kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya yatangaza nafasi za kazi 1,650

    Kila la heri mtakaopata. == JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA Telegrams “AFYA”, DODOMA Mji wa Serikali - Mtumba, Nambari ya simu: +255-026-2323267/2351196 Barabara ya Afya, Nukushi Na: +255-22-213806 S. L. P 743, 40478 DODOMA. TAARIFA KWA UMMA SERIKALI YATOA KIBALI CHA...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba kujitolea kujifunza kazi yako, unilipe pale nitakapoweza baadhi ya majukumu

    Habari wapendwa poleni na majukum. Naomba kujitolea kujifuza nipo tayari kuwekeza MDA AKILI NA NGUVU. Mimi ni kijana wa kiume miaka 28 mkazi wa dar Elimu kidato cha nne. Tadhali wapendwa naomba kujitolea kujifunza sichagui fani au kazi ya kujifunza ila naomba pale nitakapo jifunzia ndio nije...
  3. JamiiForums Tanzania Kazi inaendelea: Samia analiunga daraja la WAMI bila kelele, kutukanana na watu au kutafuta kiki. Kuongoza nchi ni sayansi

    Daraja hili linakwenda kukamilika mwaka huu na kufanya usafiri katika ukanda huo kuwa Bora kabisa. Hakuna mradi utaachwa, na miradi mipya itazidi kujengwa. #SHH2025/30 #MamaMaendeleo.
  4. JamiiForums Tanzania Kwa mliobahatika kuitwa kazini TRA someni hili Tangazo na mlielewe

    Mliopata kazi TRA someni hilo Tangazo tena.
  5. JamiiForums Tanzania Tax Management Officer II vs Custom Officer II

    Kwema wakuu? Kuuliza sio ujinga.hivi kati ya Tax management officer ii vs custom officer ii 1. Ipi ina mitihani ya mchujo migumu? 2. Ipi ni nzuri kufanyia kazi. 3. Kuna tofauti yoyote ya kimaslahi? 4. Ipi yenye changamoto nyingi?
  6. JamiiForums Tanzania Naomba mnifahamishe kazi kuu ya hiki kifaa na bei yake pia madukani

    Wakuu hiki kifaa naomba kujua kazi yake kuuna bei yake pia ikiwezekana.. Naweza kuipata maduka gani?
  7. JamiiForums Tanzania Swali fikirishi, mabalozi wetu nchi za nje hawawezi kutangaza na mpaka hiyo kazi afanye mkuu wa nchi?

    Taifa letu lina mabalozi sehemu mbalimbali nje ya taifa letu. Karibu nchi zote tulizo na mahusiano nayo mazuri tumeweka balozi. Ofisi ya ubalozi huwa ni sehemu ya taifa letu huko nje. Kwa sheria za kimataifa ofisi ya ubalozi huko China mfano ni sehemu ya eneo la Tanzania lililopo China...
  8. JamiiForums Tanzania Nina Diploma ya Community Development. Kwa course hii naruhusiwa kuomba kazi ya Tax Management Assistant ya TRA?

    Habari za muda huu kwa mara nyingine, nina cha NTA Level 6 course ya Maendeleo ya Jamii. Naruhusiwa kuomba kazi ya Tax Management assistant II?
  9. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina elimu ya Kidato cha Nne na Certificate ya Secretarial Courses

    Habari Wapendwa, Mimi ni kijana wa kike Nina umri wa miaka 35, Elimu yangu kidato cha nne na Nina certificate ya secretarial. Natafuta kazi kati ya hizi:- Secretary Stationary Reception Costumer care Nina uzoefu wa kazi kwa miaka 10 katika computer full na stationary service. Nimewahi kufanya...
  10. JamiiForums Tanzania Leo tar 12 April 2022, Serikali yatangaza Ajira mpya na kupandisha madaraja wafanyakazi. Zaidi ya billion 40 kutumika

    Leo tarehe 12 April 2022 Serikali yetu kupitia Wizara ya Ajira na utumishi wa Umma imetangaza Ajira mpya na kupandisha madaraja wafanyakazi kibao. Serikali yetu imesema itatumia zaidi ya shilingi bilion 40 katika michakato hii yote. Kwa taarifa zaidi ingia www.utumishi.go.tz Kila la kheri vijana.
  11. JamiiForums Tanzania Mbunge: Matuta yanaharibu viuno vya wanaume wa Rukwa, yapunguzwe

