kauli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nipe sababu ya msingi kuu ya kupinga kauli ya kuwa sisi waafrika nchi zetu sio "SHITHOLE COUNTRIES"

  2. U

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Lissu kwa Heche imezima kabisa ndoto ya vigogo wa CHADEMA waliopanga kumvuruga Heche kupitia Baraza Kuu

    LIssu anasoma magazeti kama mshtakiwa wa kisiasa. Anajua fitina zinazoendelea. Lissu anajua mapandikizi ya Serikali ya CCM walioko kwenye chama chake. Kauli aliyomwambia Heche mahakamani kwamba "UNAFANYA KAZI ILIYOTUKUKA" Siyo kauli ya bahati mbaya hata kidogo. Ni ujumbe aliotafakari na...
  3. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA toeni kauli kupinga hii the so called Tume

    Silence means what? Consent? Tuanzie hapo
  4. JamiiForums Tanzania Chacha: Vyombo vya usalama mfuatilie Heche kwa kauli zake

    Katibu wa NEC, Organizesheni wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Chacha, amesema CCM haina ajenda za kuua watu, kama ambavyo Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara, John Heche, amekuwa akidai. Akizungumza jijini Dodoma, Chacha amemnukuu Heche akisema, "Wasira ni mzee anasinzia kwenye vikao...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mzee Alipipi Lumuli Kasyupa - Kauli Ya Nchimbi Kuhusu Tupiganie Katiba Mpya Ni Kauli ya Mungu

    04 August 2026 Kyela, Mbeya Tanzania KATIBAKITAA - Mbunge Mstaafu wa G-55 Anafunguka Juu ya Katiba Mpya na Maridhiano Mbunge mstaafu wa Jimbo la Kyela Mzee Alipipi Lumuli Kasyupa akifanya mahojiano maalum kwenye kipindi cha Katiba Kitaa https://m.youtube.com/watch?v=gMXhLrtH45Q Emmanuel...
  6. JamiiForums Tanzania Kauli Ambazo watu hujisemea Moyoni kama masihara ila kweli inawauma na wanamaanisha Wakiona Video za Chumba cha Hospitali cha Zuchu na Mtoto Wake

    "Aah... hawa nao si wazime hizo camera sasa." "Kwani wao ndiyo wamezaa peke yao?" "Sawa tumeelewa, mtoto kazaliwa... sasa ndo kila saa?" "kuna watu wanachezea hela." "sijui niwa unfollow hawa waanafamilia ya wasafi kwanza, pressure za bure hizi." "kwamba mtoto wao ndo ana thamani sanaaaa "Na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli CCM ndio inayotawala, ila wanaotawaliwa hawapo isipokuwa kundi la wauwaji pekee na 2030 tutadili nao

    Huu ndiyo ukweli uliopo Chawa mpoo!! 2030 au kabla ya hapo, wauwaji wote hamtajitetea, Kila aliyeshiriki kufanya mauwaji au kuhusika kwa namna yoyote Ile, hatakaa salama! TANZANIA yenye matumaini na Amani, ipo yaja
  8. JamiiForums Tanzania Ugaidi na Usalama wa AFCON 2027: Je, Kauli za Serikali Zinakinzana?

    Kwa kipindi sasa, Serikali imekuwa ikieleza kuwa nchini kuna vitisho vya ugaidi na kwamba vyombo vya ulinzi na usalama vinaendelea kuchukua hatua za kuzuia na kukabiliana navyo. Wakati huohuo, Serikali imeendelea kuwahakikishia Watanzania, wageni na mashirikisho ya soka kuwa Tanzania iko salama...
  9. JamiiForums Tanzania Ukisikia kauli hizi, jua umekwishakufa, bado kuzikwa tu

    Habarini ndugu zangu wa thamani sana, wa jukwaa zuri za Habari na Matukio. Nimekumbuka maisha ya miaka ya nyuma mno leo, kuna journal niliwahi kusoma inayohusu maisha. Kuna kauli ukisikia watu wanasema juu yako, ni lazima ujitafakari upya.. or otherwise you're already dead. Sisemi kwa nini ila...
  10. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa naye atupia lake neno kuhusu kauli ya Dr. Nchimbi ya kuwataka Watanzania wapambane wapate Katiba Mpya

    https://www.youtube.com/watch?v=_BjgSiVTCP0
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Heche juu ya hotuba ya Nchimbi juu ya Katiba mpya

    Msikilize HECHE akidadavua moja wapo ya kauli ya Nchimbi kuhusu Katiba mpya
  12. JamiiForums Tanzania Kuhusu Kauli ya Dr. Nchimbi (VP): Ni aidha Kuna mgogoro ndani ya serikali na CCM au mbinu ya CCM ya "jifanye uko nao, then strike hard"

