kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Kuna kazi ya kuedit document ya maneno 17000. Malipo ni 15000

    Habari wakuu. Kuna kazi ya kuedit document ya maneno 17000. Kuna original na hii iliyokaa vibaya ambayo inatakiwa iwe kama original. Ni pm kama unaweza. 15000. *WAKUU NIMESHAPATA MTU
  2. M

    JamiiForums Tanzania UVCCM wamekengeuka, kumkomalia Spika kujiuzulu ni dalili kuwa hampendi bunge kufanya kazi zake za kuisimamia Serikali. Mnatumika bila kufikiri

    Huu ni upuuzi usiofaa hata kidogo. Vijana wa Ccm wamegeuka nyumbu. Nyumbu huwa hatumii akili maana hufuata mkumbo kwa kila jambo. Akiona kundi la nyumbu wenzake wanavuka mto, naye anavuka bila kuangalia hatari au litalotokea. Ndio hii Uvccm ya leo imekurupuka kama Nyumbu kutaka Spika Ndugai...
  3. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu nisaidieni kazi, hali ni mbaya mno

    Habari za siku ndugu zangu pia poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa..... Niende kwenye Mada binafsi mimi nikijana wakiume mwenye umri wa Miaka 26 ,pia nimuhitimu wa Chuo fulani Ngazi ya cheti katika fani ya Uongozi na usimamizi (public administration and management) mwaka 2018, Pia nina ujuzi...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nimepata kazi kwenye kampuni ya kuuza pedi ila naona aibu kuifanya

    Mambo job seekers wenzangu. Nimepata kazi kwenye kampuni ya kuuza pedi kama mtu wa sales. Mshahara laki 8 kabla ya makato ila naona aibu kuifanya sababu naona kama sitokuwa comfortable kuuza pedi hizo za wadada. Mnanishaurije?
  5. JamiiForums Tanzania Kazi ya Muda - Computer application

    Habari za mwaka mpya waungwana. Natafuta msichana wa kufundisha watoto basic computer application. Hakuna masharti mengi ni haya tu. 1. Uwe Dar es salaam 2. Ujue computer applications (Basic) 3. Uwe na uwezo kumuelekeza mtoto Kazi ni ya muda tu ila panapo majaaliwa inaweza kuwa ya kudumu...
  6. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kubadilisha kituo cha kazi kutoka Sekondari kwenda TTC

    Heri ya mwaka mpya. Wakuu naomba msaada kwa wenye ufahamu nilisoma BED wakati ule ulikua wanapangiwa kwemda kufundisha vyuo vya ualimu lakini sikupangwa nilienda sekondari. Sasa hivi nataka nibadilishe, je ni utaratibu gani natakiwa kuufuata? Asante sana Mwl Wenyele
  7. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote. Nimesomea mifugo na kilimo

    Heri ya mwaka mpya wakuu,Naitwa Geofrey wa Moro,kwa heshima na tahadhima kwa yeyote mwenye mapenzi mema aniunganishe na kazi yoyote,nina uzoefu wa kutibu na kuhudumia mifugo,kilimo,compyuta n.k mawasilianao 0689339355. MUNGU AKUBARIKI
  8. JamiiForums Tanzania Mnaotafuta Kazi,Canada kuna Kazi bwerere hazina watu.

    Happy new year. Wale mnaotafuta Kazi ,nendeni haraka Canada,mnaweza wasiloana na Balozi wetu kule awafanyie connection. Sio mumelundikana Bongo na kulia Lia tuu hamtaki kujiongeza. Kazi hizi hapa zinawatafuta nyie👇
  9. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Watu wazima kujadili Milioni na Bilioni ni kukosa kazi za kufanya

  10. JamiiForums Tanzania Tunaofanyia kazi nyumbani karibuni tushirikishane ni internet ipi unayotumia na desk setup yako ipoje?

    Heri ya mwaka mpya wakuu! Kwa wale wanaofanyia kazi nyumbani unaweza kutushirikisha ni internet ipi unayotumia na gharama zake zipoje pia. Na kama hutojali unaweza kushare desk setup yako tuweze kuona inamuonekano gani.
  11. JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Nimekuta hivi vidonge kwenye mkoba wa dem wangu. Je, vina kazi gan?

