kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Simba kwenye graphics designing na videography wamedoda, wanarudia mambo ya mwaka 1920 enzi za Charlie Chaplin, kazi wanapeana kindugu

    MGraphics za leo ni zaidi ya Uchale Chaplin Halaf tumeambiwa wamekesha usiku kucha ili Dunia itingishike. Labda ile Dunia Tambara Bovu, Sio Dunia hii ya 🌎 🤪🤪 Nb;; mkipeana kazi kiudugu Quality itaamua baadae, hii mambo ya Mtoto wa Mjomba sijui Mtoto wa Bamdogo,,inazidiwa na ubora mabibi na...
  2. JamiiForums Tanzania Kazi isiyoangaliana na mlango wa Jela haiwezi kukufanya kuwa Tajiri

    Kwema Wakuu! Ikiwa kazi unayoifanya haijawahi kukuletea Polisi, au haijawahi kukupeleka kwenye vyombo vya kisheria ujue hiyo kazi haiwezi kukufanya kuwa Tajiri. Utajiri na uvunjifu wa sheria ni pande mbili za sarafu moja. Huwezi kuwa tajiri bila kuivunja sheria ya nchi, mahali popote Katika...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya Afisa Mikopo

    Kuna nafasi ya kazi ya afisa mikopo kwenye ofisi ya Microfinance. Ni ofisi ambayo ndo inaanza kutoa huduma ya mikopo midogo midogo hivyo inahitaji mfanyakazi mwenye elimu ya diploma ya finance,Marketing, Accounting au Business Administration. Muombaji anatakiwa awe amewahi kufanya kazi kama...
  4. JamiiForums Tanzania Arusha: Mzee Iddi Maganga abomoa nyumba zake mbili(200M) baada ya wanawe kuacha kufanya kazi na kusubiri urithi

    Mkazi wa Ngarenaro, Mzee Iddi Maganga amebomoa nyumba zake mbili zenye thamani ya milioni 200 akiwatuhumu watoto wake kumfanyia ndivyo sivyo. Akiongea kwa uchungu, Mzee Maganga amesema mmoja wa watoto wake anayeitwa Abdallah alimfungia kwenye chumba chenye giza wiki nzima bila chakula mpaka...
  5. JamiiForums Tanzania Amuua binti wa kazi kisha kuvunja chumba na kuiba pesa

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limemkamata na linamshikilia Selemani Haruna maarufu Kwata (24), Mkazi wa Kimara Temboni mtaa wa Amani, kwa tuhuma za kumuua Editha Charles (22) Mkerewe, Binti wa kazi za ndani na kuuficha mwili huo katika stoo ya vifaa vya ujenzi katika nyumba ya...
  6. JamiiForums Tanzania Wakazi wa DAR wenye uhitaji wa Internet katika kazi zenu kuanzia Ofisini mpaka Nyumbani, suluhisho hili hapa

    Najua watu wengi sana hutumia internet katika mishe za hapa na pale,binafsi ni wale watu wanaoishi mjini kwa kutegemea internet kwa sana, pamoja na mengine ninayofanya ila nina mengi makubwa nayafanya kupitia internet. Nimeshatumia internet mbali mbali za makampuni makubwa na madogo, na baadhi...
  7. JamiiForums Tanzania Aliesomea uhasibu na aliesomea Utawala (HR) anaweza kufanya kazi law firm?

    Kama mtu amesomea maswala ya uhasibu na mwingine aliesomea HR anaweza kufanya kazi law firm? Na huwa ni kazi zipi?
  8. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi wahadhiri chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).

    Chuo kikuu cha Dar es Salaam kimetangaza nafasi mbalimbali za wakufunzi. Shime kwa wale wenye vigezo, nia na raghba ya kufundisha vijana, tafadhali changamkieni fursa hizo. Tangazo la ajira ni kama ifuatavyo:
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi yoyote ya halali, nina Cheti cha Kidato cha Nne

    Natanguliza salamu, Naitwa Juma Nina umri wa miaka 19 ninaishi Mwanza, Natafuta kazi yoyote ya halali nina cheti cha kidato cha nne. Naweza kutumia computer vizuri Ninaujuzi wa Web design Naweza kufanya kazi ya duka Naombeni msaada wwnu Guys natafuta kazi nipo Mwanza Tanzania , Yoyote...
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali, niko Arusha

    Habari ndugu zangu. Mimi ni kijana (ME) nina umri wa miaka 20. Ninaishi mkoa wa Arusha. Nina shida sana hali ngumu ya maisha Hadi naanza kuta tamaa . Nimeona niweke wazi tu huenda kuna mtu humu atanisaidia kupata kazi yoyote ile ya halali. Natanguliza shukrani
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta ajira

