kazi za

Kazi Farms Group is a group of businesses in Bangladesh.
Kazi Zahedul Hasan, the managing director, was awarded Business Person of the Year for 2004 by The Daily Star (Bangladesh).

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Vijana 125 watelekezwa Singida baada ya kuahidiwa kazi za Q NET licha ya kutozwa kiasi cha fedha

    Serikali wilayani Singida imewataka vijana wanaojihusisha na biashara ya Q-NET kuacha shughuli hiyo na kurejea makwao, kufuatia tuhuma za kulaghaiwa kwa ahadi za kupata malipo makubwa yasiyoendana na uhalisia. Wito huo umetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Singida, Godwin Gondwe, baada ya vijana...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Tanesco yatangaza nafasi za ajira 1100 kati ya hizo kazi za degree hazifiki 20. Na tena degree za sayansi tu. Kazi nyingi ni form 4 na cheti cha veta

    Hii ndio dunia inapoelekea. Somo kwa wazazi na wanafunzi kwamba now days ajira nyingi zinataka hands on skills. Kampuni hazitaki degree za theory tu ambazo hazifundishi hands on skills zaidi ya kuwa degree ya kwenye makaratasi. Ni bora umpeleke mtoto veta kuliko kumpeleka chuo kikuu akasome...
  3. JamiiForums Tanzania KARIBUNI KWA KAZI ZA KUTENGENEZA PVC CARD

    Natengeneza id card za plastic kwa ajili ya matumizi mbali mbali 1. Id card 2. Visitors card 3. Coupon 4. Business canrd 5. Wedding card Karibuni tupo kariakoo 0717470234 Mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa. our value is speed and acuracy
  4. JamiiForums Tanzania Msaada wa connection ya kazi za security

    Natumai hamjambo, Elimu yangu ni form 6 natafuta kazi ya Security officer/guard nina uzoefu wa kitosha nimefanya kazi maeneo mbalimbali ikiwemo SERENA HOTEL, TERMINAL 3 AIRPOT NA INDUSTRIAL AREAS kupitia GARDAWORLD. Nimefanya applications kwenye kampuni mbalimbali kwa njia ya email nimeishia...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kazi za Afisa Ardhi daraja la II zimetangazwa na degree ya Sheria imetajwa kama moja taaluma zinazohitajika lakini kwenye Ajira Portal huwezi omba

  6. JamiiForums Tanzania Fursa za Kazi za Remote (Mtandaoni) kwa Wataalamu wa IT, Biashara na Anga: Jiunge na Alignerr ($30 - $100+/hr)

    Habari wakuu, Kwa yeyote anayetafuta fursa ya kufanya kazi mtandaoni akiwa nyumbani (Fully Remote), kampuni ya teknolojia ya Alignerr kutoka Marekani (inayomilikiwa na Labelbox) imefungua milango ya ajira kwa wataalamu wa fani mbalimbali nchini Tanzania ili kusaidia kuifundisha na kuinoa mifumo...
  7. JamiiForums Tanzania Rose Shaboka yupo sahihi, Mwanamke hapaswi kuishia kazi za nyumbani. Hayo ni mawazo finyu

    Hamjambo! Binti zetu wa Tibeli mwanamke mwenye mawazo ya kinyumbani nyumbani Anakosa video vya kuwa Mke. Mke mwema haishii tuu kuwaza kufua Boxers, sijui kupika, na kuosha vyombo. Mwanamke ambaye ni mtu na sio binadamu huwezi mtazama kwa angle Moja au nafasi Mojave. Mwanamke nje ya kuwa mke...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Wabongo tunaamini kazi za kukaa ofisini ndio kazi zenye Pesa?

    Yani mtu anaamini ukifanya kazi za ofisini ndio utakuwa una pesa na maisha mazuri, mfano wa kazi hizo iwe profesional; udaktari, ualimu, afisa sijui nini na nini nk, au ofisi za kibiashara iwe duka, cash points nk Katika mihangaiko yangu kuna deals nafanya tofauti na kaduka kangu ka kuuza...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Likizo hii umemuandalia mtoto sehemu ya kujifunza stadi za kazi za kumuandalia ujuzi wa kujiajiri au unaendelea kumkomalia na tuisheni ?

