WAJANJA KAZI NA BATA INAENDELEAJE!?
Leo 16:30pm 07/04/2022
Washamba tunalia hali ngumu huku mchele,unga na dagaa vyote vimepanda bei, nauli ya bajaji toka sh 500 hadi sh 1,000 vipato vyetu na mishahara ileile havijaongezeka, Wajanja mmeshindwa kuongea na Putin awape mafuta ya bei rahisi...