kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Shinyanga: Watumishi sita wafukuzwa kazi kwa utoro, kughushi

    Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga limewafukuza kazi watumishi sita kutokana na makosa mbalimbali ya kiutumishi. Uamuzi huo umetangazwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga, Ngasa Mboje wakati wa Kikao cha Baraza la Madiwani kilichofanyika Februari 23, 2022...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Msaada VoIP app inayofanya kazi hapa Tanzania

    Habari Wakuu Natafuta app ya android ninayoweza kutumia kupiga Simu kwenda nje ya Tanzania kwa kutumia VoIP (voice over internet protocol). Nimejaribu VoipStudio haifanyi kazi. Ningependa kupata ambayo ina free trial ili nijaribu kabla ya kulipia. Nitashukuru kwa muongozo.
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    Habari wakuu, Kwa majina naitwa charz juma, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19 natafuta kazi yoyote lakini hiwe halali
  4. JamiiForums Tanzania Matokeo mabaya yasababisha Dodoma Jiji kumfukuza kazi Kocha Mbwana Makata

    Klabu ya Dodoma Jiji ya jijini Dodoma imeachana na kocha wake mkuu, Mbwana Makata kuanzia leo Jumatano Februari 23, 2022. Taarifa iliyotolewa na klabu hiyo imeeleza kuwa hatua hiyo imefikiwa baada ya mwendelezo mbaya wa matokeo ya timu hiyo katika mashindano mbalimbali ya msimu huu wa 2021/22.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi 525 za Kazi Tabora Municipal Council (Mshahara Mnono)

    Tabora Municipal Council is the capital and head quarter of Tabora Region as well as an administrative and commercial center of the region. The municipality is the commercial hub in western part of Tanzania, located on the crossroads of the main railway lines connecting Dar es Salaam on the...
  6. JamiiForums Tanzania Kazi uliyokuwa ukiipenda pindi ungali mdogo ndo unaifanya Sasa?

    Ulihitaji sekunde kadhaa na macho kuona uwezo na kipaji Cha pekee kilichowekwa kwenye mguu wangu wa kushoto..... Ilitokea Mara kwa mara wapitanjia kusimamisha.... shughuli Zao kustaajabu kipaji na uwezo wa kipekee uwanjani Wapo walio nitabilia makubwa.....wapo walio toa fedha Zao kunituza...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Suala la vikao vya Bunge kurushwa live ni kazi ya Serikali au maamuzi ya Bunge?

    1. Vyombo vya Habari ni Mali ya serikali au Mali ya wananchi na Umma Kwa ujumla? 2. Bunge kurusha matangazo live linategemea kibali cha Serikali au Bunge linapaswa kujiamulia lenyewe? 3. Mahakama kuruhusu vyombo vya habari kurusha mwendo wa kesi live inahitaji kuomba kibali cha Serikali au...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi 400 za Kazi Kigoma Ujiji, Mshahara Tsh 300,000/=

    Kigoma is a city and lake port in northwestern Tanzania, on the northeastern shores of Lake Tanganyika and close to the border with Burundi and The Democratic Republic of the Congo. It serves as the capital for the surrounding Kigoma Region and has a population of 215,458. Nafasi za kazi za muda
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kujitolea bure kwenye mambo yote yahusuyo ujenzi, nyumba za kupangisha na uuzaji ardhi

    Naitwa Aliko Musa. Ninaishi Mbeya mjini. Mimi ni mwandishi na mshauri mbobezi wa masuala ya uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Ninaandika makala kupitia mtandao wa UWEKEZAJI MAJENGO BLOG. Kupitia mtandao huu ninawashirikisha watu mbinu bora za kuwekeza kwenye ardhi na majengo ili kujenga...
  10. JamiiForums Tanzania INAUZWA MWANZA: Nauza Bajaj kwa bei ndogo

    NUNUA BAJAJ UPEWE NA DEREVA WAKE BURE... Mwanza 0713096076 Nauza bajaj za kila aina!! Bei nzuri tu kuanzia mil 3 mpaka milioni 5 mwisho. zote ziko vijiweni zinafanya kazi MTEJA SERIOUS PIGA SIMU...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu: Mbowe kuwa na kesi ya kujibu ni fursa ya kujua zaidi wasiojulikana wanafanyaje kazi