    Likizo ya June inakaribia, watoto watakuwa nyumbani kwa wiki kadhaa hadi mwezi. Swali la kujiuliza ni hili: Je, unamjengea mtoto uwezo wa kuishi na kujitegemea au unaendelea kuamini kwamba kumnoa kwenye ufaulu wa darasani pekee utamtoa kwenye changamoto za maisha? Ukweli mchungu ni kwamba...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Connection ya kazi za monitoring and evaluation kwenye NG'os

    Habari ndugu wa Tanzania, Natafuta kazi za MEL kwenye hizi ng'os hata local nikipata sawa ntashukuru. Nimejaribu kuomba tokea mwezi January lakini naona kimya😫. Nimesomea takwimu. Ni mwanamke
  11. JamiiForums Tanzania Jinsi Content Creation Inavyoweza Kukupatia Scholarship na Kazi za Kimataifa

    Siku hizi kupata scholarship au kazi kwenye mashirika makubwa si suala la kuwa na GPA nzuri pekee au CV ndefu yenye maneno mengi. Dunia imebadilika. Watu wa kwenye panel za scholarship na recruiters wa mashirika ya kimataifa wanaanza kuangalia “digital footprint” yako yaani umeonyesha nini...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kikundi cha KIMAUCHA kinachofanya kazi za umeme chini ya TANESCO – Chanika kinafanya dhuluma kwa Wafanyakazi wake

    Kuna kikundi kinaitwa KIMAUCHA kinafanya kazi za umeme chini ya TANESCO Wilaya ya Chanika, Dar es Salaam, watu wanaohusika hasa viongozi wa kikundi hicho wamekuwa na tabia ya kudhulumu hela, ukijidai mdomo kuuliza unafukuzwa kazi. Jambo lingine linalokera hapo ni kuwa malipo yanachelewa sana...
  13. JamiiForums Tanzania Inakuaje vijana Wamarekani hawana hamasa na kazi za jeshi Marekani?

    Jinsi ambavyo huwa naona hapa bongo watu wanavyogombania kazi za jeshini hadi wengine wanahonga, wanaenda kwa vimemo na wengine kutapeliwa huwa nashangaa sana jinsi jeshi la Marekani linvyoshindwa kufikia malengo yake ya kuajiri wanajeshi wapya hadi inabidi kubembeleza watu au kushusha vigezo...
  14. JamiiForums Tanzania JF tuanzishe mpango wa kuwapa au kuwatafutia kazi za kufanya. Sasa inakuaje mtu yupo online JF masaa yote 24/7. Kazi anafanya saa ngapi?

    Kichwa cha habari kinajieleza chenyewe, sina mudi ya kuandika sana Kuna watu humu muda wote wapo online tu wanacomment sasa muda wa kufanya kazi wao wanautoa wapi jamani Kuna mengi sana yananishangaza mno na bado yanakuja chafya ngumu min -me
  15. JamiiForums Tanzania Kuna kazi wanaozifanya sijawahi kuelewa huwa wanaishi vipi

    Wamachinga watembezi bidhaa barabarani, bar n.k. Wapiga debe, Wauza ice cream, Wabeba mizigo(makuli), Wachuuzi stendi, Waokota makopo(sijui hata kama ni kazi) Sijawahi kuelewa mtu anayefanya hizi kazi anawezaje kukidhi mahitaji yake ya chakula, mavazi, makazi na kuhudumia familia bila kukata...
  16. JamiiForums Tanzania Hii Haina tofauti na mzazi anamtoa mtoto wake kijijini aje kufanyia kazi za ndani mjini

  17. JamiiForums Tanzania Nchemba: Kazi za serikali zifanyike Dodoma ili kuwasogezea wananchi huduma

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba amesema kazi za serikali zifanyike makao makuu ya nchi, Dodoma, ili kuwasogezea Watanzania huduma. “Mheshimiwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu mwelekeze Katibu Mkuu atengeneze timu ifanye tathmini ya majengo yote ya Serikali yaliyoko Dar es Salaam ambayo hayana...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Kazi za kuangalia Nyumba, ulinzi wa Nyumba na pia usafi

    Natafuta kazi za kuangalia Nyumba kama vile usafi nakutuzia Nyumba mpaka pale utakapokuja ikiwa na mtu wa kuangalia, pia kama una chochote kile kulinda hapo Nyumba hapo pia nitakilinda , Miaka mpaka kumi nakaa kuangalia ulinzi na kazi zingine nafanya pia, pia wenye hotel naangalia mazingira...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Kazi za remote

    Kama unapenda kufanya kazi za remote hii inakufaa Mercor | Find Remote Work Opportunities
  20. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za kwenye idara ya procurement, lakini pia nina ujuzi kwenye ulimwengu wa social media na naongea kiingereza vizuri

    Habari wakuu Nimekuja kwenu kuomba yeyote mwenye kazi au connection ya kazi anisaidie. Sifa zangu Jinsia: Me Umri: 28 Eneo: Dar es salaam Elimu: Bachelor’s Degree in Procurement and Logistics Management Naonngea kiingereza vizuri sana Kazi ninazoweza kufanya kutokana na taaluma yangu ni idara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…