katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uzi kwa ajili ya mtu uliyempenda na bado unampenda lakini aliondoka ghafla katika ukaribu wenu

    Habari wanaJF, Naamini kwa idadi kubwa ya watu wa humu, kunaye mtu uliyewahi kumpenda na pia bado unampenda lakini kuna mambo yalitokea hadi hivi sasa haupo karibu nae au haupo nae katika mahusiano. Je, unamkumbuka ni nani na kilitokea nini hadi hali kama hiyo ikatokea ilhali bado unampenda...
  2. JamiiForums Tanzania 2 Samweli 2:26: Samia na Free Man Mbowe: "Msigombane Njiani" katika Muktadha wa Kisasa,

    Katika historia ya siasa za Tanzania, viongozi wawili, Samia Suluhu Hassan na Freem Mbowe, wamekuwa katika mazingira ya kisiasa yenye changamoto na mabadiliko. Mstari wa Biblia, 2 Samweli 2:26, unaongelea umuhimu wa umoja na ushirikiano, ambapo Abner anasema, "Msigombane njiani." Huu ni mwito wa...
  3. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Kivuli cha Mfalme Daudi Kwenye Biblia katika Serikali ya Samia

    Freem Mbowe, kama kiongozi wa upinzani nchini Tanzania, anaweza kuhusishwa na Mfalme Daudi wa Biblia kwa njia kadhaa. Mfalme Daudi anajulikana kwa uongozi wake wa busara, ujasiri, na uwezo wa kuunganisha watu kwa malengo ya pamoja. Katika muktadha wa kisasa wa siasa za Tanzania, Mbowe...
  4. JamiiForums Tanzania Ndege ya Kivita ya Urusi SU - 35 yaingia Katika anga la Marekani huko Alaska, Rubani wa marekani apata Kiwewe

    Rubani wa ndege ya Kivita ya Urusi alimsurprise Rubani mwenzake aliyekua anaendesha ndege ya Kivita ya Marekani F- 16 akiwa katika doria karibu na pwani ya Alaska na kumfanya apagawe kwa namna Mrusi huyo alivompita ghafla katika tukio ambalo ni nadra sana kutokea. Mpaka sasa Pentagon hawajatoa...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Asionewe AWESO, Wizara/Idara zipi zinafanya vizuri katika utoaji huduma bora kwa watanzania?

    Kumekuwa na malalamiko makubwa ya upatukanaji duni wa huduma ya maji hususani katika jiji la Dar es salaam. Watanzania wamekuwa wakimtaka Mh. Aweso aachie ngazi nafasi yake ya uwaziri kwa kuwa wizara imemshinda. Binafsi nimekaa nikajiuliza, tofauti na wizara/idara za kukusanya pesa kutoka kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Mullah wa Iran, Mostafa Karami: "Israel wanatumia majini katika shughuli za kijeshi"

    Hahaha mwamba anasema tangu kipindi cha Daudi na Solomon hadi sasa Israel wanatumia majini na sayansi ya nyota katika harakati zao za Kivita. Msikilize zaidi katika video.
  7. JamiiForums Tanzania Robert Amsterdam afikiria kupeleka madai Jumuiya ya Madola ya kutaka Tanzania ifutwe wanachama kutokana na kunyamazia vitendo vya utekaji na mauaji .

    Mwanasheria wa kimataifa Robert Amsterdam apanga kufikisha madai kwenye Jumuiya ya Madola ya kuitaka jumuiya hiyo kuifuta uanachama Tanzania kutokana na mambo yanoendelea nchini hususan watu kutekwa, kuteswa na kuuliwa huku serikali inoongozwa na CCM ikikaa kimya bila kuchukua hatua yoyote...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Alilia baada ya kufa kitandani na sio katika vita

    Walid bin Khalid al-Walid, maarufu kama Khalid bin al-Walid, ni mmoja wa mashujaa wakuu wa Uislamu, anayejulikana kwa ujasiri wake na mafanikio yake katika vita. Hata hivyo, kuna hadithi inayozungumzia kifo chake, ambayo inaonyesha jinsi alivyokabiliwa na hali hiyo. Maelezo ya Kifo cha Khalid...
  9. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu tabia za wanaume washindao katika mitandao ya kijamii

    Men will like everything you post until he becomes your man, now he can't see🥲🤡😂
  10. JamiiForums Tanzania Kuna siri gani katika sehemu ya pembe tatu ya shetani(bermuda triangle)

    Wakuu habari zenu.......... Bila shaka wengi wetu tumekuwa tukisikia kuhusu bermuda triangle sehemu ambayo inapatikana bahari ya atlantic na huwa tunasikia kwamba meli yoyote ikipita eneo hilo basi huwa una uwezo wa kuzama na hata ndege inaweza kuvutwa na kuzama katika bahari hiyo.... Swali...
  11. JamiiForums Tanzania Hatua Muhimu za Kufanikiwa Kiuchumi katika Maisha zifuate

    Hatua Muhimu za Kufanikiwa Kiuchumi katika Maisha Kufanikiwa kiuchumi kunahitaji mchanganyiko wa mambo mbalimbali, ikiwa ni pamoja na mipango, ujuzi, na mtazamo sahihi. Hapa kuna baadhi ya hatua muhimu ambazo unaweza kuchukua: ### 1. Elimu na Ujuzi: Elimu ya juu: Ingawa si lazima kwa kila...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini watu wanaojitolea katika jambo fulani ndiyo wanaumia zaidi, hivi siku moja Mungu atatukumbuka kweli?