    Habari wana member wa Jamii forum..kwa majina naitwa Collins George kutokea dar-es-salaam nimemaliza chuo mwez huu wa 7 nikisomea Bachelor in Information Technology (BIT). Sijawa muhitim complete kwa kua nasubili matokeo yangu ya mwisho ili nipokee chety...kwa kipindi ichi nnachosubil kupokea...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kutimiza ndoto yangu ya muda mrefu ya udakitari

    Poleni na majukumu ya kila siku ndugu zangu, nimemaliza degree ya kwanza ya business administration na nina kazi yangu binafsi kwa sasa lakini haikuwa ndoto yangu ilinilazimu kusoma Ili nipate kwanza kazi ya kufanya. Ndoto yangu ni kuwa daktari na sikuweza kutimiza vigezo kwenye masomo ya...
  13. JamiiForums Tanzania Wale mlioomba kazi ya Sensa ya Watu na Mmakazi naamini wote mlisoma kitabu cha Ngoswe

    WALE MLIOOMBA KAZI YA SENSA YA WATU NA MAKAZI NAAMINI WOTE MLISOMA KITABU CHA NGOSWE "Penzi kitovu cha uzembe" TUNAKUMBUSHANA. HATA MIMI NIMEOMBA😁😁🙈 👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽 MITOMINGI; nadhani sasa mgeni amekwisha kumaliza kula hebu nenda kaondoe vyombo MAMA_MAZOEA; Basi fanya haraka (Mazoea anatoka...
  14. JamiiForums Tanzania Hakuna Gari za moja Kwa moja Iringa to Geita zinazopitia Kahama?

    Kwema Wakuu! Hivi hakuna Gari za moja Kwa moja kutokea Iringa au Njombe au Mbeya zinazoelekea Geita kupitia Kahama? Au ni Basi gani ambalo linapita Dodoma mida ya saa nane au saa tisa mchana likielekea Geita ya Kahama kutokea Dar es salaam? Majibu tafadhali!
  15. JamiiForums Tanzania OMBI: Rais Samia naomba kazi ya kukusaidia kuisimamia EWURA/ au Kilimo

    Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tafadhali husika na mada tajwa hapo juu. Kabla sijaendelea kuelezea kusudio la kutaka kukusaidia kusimamia maeneo niliyotaja hapo juu, naomba nikuhakikishie kwanza mimi sio mganga njaa / almaarufu kama mchumia tumbo na sina lengo la kuwa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Ni zipi kazi au biashara ambazo ukifanya hukosi 20k kwa siku?

    Nawasubiri wabobevu wa jiji la Dar wanipatie japo maujuzi ya biashara ya kufanya nitengeneza 20k kwa siku Si mnajua tena mambo ya kodi jamani [emoji17][emoji17] Nsaidieni mawazo, lo! Sihitaji pesa, mawazo ya biashara tu yanatosha Pia PM iko wazi[emoji23][emoji23] But kama utaanza kwa kunipa...
  17. JamiiForums Tanzania Kazi nzuri sana mkuu wa wilaya ya Temeke

    Nimeona uchapakazi wako japo unaonekana una uchovu fulani (lakini ni wa baraka) Unapambana kweli kweli hongera sana kwa uchapa kazi. Mabilioni yamemwagwa Temeke DC wa Temeke Jokate Mwegelo akiwa na waziri Bashungwa kwenye kuchapa kazi Mabadiliko ni muhimu. Hongera sana Pascal Mayalla aone...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali: Tutaongeza nguvu kazi, miundombinu na bajeti kwa taasisi na vyuo vinavyofundisha Kiswahili

    Serikali imesema itaongeza nguvu kazi, miundombinu na bajeti kwa taasisi na vyuo vinavyofundisha Kiswahili ili viendelee kuandaa wataalamu zaidi watakaotumika duniani kote. Akizungumza kwa njia ya simu katika Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani yanayofanyika Jijini Dar es Salaam, Mhe...
  19. JamiiForums Tanzania Jehanamu ya moto ipo na itaifanya kazi yake siku itakapopokea wateja wake

    "Msiwaogope wauuao mwili, wasiweze kuiua na roho; afadhali mwogopeni yule awezaye kuangamiza mwili na roho pia katika jehanum", Mt 10:28 SUV. Zipo dhana nyingi juu ya hili, wapo wanakataa kuwa hakuna jehanum, wapo wanakubali kuwa ipo, wapo wanaamini ukishakufa basi, na wengine wanaamini Mungu...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Kiswahili katika usaili wa kazi

    Jamani Mnaonaje matumizi ya Kiswahili katika usaili wa kazi….toa maoni yako
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…