katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dkt. Jairy Khanga: Mradi wa Scaling up Family Planning (SuFP) umefika katika vituo 74 Mkoani Kilimanjaro

    Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Dk. Jairy Khanga ameeleza kwa kina kuhusu utekelezwaji wa Mradi wa Scaling up Family Planning (SuFP) Programme katika mkoa wake. Alibainisha maeneo yaliyofikiwa, changamoto zilizojitokeza, na mikakati ya kuzikabili. Hapa kuna mambo makuu aliyozungumza: 1...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yasema huduma zilizotolewa katika Mradi wa Kupanua Huduma za Uzazi wa Mpango (SuFP) zitaendelea kutolewa nchini

    Viongozi wa serikali, washirika wa maendeleo, wataalamu wa afya, asasi za kiraia pamoja na wawakilishi wa jamii wamekutana jijini Dodoma, Juni 18, 2026 katika kongamano la kujifunza lenye kaulimbiu “Kudumisha Mafanikio Yaliyopatikana katika Afya ya Uzazi na Jinsia”, kuadhimisha kufungwa rasmi...
  3. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kuhukumu wanawake kutanguliza kigezo cha pesa na status zaidi katika kutafuta mahusiano mapya?

  4. JamiiForums Tanzania Tunaotegemea ulozi katika maisha yetu tukutane hapa

    Huu ni Uzi maalumu kwetu sisi vigagula , kwa ajili ya kupeana update za dawa mpya na michanganyo yake kwa lengo la sisi kupandishwa vyeo makazini, kuwaroga mabosi zetu watuachie Mali , kuroga wazungu, kujipatia Mali za kilozi n.k Binafsi tayari Nina mchanganyo mpya wa jinsi ya kuwavua na...
  5. JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Ni huzuni sana, Taifa letu limepoteza tunu zote na tunawekeza katika Chuki, Ulaghai, vitisho na kutowajibika

    MAANDIKO YANASEMA...TUTAWAGUNDUA KWA VINYWA NA MATENDO YAO. Natamani iwe kama Usajili ili tusajili Wabunge hawa wawe ndani ya Bunge letu na taasisi zenye dhamana ya kulinda Utu na Uhai wetu. Taifa letu lilisifika kama nchi ya Mstari wa Mbele katika ukombozi wa Afrika tukihubiri haki na uhuru wa...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Lissu alivyochambua kasoro za Muungano katika Bunge Maalum la Katiba mwaka 2014

    Kumbukizi: Kauli za Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alizozitoa katika Bunge Maalum la Katiba mwaka 2014 kuhusu kasoro zilizopo kwenye Muungano. Wakati huo alikuwa Mkuu wa Sheria wa chama hicho na Mbunge wa Singida Mashariki.
  7. JamiiForums Tanzania DOKEZO Ukosefu wa Vifaa kwa Wapima ARDHI (land surveyors) ni sababu Kuu ya kuwa na gharama kubwa katika Upimaji Ardhi

    Mimi ni mmoja ya watu wanao amini katika ARDHI hasa zile ambazo hazijaendelea wengi hupenda kuita mapori au bush huko ndio mahali huwa napenda kutupia visent vyangu. sina tofauti na mtu anae bet kwa muhind maana unaweza nunua pori leo baada ya miaka kadhaa unakuja unaambiwa nusu ya eneo lako...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna mambo gani mazuri ya kuvutia katika ndoa ambayo mke anamzidi umri mume?

    Priyanka Chopra Jonas (miaka 43) na mume Wake Nicholas Jonas (miaka 32)
  9. JamiiForums Tanzania Wafungaji Bora wa Muda wote katika World Cup mpaka kufikia leo Juni 17, 2026

  10. M

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa kiislamu katika media hawana propaganda

    Nimejifunza kitu ktk uchambuzi wa vita vya Iran vs Marekani vs Isreal. Waislam walioachambua vita hivi ndio wakichambulia hali halisi ya vita bila propaganda. Licha ya kutoinesha imani yao ktk uchambuzi, lkn walikuwa hawaegemei upande wowote ile Hatimae yaliochambuliwa kupitia media mbali mbali...
  11. JamiiForums Tanzania Dkt. Kevin Mwasha: Wananchi wanaotumia maji kutoka katika vyanzo visivyo salama wayachemshe au watumie vidonge vya kusafisha maji