    Binafsi naona kitendo cha mahakama kuamua kuwa Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu Kwanza ni maumivu makubwa ya kisaikolojia na kimwili Kwa wahusika Kwa kukosa Uhuru na kushindwa kuendesha maisha Yao walivyozoea, lakini upande wa pili ni fursa Kwa Wana wa nchi hii kujua ni jinsi gani Siri Kali...
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta kijana ambaye ana uwezo wa kufanya kazi ya barbershop aliyepo Mbeya mjini

    Habari zenu wakuu, Natafta kijana ambaye anauwezo wa kufanya kazi ya barbershop aliyepo Mbeya mjini kwajili ya kazi ya kunyoa. Natanguliza shukrani Mawasiliano 0655087675
  13. JamiiForums Tanzania Nafanya kazi ya kuandika (writing/copywriting), kutafsiri (translation), na editing "Freelancer"

    Ni matumaini yangu kuwa kila anayesoma uzi huu ni mzima wa afya. Mimi ni kijana, Nimehitimu mwaka jana (2021). Nina vifaa kama simu (smartphone) na kompyuta mpakato (laptop), vinavyoweza kuniwezesha kufanya kazi tajwa hapo awali yaani, writing/copywriting, translation na editing. Kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Fursa ya kujifunza ujenzi katika kiwanda kidogo

    Sisi tunaitwa Madrassatul Abraar, tupo mtaa wa vitendo, kata ya Misugusugu, mkoa wa Pwani, namba zetu za simu 0625249605. Kituo kinaitwa "Miyomboni Shule" au Misugusugu Shule ya Msingi. Fursa za kazi zilizopo sasa ni "production Manager" kwenye kiwanda kidogo cha vifaa vya ujenzi vinavyoundwa...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Malipo ya kazi ya anuani za makazi Ilala yawe ni kidogo sana?

    Habarini, Niende moja kwa moja kwenye mada. Kiukweli nimefurahishwa na huu mpango wa anuani ya makazi na postikodi ambao kwa namna moja au nyingine litawezesha vijana kupata ajira hizo za muda mfupi. Kilichonisukuma kuandika ni kuona vijana watakaofanikiwa kupata kazi hizo kulipwa ujira...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu kama mzazi wako yupo juu Serikalini, Waziri au Katibu Mkuu watu wanasema umepata kazi kwa ajili ya connection

    Mfano mkubwa Dr. Mwele, Kwa kweli watoto wa Mzee Malecela wana Akili. Sasa nimechoka kwa watu kusema mtu Huyu kapata Hii kazi kwa ajili ya mzee. Sasa Hivi head lines zote za Dr. Mwele ni mtoto aliyekuwa Waziri Mkuu. Dr. Mwele was bigger than her own father, she was not a politician.
  17. JamiiForums Tanzania Mara: RC Hapi Awasimamisha Kazi Watendaji; Asema Kazi Inaendelea

  18. N

    JamiiForums Tanzania Rais wa CNN Jeff Zucker alifukuzwa kazi na sasa Vice President wa CNN naye afukuzwa

    Jeff zucker amefukuzwa kazi Kwa sababu ya Low ratings (CNN average viewers per day laki 4, MSNBC milion 1 na Fox News million 5 ) na coverage ya Russia hoax. CNN ATT imenunuliwa na Discovery (Discovery owner ni Trump supporter) hopefully CNN itarudi kuwa news organization. =========...
  19. JamiiForums Tanzania Wasio na ajira ndio wapewe kazi kwenye zoezi la Anwani za Makazi na Sensa kuwawezesha kiuchumi

    Katika zoezi ambalo linaendelea la Anwani za makazi, hata linalokuja la sensa, tunaiomba Serikali itumie watu wasio na ajira badala ya kuwatumia watumishi ambao tayari wana kipato. Serikali inapaswa itumie watu wasio na ajira katika zoezi la anwani za makazi pia sensa ili kusaidia vijana wasio...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi vimbwa vina kazi gani? Naona vinapendwa sana na wadada wa mjini

    Ndo hivi vya sampuli hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…