kausha damu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Banc ABC wamekataa kulipwa, msaada wenu unahitajika

    Ni baada ya kuhangaika huku na huko bila kupata mkopo wa kuendeleza biashara yangu hatimae nikakutana na hii Banc ABC wakanipatia mkopo wa miaka miwili Ila kwa makubaliano kuwa nikipata pesa yao kabla ya huo muda naweza kulipa pesa yao tukaachana. Kweli nilipambana kwa namna yangu na Hali yangu...
  2. JamiiForums Tanzania KERO TANESCO badilisheni mita za umeme 'kausha damu' mnatuumiza sana

    Kuna hizi MITA tukiweka luku ya 10,000 tunapata units 28 badala ya 56, Hivi mlitumia vigezo gani kutuumiza hivi? Bora mtupatie mita mpya Ili tununue umeme wa kutosha na wateja waongezeke. Ongezeko la wateja litawaongezea mapato. Na Kodi ya majengo nayo Bado kizungumkuti, sisi wenye majengo...
  3. JamiiForums Tanzania Jinsi Afrika inavyoingia katika mtego wa mnyororo wa madeni kausha damu

    Mueleko wa nchi za Africa katika upande wa uchumi kuhusiana na madeni kwa miaka ya mbeleni sio mzuri sana. Nchi takribani 20 za Africa zinakabiliwa na changamoto kubwa ya madeni, hii ni kutokana na ukopaji wa juu sana katika miaka 10 iliyopita. Hali tayari imepelekea nchi 3 (Ghana, Zambia na...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia anasema anakopa kwa riba ndogo, je ana uhakika sio mikopo kausha damu?

    Rais Samia kwenye hotuba yake kupokea gawio za mashirika ya umma na yale yenye hisa za serikali kuna mambo amesema yanatia mashaka. Kwanza kufuatana na msajili wa mashirika hazina ni asilimia ndogo tu ya mashirika yametoa gawio kwa hivyo hapo bado hali ni mbaya vigogo wengi bado wanakula...
  5. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Kigoma waaswa kujihadhari na mikopo kausha damu

    Mkuu wa Wilaya ya Kasulu, Kanali Isaack Anthony Mwakisu akizungumza na wataalamu kutoka Wizara ya Fedha katika Ofisi yake iliyoko mkoani Kigoma. Lengo lilikuwa kutoa elimu kuhusu masuala ya fedha kwa wakazi wa eneo hilo ikiwa ni jitihada za Serikali kuelimisha jamii kuhusu masuala ya kiuchumi na...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu tunaomba uingilie kati suala la mikopo ya mitandaoni labda serikali itachukua hatua

    Nchi hii kuna mambo ambayo bila kuongelewa na wanasiassa au watu maarufu, mambo hayo huendelea kufanyika hata kama yako kinyume cha sheria na yanaumiza wananchi. Mojawapo na hili la mikopo ya mitandaoni ambalo hata Raisi wa nchi sidhani kama amewahi kuliongelea. Hili kwa sasa ni tatizo kama...
  7. JamiiForums Tanzania Hii si kausha damu hii?

    Yani taasisi kubwa kama hii inafyeka hela za wateja kiasi hiki? Serikali itupie jicho hapa
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini app za mikopo ya mtandaoni zinatumia picha za wanawake warembo kutangaza biashara zao?

    Kama unatumia sana youtube utakuwa umekutana na matangazo ya mikopo mtandao. Mimi sikuwa nayazingatia mpaka yakaanza kuwa ya ajabu ajabu kama hivi; Basi nikaamua kufuatilia kidogo, nikatafuta makampuni yanayomiliki haya matangazo. Cha kushangaza utakuta vikampuni vingi vingi viko chini ya...
  9. JamiiForums Tanzania Songwe: Polisi yawakamata wanaotoa Mikopo ya Kausha Damu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe kwa kipindi cha mwezi Aprili, 2024 linawashikilia watuhumiwa 424 kwa tuhuma ya kujihusisha na matukio ya Ukatili wa kijinsia, Uvunjaji, Wizi, mauaji, utapeli kwa njia ya mtandao, Kujifanya mtumishi wa serikali, Kughushi nyaraka, dawa za kulevya, ukiukwaji wa sheria...
  10. JamiiForums Tanzania Hii mikopo ya simu bora kausha damu, Serikali iiangalie aisee

    Aisee hii mikopo n balaaa inatesa wamama wengi sana ingawa hawajajua Majuzi nilikuwa napiga kwa shemeji yenu, ana simu mbili, ya kwanza ilibaki nyumbani ya pili piga kimya haipatikani na kaaga anaenda kanisani. Nikamuuliza aliporudi vipi mbona umezima simu, sio mimi wenye simu zaoo sijalipia...
  11. JamiiForums Tanzania Imebidi nihamie kwangu ghafla kumkwepa mdada kausha damu

