kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wiki nzima NMB, Atm na Nmb mkononi hazifanyi kazi

    Nmb hawachukui hatua yoyote kusaidia wateja wao. Kama mtu umesahau kadi na uko safarini inakula kwako. Nmb mnafeli wapi?
  2. JamiiForums Tanzania Nahitaji 260,000k Tarehe 18 mwezi huu naombeni kazi au mchongo mpaka tarehe hiyo niwe nimepata hiyo hela

    JF Jeshi kubwa Niko hapa sihitaji mnipe Hela naombeni kazi au shughuli ya kufanya Ili mpaka kufikia tarehe tajwa hapo (Laki mbili na elfu stini za kitanzania) niwe na kiasi hicho Cha Pesa. Nipo Pugu Kinyamwezi hapa msaada wenu ni WA muhimu Sana. Thanks in advance
  3. JamiiForums Tanzania TANGAZO LA NAFASI YA KAZI

    FUNDI SANIFU WA UMEME (ELECTRICAL TECHNICIAN) Tunatafuta Fundi Sanifu wa Umeme mwenye ujuzi na uzoefu wa kufanya kazi za umeme katika majengo makubwa ya biashara, viwanda na nyumba za makazi. Sifa za Mwombaji Awe na Cheti cha Ufundi (Certificate) au Diploma ya Umeme kutoka NACTVET (zamani...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kazi ya kuilinda Tanzania ni yetu sote!

    Rais Samia Suluhu Hassan, akizungumza katika mkutano na viongozi wa vyama vya siasa uliofanyika leo, Julai 30, 2026, jijini Dar es Salaam, amesema jukumu la kuilinda Tanzania ni la kila Mtanzania. "Kazi ya kuilinda Tanzania ndugu zangu ni yetu sote." "Hii si nchi ya mmoja kama naavyoongea. Ni...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Kupaka rangi Nyumba ndani na nje karibuni

    TANGAZO LA KUTAFUTA KAZI YA KUPAKA RANGI NYUMBA NATAFUTA KAZI YA KUPAKA RANGI NYUMBA – MUSOMA Natoa huduma za kupaka rangi nyumba za makazi, ofisi, maduka na majengo mbalimbali ndani ya Musoma na maeneo ya jirani. Ninafanya kazi kwa umakini, uaminifu na ubora wa hali ya juu. Napaka rangi za...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna binti anatafuta kazi ya duka la Jumla au Rejareja

    Ana Miaka 23 Elimu Ya Chuo Sema Ajira Ndo Alikosa. Anatafuta Kazi Ya Duka La Jumla Au Reja Reja Au La Nguo Yupo Dar Manzese Mawasiliano Namna Ya Kumpata 0798461717
  7. JamiiForums Tanzania Nikienda bar nadili na wale wafanya kazi wadogo wadogo

    SITAKI yule mmliki Elie kaunta, asije akaniambia sijui itabidi uninu ulie masofa niweke kwa jili ya wateja. Wale wafanyakazi wanalipwa elfu3/4 kwa siku, ukimuonyesha kibunda analoa hapohapo
  8. JamiiForums Tanzania Maandamano ya wanafunzi India 🇮🇳, Polisi asimamishwa kazi kwa kufyatua risasi hewani.

    https://youtube.com/shorts/jof90QKuFB0?si=hclAlCCqaPicJ6CD
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kazi za Afisa Ardhi daraja la II zimetangazwa na degree ya Sheria imetajwa kama moja taaluma zinazohitajika lakini kwenye Ajira Portal huwezi omba

  10. V

    JamiiForums Tanzania Nafasi nyingi za kazi mpya ajira portal usiache kuomba

    Ukipata changamoto ya kuomba kama kusahau password, email nk tuwasiliane kwa 0792715343
  11. V

    JamiiForums Tanzania Nafasi nyingi za kazi ajira portal kwa kada za elimu,uongozi nk usiache kuomba

    Kama una changamoto kama kusahau password, kusahau email nk tuwasiliane kwa 0792715343
  12. JamiiForums Tanzania Hasara za Kufanya Kazi Vijijini Huku Ukiishi Mjini