    Habari wana jf, husika na kichwa cha habari hapo juu. Binafsi nasikia uchungu kweli, kuna mdada mmoja nimempenda kweli sasa nilimwelekeza nikaona kama kakubali lakini roho ilikataa kabisa sijui hata kwanini, lakini moyo ukalazimisha. Sasa leo mchana, msichana kaja kununua mafuta kidogo...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, inatubidi tukueleze wazi kuwa mvuto wako unazidi kushuka hapa nchini na katika Jumuiya za kimataifa

    Nalazimika kukueleza Rais wangu Mpendwa, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kuwa mvuto wako unazidi kushuka, kadri siku zinavyosonga mbele. Kwa kweli Mimi nilikuwa mmojawapo niliyekuwa nakuunga mkono sana, baada ya wewe kuchukua mikoba ya aliyekuwa Rais wa awamu ya 5, Rais John Magufuli baada ya...
  14. JamiiForums Tanzania Kiapo na Maagano ya Kufanikiwa katika Maisha.

    KIAPO NA MAAGANO YA KUFANIKIWA KATIKA MAISHA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hii ni Moja ya zile Siri ambazo nilikuahidi nitakueleza. Na lolote nitakalokuahidi nitatimiza. Wala sitasahau kutimiza lolote nililokuahidi. Haya nisikie Sasa, Mafanikio yapo ya aina mbalimbali. Kîla Mtu anahitaji...
  15. JamiiForums Tanzania Nataka niweke biashara tatu kwenye duka moja la Electronics? Naombeni ushauri!

    Habar wanajf naimani mko powa Sana Leo nataka tujadili kuhusuu hii idea siyo ngeni maana maduka kazaa nishawah ona so ntaka mnishauriii kidogo.. Nataka kufungua duka la vifaa vifaa vya electronics. Lakini ndanii nataka nichanganye niwekeee vifaaa vya simu. Pia niwekee vifaa vya umeme vile...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Je wewe ni mwanafunzi wa chuo kikuu au mtafiti na unahitaji usaidizi katika research organization and publication an, statistical analysis?

    Visit ResearchLink International for assistance in statistical analysis, research organization, planning, data analysis, article publication, plus other study opportunities. University students, grab these opportunities without missing, it's free.
  17. JamiiForums Tanzania Kona katika Barabara ya Mbinga - Mbamba Bay (km 66) Ruvuma

    Mwonekano wa barabara ya Mbinga - Mbamba Bay yenye urefu wa kilometa 66 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami Mkoani Ruvuma na kufunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Septemba 25, 2024. (📸 - Wizara ya Ujenzi)
  18. JamiiForums Tanzania Je, Poland na Hungary waitwe wabaguzi kwa kuweka ulinzi mkali na kuzuia wahamiaji kuingia kiholela katika mipaka yao.

    Hapa ni waziri wa uhamiaji wa Poland akiongelea kuhusu nchi yake kuwa na kiwango kidogo cha machafuko, ugaidi na uharifu ambao umeongezeka zaidi katika nchi nyingine zilizoruhusu wahamiaji kiholela. https://youtube.com/shorts/y9fY9ft7_5U?si=liV91sa-H96z5P-B Hapa ni vikosi vya usalama vya...
  19. JamiiForums Tanzania Ndoto ya Tanzania katika Michezo ya Olympic: Mpango wa Miaka mitano.

    Mwaka 1964 ndio ulikuwa mwanzo wa Tanzania kuanza kupeleka wanamichezo kwenye michezo ya Olympic na tumekuwa tukifanya hivyo kila wakati isipokuwa michezo ya Olympic ya mwaka 1976 huku pia tukiwa hatujawahi kushiriki kwenye ile michezo ya Olympic ya Winter. Katika michezo hii toka mwaka 1964...
  20. JamiiForums Tanzania Ninachokiona katika hili kongamano ni kama watanzania hatuna furaha ,kuna shida mahala

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akishiriki Kilele cha Kongamano la Nne la Uhuru wa Kidini la Afrika lililofanyika katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha tarehe 21 Septemba 2024. . Naona matabasamu kwa viongozi tu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…