...
  6. B

    Natafuta kazi ya udreva

    Ni Mtanzania mwenye umri wa miaka 32 nina leseni halali iliyohakikiwa na jeshi la police yenye madaraja B, D, CI,C2 naomba mwenye connection anisaidie. Nina uzoefu wa kuendesha magari madogo na coaster 0765874177
  7. TARURA Ilemela Ivunjwe, DED na Mhandisi wa Barabara nao Waondolewe kwa kushindwa kazi

    Katika halmashauri za manispaa za hovyo hapa nchini nadhani ile Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza. Nilikuwa huko kwa mapumziko ya sikukuu na nimejiuliza jee huko TARURA wapo kweli? Na jee Mkurugenzi na mhandisi wake wapo na wanalipwa mishahara? Hata ukienda juu zaidi jee RC Mtanda naye...
  8. B

    Nimekutana na huu ujumbe, vijana kazi ipo

    Hivi Sasa ni mwendo wa kuwindana, kila mtu anakula timing kwa mwenzie. Ila huu ujumbe unafikirisha sana
  9. Ni msanii gani wa Comedy unaona kabisa hamnaga kazi ila ndo hivyo tu

    Binafsi, kuna huyu wa kujiita Shafii Comedy. In short hakuna anachofurahisha. Ni kama alilazimisha tu kuwepo huko, na watu ambao wameamua kumpiga tafu tu, Hakuna kitu kabisa aisee Kwako ni yupi unaona kabisa hamna kazi
  10. Zitto Kabwe: Diaspora hawatumi pesa nyumbani, kazi yao ni kukesha Clubhouse

    Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa twitter amesema watanzania wote ni masikini hata wanaoishi nje ni maskini. Anasema wakati diaspora wa nchi nyingine wakituma pesa kwenye nchi zao, diaspora wa Tanzania wanatulaza macho clubhouse kwa mjadala ambayo haieleti pesa. Naunga mkono mtazamo wa...
  11. Fahamu Kazi ya briefcase inayobebwa na walinzi wa raisi au viongozi wakubwa.

    Wengi tumekuwa tukiona walinzi wa viongozi wakubwa wakibeba briefcase na kufikiri Huwa wanabeba documents lakini kazi kubwa ni zaidi ya kubeba documents. Briefcase hutumika kama silaha na pia vile vile bullet proof wakati wa shambulio hatarishi linapotokea, na uwezo wa kuunfold ni within...
  12. E

    Fursa ya Kazi: WhyNot In Lounge and Kitchen ya Goba

    WhyNot In Lounge and Kitchen ipo Goba Dar es salaam Tunatafuta staff ili kufanya kazi katika hii business mpya iliyopo Goba, Dar es Salaam. Tunatafuta watu wenye vipaji na uzoefu kwa nafasi zifuatazo: 📌 Manager 📌 Bartender/Counter Staff 📌 Servers/Waitress 📌 Cleaners Vigezo vya Muombaji: ✅...
  13. Tofauti na pesa, kazi na wasifu, ni yapi mengine ambayo huongeza ushawishi kwa mwanaume dhidi ya wanawake?

    Wengine wanavutia wanawake wengi ambao hata hawafahamiani kwa kina mfano strangers tu
  14. M

    NAFASI 2 ZA KAZI YA RIDERS

    Affluence Express Ltd ni Kampuni inayotoa huduma za kusafirisha vifurushi na mizigo Tanzania, ipo Ghorofa namba 20 jengo la PSSSF Millennium Tower II Kijitonyama - Dar Es Salaam. Tuna karibisha maombi ya kazi ya Riders kama kiambatishi cha tangazo kinavyojieleza. Kwa mawasiliano zaidi usisite...
  15. Tufanye kazi pamoja

    Ndugu kuelekea kuanza mwaka 2025 Unapopanga mafanikio yatakavoendelea mwaka 2025 Naomba tufanye kazi kwa pamoja Mimi nitakufanyia kazi yako kwa uaminifu 1. Kwa anaehtji kufanya biashra ya viwashio vya moto mikoani nitakutafitia, kukufungashia na kukutumia kukufikia popote ulipo kutoka...
  16. Lengo lenu nini mnao wakataz wake zenu kufanya kazi?

    Mnafact ipi inayo wafanya kuwazuia wake zenu kufanya kazi au kufanya biashara wengine mme waachisha wake zenu kazi mliwakuta wameajiriwa lakini baada ya kuwaoa mmewapiga pini wasijushugulishe na kazi. Mnaongeza idadi ya magoli kipa kuwa wengi mwisho wa siku mkija kufa mashemeji na mawifi ndio...
  17. Kazi ya Polisi ni kuwathibiti watu wanaokunywa pombe za machicha wasilete fujo.

    Kama watu elimu yao ni ndogo,kama watu wakivuta bangi,basi, inevitably wataleta fujo na Polisi ni kazi yao kuhakikisha kwamba inakuwepo law and order. Kwa sababu ikifika mahali kwamba watu wanaona kwamba hawalindwi ins maana kwamba lazima wajilinde wenyewe. Na watu wakianza kujilinda wenyewe...
  18. P

    Naomba kazi

    Mimi ni mchumi kutoka chuo Cha ushirika Moshi(MoCU) TITLE: MR PROFESSION: ECONOMIST EXPERIENCE: FRESH GRADUATE LOCATION: MBEZI-DAR ES SALAAM Naomba kazi yoyote halali ambaye daily naweza pata kuanzia 10k . *Naweza kuandika (Research) * Naweza kufanya data analysis kwa kutumia SPSS na Excel...
  19. Kwa Hapa Tanzania, ukikosa kazi kabisa sio lazima ukabebe tofali au kazi za ujenzi, Nenda kijijini kalime.

    Mwanangu mpambanaji, umekosa mtaji, mjini hakueleweki, ushamaliza degree yako na home hapaeleweki kazi hazieleweki. Sikia, chukuwa vyeti vyako, scan, tunza kwenye email yako, tengeneza template ya barua ambayo unaweza ku edit hata kwa simu. Piga simu kujijini kwenu, haswa kwa watu wa mbeya...
  20. Jumuiya ya umoja wa mabaharia Tanzania yampongeza waziri Kombo kwa kazi nzuri ya kuhudumia mabaharia wa Tanzania nje ya nchi

    JUMUIYA YA UMOJA WA MABAHARIA TANZANIA YAMPONGEZA WAZIRI KOMBO KWA KAZI NZURI YA KUHUDUMIA MABAHARIA WA TANZANIA NJE YA NCHI Jumuiya ya Umoja wa Mabaharia Tanzania imempongeza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, kwa juhudi kubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…