kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Ndugu zangu nahitaji kazi nipo KIBAHA MAILI MOJA, Kazi nazoweza kufanya ni 1.Ulinzi 2. Kuhudumia wateja eneo lolote la biashara au bar 3. kazi zote za nguvu hata viwandani 4. kazi za hotelini Kama una kazi nipigie 0681050265 Asante. 🙏
  2. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Naitwa Fredy Gendo, nipo Kilimanjaro Moshi, natafuta kazi nimesomea uongozi wa biashara ngazi ya cheti na nina VIP katika upande wa udereva, naomba msaada wenu wadau, barikiwa.
  3. JamiiForums Tanzania Kazi za ubunifu za Claudi Cassanovas

    JF inaenda viwango vingine vya kimataifa zaidi.. Tunajiribu kupanua wigo wa mijadala na kazi za ubunifu za maonesho mbali mbali za wabunifu kwenye nyanja zote ambao ni maarufu duniani Kwa kushirikisha kazi zao kwenye mitandao yetu kunatupa nasi nafasi ya kuzitambua na kuzienzi kazi zao adhimu...
  4. JamiiForums Tanzania Muda wote, nilidhani nikifanyia kazi mkuu wangu, lakini sasa ndipo nimegundua kuwa yeye ndiye alikuwa ananifanyia kazi!

    "Tunapokufa, pesa zetu zinasalia benki... Lakini tunapoishi, hatumiliki pesa za kutosha kwa matumizi. Kwa kweli, tunapotoka, bado kuna pesa nyingi ambazo hazijatumika. Mfanyabiashara mkubwa wa China alikufa. Mke wake, akiwa amebakiwa na dola bilioni 1.9 benki, alioa dereva wake. Dereva alisema...
  5. JamiiForums Tanzania Sitoomba tena kupigwa ban, hii kazi namuachia Laban OG

    Habari wadau. Poleni na majukumu ya kujenga taifa. Moja kwa moja kwenye mada mimi shuka chini niliomba kupigwa ban endapo Simba atafuzu kwenda Nusu Fainali. Dah! MUNGU saidia akafuzu. Sasa Mods wakawa wamesahau kunilamba ban sijui mbeya gani akafukunyua uzi wangu hatimae nikapigwa ban...
  6. JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi, fani yangu ni fundi mitambo (mechanical technician)

    Nahitaji kazi, fani yangu ni fundi mitambo (mechanical technician) -> Naishi Dar es salaam -> mawasiliano: inbox
  7. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya kuendesha maisha

    Habari wanaJF, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, elimu yangu ni bachelor degree in Logistics and Transport Management, naomba nafasi ya kazi yoyote ile itakayosaidia kuendesha maisha
  8. JamiiForums Tanzania Wakati Tz ikiendekeza sikukuu, China yaunda jua kuongeza muda wa kupiga kazi

    China imeunda Jua la Kwanza la Bandia duniani. Jua hilo la bandia linaweza kuangaza nchi yao nzima na kugeuza Usiku kuwa Mchana. Tayari wamelijaribu mara mbili na limefanya kazi kikamilifu. Jua hilo la bandia huchomoza wakati wa machweo na kuzama wakati wa mapambazuko. Kupitia jua hili bandia...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Arusha

    Habari zenu natafuta kazi maeneo ya Arusha nina degree ya Umeme, mwenye connection ya kazi za viwandani, kampuni, dukani, supermarket, sheli naomba anisaidie. Natoa shukran kwa wote
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nina ujuzi wa quantum geographic information system (Q. G. I. S), naombeni kazi wakubwa

    Wakuu, habarini za saizi, kama mada inavyojieleza hapo juu, nina ujuzi na programu ya QGIS (Quantum Geographic Information System) . naombeni mnisaidie ni namna gani naweza kupata kazi hizi za GIS. je hapa Dar kuna kampuni lolote linalohusiana na haya mambo ya GIS? kama lipo, naombeni mnisaide...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Fursa: Nafasi 700 za Kazi za Kuangalia Wazee New Zealand

    Fursa: Nafasi 700 za Kazi za Kuangalia Wazee New Zealand (Kupitia Danvast Career Search) Habari wanajamii, Nimekutana na tangazo la kazi ambalo naona linaweza kuwasaidia baadhi yetu humu. Kuna nafasi 700 za kazi za kuangalia wazee (Caregiver Jobs) katika nyumba za kulelea wazee New Zealand...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Wakuu natafuta kazi Leo ni weekend ya mwisho kesho ni mapambano