    Misoprostol tablets!!
  12. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Idara ya Uhamiaji (470)

    Jamani mwaka mpya na fursa za ajira zimetangazwa kutoka Idara ya Uhamiaji Tanzania. Wale wenye sifa tujimwage kujaribu bahati zetu. Tangazo hili linapatikana pia kwenye page yao ya Instagram. Halafu si tuliambiwa Uhamiaji sasa ni jeshi, sasa mbona msemaji wao bado anaitambulisha kama Idara ya...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yeyote halali

    Habari wakuu.. Natafuta kazi yeyote halali hata ya ndani Elimu yangu ni form six Ni mzoefu wa mambo ya uchenjuaji dhahabu Jinsia ni ke Umri 26 Mshahara naomba angalau uwe 150,000+ Iwe Mwanza au Geita Asanteni
  14. JamiiForums Tanzania Muda wa majonzi nchini umeisha sasa Rais Samia ajiandae kwa kazi

    Baada ya nchi kupita kwenye majonzi na uzoefu tofauti wa kufiwa na rais aliyeko madarakani yaani hayati Magufuli. Sasa ni dhahiri wapinzani wake wameshaelewa utawala wa Samia. Kama ilivyo kwa watangulizi wake; Mwaka wa kwanza huwa ni wa kulekebisha palipoharibiwa na watangulizi baada ya hapo...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliweza kujenga miradi kwa fedha za ndani, hizo fedha za ndani kwa sasa zinafanya kazi gani au mapato yameshuka?

    Awamu iliyopita Rais, Makamu, Waziri Mkuu na viongoozi wote wa Serikali walitueleza wazi kwamba wanajenga Kwa fedha za ndani. Chama cha Mapinduzi na taasisi zake zote walizunguka kutuambia Serikali ya CCM inajenga kwa kutumia fedha za ndani. Bunge na units zilizopo chini yake walituambia...
  16. JamiiForums Tanzania Mfanyakazi TRA: Toka nianze kazi TRA miaka 8, haupo wakati ukusanyaji kodi ulikubalika kama wa Hayati Magufuli

    "...wakati wa Magufuli ilifikia wakati wafanyabiashara wanagombania kulipa kodi kwa hiari yao." "...nakumbuka kuanzia 2018 ndiyo kipindi hasa wafanyabiashara nchini karibu wote wakubwa kwa wadogo walianza kugombania na kulipa kwa wakati kodi stahiki na tena wakati huo hata habari ya wao kutaka...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia wewe fanya kazi, usiwasikilize wanasiasa kama Ndugai

    Mama Samia kama Rais ameanza kuchukua hatua zake mwenyewe kuona maendeleo ya nchi yanasonga mbele. Kimsingi, Mama Samia kaweka utu wa Mtanzania mbele, na kuhakikisha hakuna maonezi ya kubambikwa kesi za kughushi ili konea mtu na kupora mali zake. Masalia ya Awamu ya 5 yapo. Miluzi ni mingi na...
  18. JamiiForums Tanzania Askari aliyempiga picha "Binti" amevunja maadili ya kazi yake, ashtakiwe!

    Mwaka juzi kuliwahi kuibuka "upuuzi" wa Askari kukamata Watu/Watuhumiwa na kuwavalisha mabango yenye "tuhuma" Kisha kuwapiga picha na kusambaza mtandaoni. Leo hii Binti mdogo aliyejirekodi mambo yasiyo ya staha, amekamatwa na kupelekwa kituoni, akiwa kituoni Tena ofisini kabisa, anapigwa picha...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali inawachukulia hatua gani waajiri wanaoipatishia hasara serikali kwa kufukuza kazi watumishi kihuni?

    Kumezuka tabia ya watumishi wa umma kufukuzwa kazi kihuni na waajiri wao na kutokana na kutofuraishwa na kufukuzwa kwao , watumishi hao huwa wanaenda kufungua malalamiko huko CMA Commission for Mediation and Arbitration na mwishowe huwa maamuzi hufikiwa idara hiyo ya serikali hutakiwa kumlipa...
  20. JamiiForums Tanzania Haji Manara awatolea uvivu wafuasi wa Magufuli. Awaambia wamuache Mama afanye kazi

    Msemaji wa Yanga Haji Manara amejitokeza na kuwashambulia wafuasi wa Magufuli akidai wanamkwamisha Mama Samia. Amewataka ndugu wa marehemu wamuache Rais afanye kazi. Ametoa rai hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…