kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Kazi ya upromota wa muziki na sanaa kwa ujumla wake inalipa sana

    Graduates msio na ajira na ambao mna mapenzi na muziki na Sanaa kwa ujumla jaribuni upromota hamtojuta as long unapenda kazi hiyo unapenda muziki na burudani etc coz kazi yoyote ili kufanikiwa lazima uipende kwanza. Nili ingia kwenye kazi hii kama hoby tu coz napenda sana muziki na starehe and...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa nini sikukuu ya wafanyakazi watu hawapiki pilau na kunywa vinywaji wakati kazi na Sio dini ndio huwapa kipato?

    Kazi hata kama unalipwa kidogo, ndio inayokuingizia kipato. Sikukuu ya meimosi ulipaswa kutumia kama fursa ya kumshukuru Mungu KWA kukupatia Kazi ambazo wenzako wanazutafuta Hadi damu. Sikukuu za Dini ilitakiwa watu wale kidogo tu na watumie muda mwingi kutubu na kitafakari. Ila hii ni...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Wenye connection ya kazi hapa ndio uwanja wenu

    Hii ni kwa ajili wenye connection ya kazi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mdada wa Kufanya kazi Barbershop - Mazingira ya kazi ni mazuri

    Anahitajika mdada anayejua vizuri huduma za salon, Kindly check me inbox
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkuu wa Majeshi, Jeneral Jacob Nkunda awaonya Askari wa JWTZ kujihusisha na siasa

    Mkuu wa Majeshi Jeneral Jacob Nkunda, amewaonya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kutojihusha na masuala ya kisiasa na jeshi halitasita kumfuta kazi askari atakayebainika kujihusisha na katazo hilo. Mkuu wa Majeshi Jenerali Nkunda ametoa onyo hilo alipokuwa kwenye Shule...
  6. JamiiForums Tanzania Askofu Nkwande: Vijana wetu wanahangaika kupata kazi, unatoa wapi ujasiri wa kumwambia kijana ajiajiri wakati umeajiriwa?

    Mhashamu Askofu Mkuu Renatus Nkwande amewataka vijana kuwa wavumilivu na changamoto mbalimbali za familia, wenyewe kwa wenyewe pamoja na mahangaiko ya kimasilahi katika ulimwengu wa sasa. Askofu Nkwande amesema hayo wakati akitoa homilia kwenye Adhimisho la Misa Takatifu ya Jubilei 2025 kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Maombi ya kazi ya tax, mtandao

    Habari, Naitwa Mohamed ni driver wa tax mtandao….nipo darslam natafuta gari ya kufanyia kazi hii, hivyo kwa yeyote mwenye chombo basi ni fursa hii tuitumie kujenga hii nchi… “Kuhusu uaminifu ni % Hakuna uswahili wala ubabaishaji Hii ni kazi na Naheshimu kazi yangu hivyo tajiri ondoa shaka...
  8. JamiiForums Tanzania Kazi ya night shift dar es salaam

    Habari za mda huu waungwana mimi ni mkufunzi wa kujitolea katika moja ya chuo hapa mjini kwa mda wa mchana hivyo natafuta kazi ya kuniingizia kipato mda wa usiku ili kubalance maslah madogo ninayoyapata kwa sasa Naomba ushirikiano wenu pale utakapopata au kuwa na kazi yoyote inayozingatia...
  9. JamiiForums Tanzania Kifaa hiki kina kazi gani kwenye gari?

    Hiki kioo kidogo upande wa mbele kushoto wa gari kina kazi gani kwenye wakuu?
  10. JamiiForums Tanzania Naomba kazi ya marketing au sales, vitu ninavyoweza, ku offer katika kazi ni pamoja na kuwa na idea za ubunifu kukuza biashara, kutengeneza content,

    Habari mimi ni mwanafunzi wa chuo procurement and supply Natafuta kazi ya marketing au sales naamini nitafanya vizuri, hii yote niweze kumudu Ada na Familia yangu shukran 🙏.
  11. JamiiForums Tanzania Kampuni za mikopo online zimerejea kwa kasi kubwa

    Hawa watu benki kuu iliwaondoa Cha ajabu wamerejea kwa Kasi sana.
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nimesoma Range management Niko tayari kwa mshahara wowote..

    I am Winfrida holding a Bachelor’s Degree in Range Management, currently seeking job opportunities in this field. I am committed, skilled, and ready to contribute to sustainable land and resource management.
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi, hata kama ni Intern. Nina Shahada ya Manunuzi

    Habari Wana JamiiForums Nilikuwa natafuta kazi japo nipate hata intern kusukuma maisha Elimu yangu ni Shahada ya manunuzi (Bachelor Degree in procurement and supply chain management) Pia nina Diploma in procurement and supply chain management Napatikana Mwanza Ila nipo tayar kufanya kazi...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Elimu yangu ni form four Umri miaka 33 (me) Kazi yoyote ya halali popote Sifa ya ziada Najua kucheza na kompyuta kiasi fulani ingawa sina vyeti (sijasomea rasmi) Nina cheti cha ualimu Shule za msingi
  15. JamiiForums Tanzania Msaada:USB(Hardlock) key ya software haifanyi kazi

    Habari ya jioni wakuu. Kuna software ya kutengeneza formula za vyakula vya mifugo niliinunua Thailand $475,hii software ili uitumie ni lazima uingize hardlock key kwenye USB port ya computer,bila hardlock key huwezi kuifungua hii software na kuitumia sasa hivi hii hardlock key haiwi recognise...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada: USB(Hardlock) key ya software haifanyi kazi

    Habari ya jioni wakuu. Kuna software ya kutengeneza formula za vyakula vya mifugo niliinunua Thailand $475,hii software ili uitumie ni lazima uingize hardlock key kwenye USB port ya computer,bila hardlock key huwezi kuifungua hii software na kuitumia sasa hivi hii hardlock key haiwi recognise...
  17. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ya ulinzi dar es salaam

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, kampuni ya secure net limited , yenye makao makuu yake jijini dar es salaam. inatangaza nafasi ya kazi ya ulinzi. sifa za mlinzi anaehitajika. Awe mtanzania Awe anajua kusoma na kuandika vizuri,elimu kuanzia Darasa la saba hadi Chuo, pia waliopita Veta...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kazi ya upishi mgahawani

    Habari natafuta mpishi wa Kupika bites na Chakula cha mgahawani Malipo ni kwa siku 15,000. Namba sa Simu za mawasiliano ni 0754604976 au 0718044976
  19. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi nafasi ni nyingi mshahara mnono sana

    Kutoka kwa Rajiv J. Shah Rais wa The Rockefeller Foundation Je, ungependa kusaidia kuendeleza upatikanaji wa nishati na umeme barani Afrika? Mapema mwaka huu, serikali kadhaa za Afrika zilisaini Mikataba ya Kitaifa ya Nishati ili kupanua upatikanaji wa umeme na kukuza uchumi wa bara hili. Ili...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Nimemaliza degree ya accounting

    Helloo Tanzania naitwa Jenipha nimemaliza degree ya accounting chuo kikuu cha dar es salaam natafuta kazi Asanteni 0713776534
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…