    Hebu jaribu kidogo kufikiri hili; KWAMBA; Ana Rais yuko madarakani na yeye ni Makamu wake, yaani kiongozi mkuu wa serikali Na. 2... Na, chama chao ndicho kiko madarakani, kinaongoza serikali.... Na siku si nyingi amekuwa Katibu Mkuu na kada mbobezi wa chama chao karibu maisha yake yote hata...
  13. JamiiForums Tanzania Kauli ya NCHIMBI, "Rais yuko tayari KATIBA Mpya" alimaanisha, Matukio ya Utekaji,Mauaji Oktoba 29 , LISSU, ni Maji ya Shingo kwa Samia !!

    Wakuu nawaambia Jambo Moja kabisa la UHAKIKA bila mbambamba. SAMIA na Genge lake, wajifarague vipi, waruke, wake, wasimame ,wakimbie, wapae, yaan Hizo zote ni mbwembweeena HAZIWASAIDIII KITU CHOCHOTE. Ukweli ni kua, Mbinyo wa KIMATAIFA Uliopo kwa Samia ,ambao nayeye anaujua na Washirika...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa mazingira ya kisiasa kwa sasa hatuwezi kujipatia katiba mpya halali na yenye kutetea na kulinda haki za raia. Viongozi wote ni Null and void

    Kwanza kabisa niseme mifumo wa mahakama na bunge ni mifumo iliyoparalise na haina nguvu za kusimamia mchakato wa katiba mpya. Majukumu ya Bunge na Mahakama katika nchi yenye utawala wa sheria ni pamoja na Bunge (Legislature) 1. Kutunga sheria – kutengeneza na kupitisha sheria zinazotawala...
  15. JamiiForums Tanzania Mambo matatu yanawezekana kuhusu Nchimbi na kauli zake.

    Kauli tata za Nchimbi tangu awe makamu wa Rais zinaweza kuwa zinasukumwa na yafuatayo 1. Inawezekana amegundua hayuko kwenye mbio za urais 2030, kwamba tayari wenye chama wameshaamua ni kati ya Mwigulu, Ridhiwani na wengine ila sio yeye hivyo ameamua kujilipua kwa maslahi yake binafsi akiwa...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa: Makamu wa Rais ana nafasi gani katika nchi?

    Naomba kueleweshwa. Makamu wa rais ana nafasi gani katika nchi? 👉Anahamasisha wananchi wapambane na nani ili kupata katiba mpya? 👉Wanasiasa Wanaoishi mahabusu na magereza Leo siyo kwa sababu ya wimbo wa katiba mpya? 👉Yeye siyo makamu wa rais kutoka chama kilichoahidi katiba mpya ndani ya siku...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Naandaa Video Inayoonyesha Mkusanyiko Wa Kauli Tata Za Viongozi wa CHADEMA na wanaharakati Zilivyochochea Vurugu wakati na baada ya Uchaguzi

    Ndugu zangu Watanzania, Nipo Nafanya Maandalizi Mazito kwelikweli ya Kutoa video itakayoonyesha Mkusanyiko wa Kauli Tata na za kichochezi zilizokuwa zikitolewa na viongozi wa CHADEMA na wanaharakati kabla ,wakati na baada tu ya zoezi la uchaguzi kufanyika. Ambazo kwa kiasi kikubwa zilionyesha...
  18. JamiiForums Tanzania Watanzania sasa hivi wanawasiliana kwa na kuzungumza kauli moja,asilimia kubwa ukileta uchawa wanakurarua hapo hapo

    Au hamkuona kilichomtokea waziri kijana tajiri pale Mlimani City? juzi?
  19. K

    JamiiForums Tanzania Jamani naomba kuuliza ile kauli ya who are you bado inafanya kazi?

    Kuna kauli ilitokewa kwenye kikao Cha genge la wanaccm walioitwa wazee wa daresalama inayosema 'who are you ' sasa swali langu je kauli hiyo inafanya kazi? Hapa zingatia hatua ambazo US, Commonwealth na EU wameshaanza kuzichukua na matokeo ya hatua hizo. Pia soma: PostGE2025 - Balozi wa Umoja...
  20. JamiiForums Tanzania "Sisi hadi tutoke ndio tule"- Kauli ya malofa

    Ukishasikia mtu anasema "sisi hadi tutoke ndio tule" ujue huyo mtu ni zwazwa, mjinga na lofa tu. Hii ni kauli moja ya kijuha na kipumbavu sana. Nani unamuambia aliyesababisha wewe kuishi hayo maisha ya kilofa ya "hadi utoke ndio ule"? Nani unataka akuhurumie kwa wewe kuishi hayo maisha ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…