    Hofu ya Kiafya Inayozidi Kutokana na Maji Yasiyo Salama Wakati mradi wa maji wa Shilingi bilioni 4, Kata ya Mkwajuni, Wilayani Songwe ukisubiriwa kwa hamu kubwa kuanza kufanya kazi, hofu ya kiafya inazidi kuongezeka miongoni mwa wananchi wa Kata hiyo. Wananchi wanabainisha kuwa maji...
  12. JamiiForums Tanzania Changamoto za Msingi Zinazohitaji Kufanyiwa Kazi Haraka katika Shule ya Wasichana Jokate Mwegelo Sekondari, Kisarawe

    Shule ya Jokate Mwegelo Girls Sekondari iliyopo Kisarawe ni miongoni mwa shule zinazofanya vizuri kitaaluma, jambo linalotokana na juhudi na kujituma kwa walimu pamoja na wanafunzi wake. Hata hivyo, shule inakabiliwa na changamoto kadhaa za msingi zinazohitaji kushughulikiwa ili kuimarisha...
  13. JamiiForums Tanzania Uharibifu wa mazingira kupitia ukataji miti hovyo ni tishio kubwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya - Mbeya

    Uharibifu wa mazingira kupitia ukataji miti hovyo umeendelea kuwa tishio kubwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya. Makala hii inaangazia sababu kuu zinazochochea kasi ya upotevu wa misitu katika wilaya hiyo. Kilimo cha Tumbaku na Nishati ya Kuni Sehemu kubwa ya misitu ya...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Watu hatari katika taifa hili au machawa hatari

    1. Chalamila 2. Kihongosi 3...,.........
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mechi zitakazo oneshwa mubashara TBC1 katika hatua ya makundi WORLD CUP. Kama hazipo hapa usiwasumbue

    Kumekuwa na malalamiko kuwa muda wa mechi kuna vipindi vinaendelea. Jambo la msingi ni kujua kuwa ni baadhi tu ya mechi za bure hupewa televisheni za taifa waonyeshe lakini mechi nyingi hupewa chanel za kibiashara. Wastani huwa ni mechi moja kwa siku, hizi ndo mechi za bure ambazo zitakuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Naamini katika wilaya yangu yote ni mimi pekee nisiyeamini huu UPUMBAVU.

    Juzi kati nilitembelea watoto yatima sehemu fulani maporini huko na nikiwa huko nilihisi kung'atwa na kitu then kurudi home wakati naoga nikaona pale mahali pamevimba.Na palivimba na kuwasha sana kwa kama wiki nzima huku dawa nilizopewa hospitali kutosaidia kit. Tukiwa kitandani shemu wenu...
  17. A

    JamiiForums Tanzania How wenzangu munaweza ku control wanawake katika ndoa zenu nipeni mbinu

    Moja kati ya jambo ambalo najiulizaga How Hawa wanaume wenzangu wanafikia Level za kutesa wake Zao au kuwa control na wengine wanashindwa kabisa na matukio ya wanaume wanaamua kwenda kwao Wanafanya fanyaje 😀😃😄 maana Mimi mwezenu tayari nimedandia mtungi wa vibwengo Nimeona Kamada wa jeshi (😀😃)...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira za Watanzania katika Mradi wa EACOP ziangaliwe kwa karibu na Serikali

    Mradi wa EACOP ulianza mwaka 2021 na sasa mwaka 2026 unakaribia kufikia mwisho. Hata hivyo, kuna wasiwasi mkubwa kuhusu utekelezaji wa mpango wa uhamishaji wa ujuzi na urithishaji wa nafasi (succession plan), hususan kwa wafanyakazi wa Kitanzania. Kwa zaidi ya miaka minne, Watanzania wamefanya...
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: JasusiTV: Hatimaye yamekuwa. Hoja ya kum - impeach VP Dr Emmanuel Nchimbi yaweza kusomwa wakati wowote katika bunge hili la bajeti!

    https://youtu.be/ZY0-McsJUgM?si=BKQSHy6agElfKKdu Eti na mwisho wake uwe hivi👉🏻: Kwamba, Albert Bashite Malyangili a.k.a Paul Makonda ndiye achukue nafasi ya Dr Emmanuel Nchimbi - awe Makamu wa Rais🤔🤔 Acha ncheke 😁😁na kusikitika miye.. ======================= Ni patamu hasa. Ni mpambano mkali...
  20. JamiiForums Tanzania Rekodi zinaonesha Arsenal imepoteza katika Fainali 5 za Michuano ya Ulaya

    Mei 30, 2026, Arsenal ilipoteza fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Paris Saint-Germain (PSG) Kwenye Uwanja wa Puskás Aréna Jijini Budapest nchini Hungary. Ilipoteza kwa matuta 4-3 baada ya sare ya goli 1-1 katika muda wa kawaida, kipigo hicho kilikuwa cha tano katika fainali 5 ambazo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…