    Wakuu poleni na mishe za hapa na pale. Sio mwandishi mzuri sana. Nimeona leo nishee nanyi kisa cha kumalizia chumba kimoja kwenye mjengo wangu mpya kumkimbia huyu singo mama. Mwaka jana mwezi wa sita nilikutana na huyu bidada mrembo wa kuvutia kwa nje mahala ambapo nilikua nikienda mara kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Mikopo umiza, kausha damu ni matunda ya mifumo ya kibenki iliyojaa urasimu

    Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu kwenye vyombo vya habari madhila wayapatayo wakopaji wa taasisi za mikopo midogomidogo hususani akina Mama inaonekana sauti ya vilio ni kama imepanda zaidi. Kwanza kabisa taasisi hizo pamoja na kupewa jina baya kana kwamba zinakosea sana ni zao la mifumo mibovu...
  13. JamiiForums Tanzania Wanawake mnakubali vipi kuitwa ombaomba, kausha damu uwo ni unyonge kataa unyonge

    Mwanamke umekamilika na viungo vyako vyote unashindwa vipi kupambana kujisimamia na wewe kawa na vyako na maisha bora bila ya kumtegemea mtu. Uzuri, shepu na sifa nyingine sio kigezo cha wewe kubweteka na kuvitumia kama kitega uchumi chako, kuna wazuri na wenye shepu zaidi yako wamepambana...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali yaahidi kuwashughulikia wanaowadhalilisha wakopaji Mitandaoni kwa mikopo Kausha Damu

    Serikali imetoa wito kwa watoa huduma za kifedha nchini kufuata sheria na taratibu za huduma za Fedha ikiwemo kupata leseni ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ili kuhakikisha huduma hizo zinatolewa kwa ufanisi bila kuwaumiza na kuwadhalilisha wanufaika na hatimaye kukuza uchumi wa nchi. Akizungumza...
  15. JamiiForums Tanzania Kifanyike kipi kuboresha Mikopo kausha damu iwe na manufaa kwa wakopaji?

    Habari wakuu, nmeona kipindi cha ripoti maalum ITV kuhusu mikopo kausha damu. Malalamiko ni mengi sana licha ya kuwepo kwa uhitaji wa mikopo na wengine kufikia hatua ya kuomba hii mikopo isitishwe. Dhamana zinazowekwa na kiasi cha mkopo haviendani kabisa. Kwa maelezo ya wanawake wengi...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Wadada kausha damu, jifunzeni hata kuwapikia boyfriends wenu

    Habarini Nimefanya takwimu isio rasmi, nimegundua wanaume ndio tunaongoza kwa kula migahawani kila siku, asubuhi mchana na jioni, wadada wanaokula migahawani ni wachache, tena wanakula mara moja moja, nika-reason na kusema wanaume wanaokula migahawani sio kwamba wote wako single, wengine wako...
  17. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Wizara ya Fedha hainufaiki na mikopo ya 'Kausha Damu'

    Suala la mikopo ya chap chap yenye riba kubwa maarufu 'kausha damu' limejitokeza katika mkutano wa hadhara wa Katibu wa NEC, Itikadi, Mafunzo na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda ambapo wananchi wa Singida Mjini wamemuomba kiongozi huyo kuwasaidia. Leo Alhamisi Januari 25, 2024...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaendelea kuchukua Mikopo Kausha Damu wakati wengine Wanafilisiwa?

    Wakuu, Mikopo kausha damu inapigiwa sana kelele, na tuomeona watu kadhaa wakiathirika na mikopo hiyo, lakini mbali na hayo yote kutokea na kupigiwa kelele kuwa haifai bado watu wanaendelea kukopa na wahanga wanaongezeka! Kwanini watu wanaendelea kuchukua mikopo hii mbali na athari wanazopata...
  19. JamiiForums Tanzania Wakurugenzi na maafisa utumishi chanzo cha mikopo kausha damu kwa watumishi, hasa walimu na manesi

    Mara nyingi nimekuwa nikijiuliza inakuwaje mtumishi wa umma anaenda kukopa taasisi zenye riba kubwa na matapeli wakati anauwezo wa kukopa benk kama NMB na CRDB ambapo ni salama kwake. Kumbe chanzo ni nyie nyie serikali kupitia wakurugenzi na HRO, alafu kucha kutwa mnasimama majukwaani watumishi...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Nitajieni biashara nyingine inayotoa faida kama mikopo ya kausha damu!

    Kausha damu: Unawekeza mtaji wa shilingi 1,000,000, unavuna faida ya shilingi 300,000 mpaka 400,000 kwa mwezi. Nitajieni biashara nyingine kama hii. Tunaposema hii mikopo ni kausha damu na initia watu umasikini, basi hicho ndicho kinachofanyika. Hivi leo hii ukipewa mtaji wa shilingi 1000,000...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…