    Mambo vipi wakuu, je ni kwema, Leo ni siku ya mwisho ya mapumziko wakuu, kesho tukiamka salama ni siku ya mapanbano lakini Mimi ndugu natafuta kazi iwe mkoa wowote Mimi nakuja kufanya kazi, Sijasoma sana nimeishia form 2 tu ndugu zangu Sina ujuzi wowote ule lakini naweza nikioneshwa kazi...
  13. JamiiForums Tanzania Kufahamu vituo vya kazi katika taasisi mbalimbali kama vile NEMC, IAA, TBC,VITUO VYA USAILI: ARUSHA, DAR ES SALAAM, DODOMA, MBEYA, MWANZA NA ZANZIBAR

    Habari wanaJF, kama naomba kufahamu kwa upande wa dar ni wapi panafanyikia huo usahili wa MCHUJO(WRITTEN INTERVIEW) katika taasisi tofauttofaut zilizotolewa juzi kama vike AICC, TBC, IAA, ,TPSC, VETA, SUA. maana wao wameandika "VITUO VYA USAILI: ARUSHA, DAR ES SALAAM, DODOMA, MBEYA, MWANZA NA...
  14. JamiiForums Tanzania Kazi za ubunifu za Ibrahim Said wa Misri kwa kutumia tope la mfinyanzi

    Kutoka kwenye barabara nyembamba, tanuri za kufinyanga udongo, na karakana zenye kelele za Fustat, Ibrahim Said alizaliwa mwaka wa 1976. Fustat ni eneo la Cairo, Misri ambalo limejikita katika historia ya tasnia ya ufinyanzi tangu ushindi wa Kiislamu. Ibrahim anatoka katika familia ya...
  15. JamiiForums Tanzania Kufanya kazi kwa wahindi bila kujipendekeza na kuwa mnafiki inawezekana kweli?

    Niliwahi kufanya kazi kwenye taasisi moja ya Wahindi inaitwa Aga Khan. Aisee, kwa suruba nilizozipata kwenye taasisi ile, sitamani tena kufanya kazi kwa Wahindi. Kwanza kabisa, ili Mhindi msimamizi au boss akupende au akupatie fursa yoyote, inatakiwa ujipendekeze au uwe mnafiki kwa wafanyakazi...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna jamaa hapa mtaani anashinda ndani asubuhi mpaka usiku ila anakula na kuvaa vizuri kazi yake haijulikani

    Wakuu hapa mtaani Kuna jamaa tunashindwa kumuelewa aisee kiufupi kama mnavyojua Ili mtu uishi vizuri ni lazima ufanye kazi Sasa huyu mshikaji yeye anashinda ndani asubuhi mpaka usiku akitoka kutembea siku Moja Moja na hapo ni misele tu kijiweni sio kwamba labda anaingia kazini ila anakula...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi Elimu yangu ni degree ya project planning

    Nipo kahama ni binti wa miaka 27 ,Elimu yangu ni degree ya project planning lakini nikipata kazi yoyote halali nitaweza kufanya nashukuru.
  18. JamiiForums Tanzania Kazi ni wito na ibada, Tuitendee heshima Inayostahili

    Ndugu zangu wapendwa!. 👉🏾Kuna jambo moja ambalo hatufai kulisahau ,kazi ni ibada. Kwa kila jasho tunalomwaga kwa ajili ya riziki halali ni sadaka mbele za Mungu. Ni njia ya kuonesha shukrani, heshima na thamani ya maisha yenye maana. Lakini swali kubwa ni hili, je, kweli tunaitendea kazi...
  19. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Kiwandani.

    Kiwanda cha kuchakata plastiki kilichopo tegata - Daressalaam, Kinatafuta vijana wawili kwa ajili ya kazi za kiwandani, Kazi hizo zinahusisha , kuchambua plastiki, Kuosha plastiki, Kusaga plastiki na Kuengeneza bidhaa mbali mbali kwa kutumia plastiki, vijana wawe na sifa zifuatazo. 1. Awe...
  20. JamiiForums Tanzania Kamati ya wazee ishamaliza kazi hapa Kwamsisi, Simba anaua kuanzia goli 4, hamtoamini macho yenu

    Usiku kucha wa kuamkia leo kimepigwa kisomo kikali hapa kwamsisi na wazee washatoa go ahead tuwahi Dar es salaam tukashuhudie goli zetu 4 kuoanda juu. Kama una roho mbaya kama hao utopolo baki nyumbani Baraka Mpenja atakusimulia namna goli 4 kwenda juu zilivyopatikana. Narudia tena, goli ni 4...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…