    Kufanya kazi katika maeneo ya vijijini huku makazi yako yakiwa mjini kunaleta changamoto nyingi za kifedha na kijamii. Baadhi ya changamoto hizo ni: 1. Gharama kubwa za kununua usafiri Watumishi wengi wanaofanya kazi katika maeneo ya pembezoni hulazimika kumiliki usafiri binafsi, hasa pikipiki...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ijapokua haaminiki lakini tufanyie kazi maneno yake mawili,"Pamabanieni,na komaeni mpate katiba"

    Inafahamika mapambano yetu sio ya silaha. Tunawaomba Polisi watuache tuendelee kupambana. Njia zetu za mapambano ni zilezile. -Maandamano bila Kikomo. -Mikutano ya hadhara bila kuzuiwa -Kuishitaki serikari Kwa taasisi kimataifa -Kuhamasisha watu waongeze kuipinga serikali haramu. Sasa tutakua...
  14. JamiiForums Tanzania TIB RASILIMALI: Hisa (Shares) na Hatifungani (Bonds) Zinafanyaje Kazi? Mwongozo kwa Wawekezaji Wapya.

    Habari wakuu, Kumekuwa na mwamko mkubwa wa uwekezaji nchini, ambapo watu wengi wameanza kuwekeza kwenye Hisa (Shares) na Hatifungani (Bonds). Hata hivyo, bado kuna maswali mengi kuhusu tofauti zake, faida, hatari zinazoweza kujitokeza, na namna ya kufanya maamuzi sahihi ya uwekezaji. Kupitia...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Polisi Ilistahili Kuwa Takatifu, Lakini Ilipobadilishwa na Kuwa Ya Kuwalinda Watawala Katili, Imekuwa Kazi ya Laana.

    Kazi ya polisi kiasili ilitakiwa kuwa kazi takatifu. Kazi ya kuwalinda wanadamu wenzako na mali zao, kazi inayokufanya uteseke, usilale, ili wanadamu wenzako na mali zao, viwe salama, hakika ni kazi ilistahili kuwa takatifu. Kwa sababu umejitoa kuteseka ili wanadamu wenzako wawe salama. Lakini...
  16. JamiiForums Tanzania Pata nafasi za kazi Tanzania na Nje ya nchi kupitia ChuoSmart

    Unatafuta ajira ya kudumu, kazi za mtandaoni (Remote Jobs), internship, part-time, freelance au nafasi za kujitolea? ChuoSmart Jobs ni jukwaa linalokuwezesha kupata nafasi mbalimbali za kazi kutoka Tanzania na nchi nyingine, huku likikurahisishia kutafuta kazi kulingana na taaluma, eneo na aina...
  17. JamiiForums Tanzania Anahitajika Laboratory technician mwenye diploma au certificate na awe na leseni hai

    Anahitajika Laboratory technician mwenye diploma au certificate na awe na leseni hai na metical attendant Kituo cha kazi Dar es salaam Namba ya simu kwa mawasiliano ni 0713214258
  18. JamiiForums Tanzania Twende kazi Tonetone chaka to chaka, tunaitafuta 334M. Hizi ndizo njia za kuchangia

    Hadi jana tulikuwa na 144M cash. usipitwe ukichanga.changa tena buku inadhamani kubwa.sana kwetu. Nitakuwa naleta updates hapa daily moto wa tonetone ni mkali sana ccm hawaamini macho yao. CHANGIA SASA M-Pesa Namba: 0744446969 Jina: CHADEMA HQ NMB Bank Namba ya Akaunti: 22606600140 Jina la...
  19. JamiiForums Tanzania Ila uongo nao kazi kweli kweli

    Yani unasema uongo ili kuulinda uongo unongezea uongo mwingine juu yake. Ukiulizwa kwanini ulidanganya unaongezea sababu za uongo tena.
  20. JamiiForums Tanzania Utajiri unapatikana kwa maombi au kufanya KAZI?

    Tuone.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…