    Mbunge unakosa hoja ya kulisemea taifa lako unaongelea upuuzi?! Kwamba changamoto lukuki zinazowakabili wana-Rukwa huyo mpuuzi kaiona ya viuno vya wanaume kuumia viuno ndiyo agenda kuu?! Nimetukana! =========================== MBUNGE BUPE: MATUTA YANAHARIBU VIUNO VYA WANAUME Mbunge wa Viti...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kinana ukiingia Tanga mtafute Bhoke Nyarobi, Afisa Elimu aliyenyanyaswa akaacha kazi

    Katika mapokezi ya makamu mwenyekiti wa CCM bara ndugu Abrahaman Omari Kinana jana, amesema amepewa maelekezo na mwenyekiti wake aanze kupitia baadhi ya mikoa ikiwemo mkoa wa Tanga. Kinana utakapo karibia Tanga fanya liwezekanalo hata kwa dakika chache uonane na aliyekua afisa elimu taaluma...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Huyu askari Magereza aliyepishana Lugha na hayati JPM alifutwa kazi? Kama alifutwa kazi sasa yupo wapi?

  14. M

    JamiiForums Tanzania Kazi inazidi kuwa rahisi kwa yanga kwenye mbio za ubingwa

    Sasa rasmi gape la pointi imekuwa alama 10 kati ya yanga na simba, ni umakini mdogo wa polisi leo kulikowafanya washindwe kuondoka na alama 3, wamecheza vizuri sana lakini umakini wao mdogo kwenye final third umewafanya waokote point moja, Mbio za ubingwa kwa timu ya wananchi zinazidi kurahisishwa
  15. B

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi kwa waliohusika na tukio hili wawajibishwe

    Unyanyasaji huu wa vyombo vya dola haukubaliki. Kwanini sheria za nchi zilizopo hazifuatwi? Kwa hakika tuungane kuukataa ubazazi wa namna hii. --------------------- Ikumbukwe:
  16. JamiiForums Tanzania Tangazo la kazi EWURA

    Watanzania kuna tangazo la kazi EWURA. Mwenye taarifa sahihi kuhusu ili tangazo tafadhali.
  17. JamiiForums Tanzania Idara ya uhamiaji kaeni mjitafakari utendaji kazi wenu, wilayani na mikoani

    Niende moja kwa moja kwenye mada naomba mod usiunganishe huu uzi maana hawa uhamiaji Uzi zao zimekuwa nyingi sana, na ni jeshi ambalo kama limejisahau hivi wao wanachoweza ni kutembelea nyumba za wageni, vituo vya usafiri kukuta wageni na kubageini biashara imeisha hawatimizi wajibu wao...
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za viwandani msaada anaejua

    Habari yako, Nakuja hapa kuomba msaada kwa yeyote yule mwenye kujua ni kiwanda kipi ndani ya Dar au pwani kinachopokea kibarua naomba anifahamishe maana natafuta kazi kwenye kiwanda chochote kile kinachopokea kibarua. Life langu kwa Sasa nahemea mipila kwa anaejua msaada Wana jf. Asante sana.
  19. JamiiForums Tanzania Wakristo wenye wadada wa kazi wa Kiisilamu acheni kuwanyanyasa kwasababu ya kufunga Ramadhani

    Fikiria kutokula au kunywa wakati wa mchana kwa siku 30 mfululizo moja kwa moja sio jambo jepesi. "Mtazamo wa mwezi huu kimsingi sio kujizuia au kufunga, bali ni mkusanyiko wa nguvu na akili ya Muislamu juu ya utambuzi wa Mwenyezi Mungu na maisha ya ibada ya uchamungu." Haipendezi bint wako wa...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi TARURA mmejiangalia na kujitathmini jinsi mnavyokamua wananchi pesa?

    Wadau. Salam. Hivi TARURA mmejiangalia na kujitathmini jinsi mnavyokamua wananchi pesa? Ngoja niwape scenario. Mfano mimi nimeenda kupaki gari pale makumbusho nje ya jengo la LAPF, Mdada wa parking kaniona kapiga picha kaniandikia deni. Baada ya kupiga picha yeye anaondoka anaenda upande...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…