katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Simba 10 wauawa Ngorongoro, yadaiwa ni kisasi baada ya Simba kuwala punda wawili wa wafugaji

    Taarifa za awali kutoka eneo la Ndutu, Kata ya Endulen, Wilaya ya Ngorongoro, zinaeleza kuwa leo Septemba 19, 2026, simba wapatao 10 wameuawa katika tukio linalodaiwa kuhusishwa na kisasi baada ya simba hao kuwala punda wawili wa wafugaji katika eneo hilo. Taarifa zinaonesha kwamba awali simba...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Kutambulika kwa Kampuni za Tanzania katika Soko la Kimataifa

    Kampuni za Tanzania bado zinakabiliwa na changamoto ya kutotambulika kwa kiwango kinachostahili katika mazingira ya biashara ya kimataifa. Hali hii inaweza kupunguza fursa za kampuni kupata uwekezaji, kuingia katika ubia wa kimkakati na kushirikiana na kampuni kubwa kutoka nje ya nchi. Kwa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Sanaa na Mdidimizo wa Maadili ya Uongozi katika Jamii ya Sasa

    ANDIKO LA FANANI WA HBC (THE NIGHT WATCHER) KIONGOZI VS MSANII Ni UKWELI USIOPINGIKA kuwa NGUVU ya MSANII kwa kutumia SANAA YAKE ni KUBWA kuliko NGUVU ya KIONGOZI anapotumia SIASA ZAKE na pia SAUTI ya MSANII haina TOFAUTI na NGURIMO Za RaDi anapoiisemea JAMII YAKE. Tuna mifano MINGI ya...
  4. R

    JamiiForums Tanzania GPA ya 3.0 anaweza kua shortlisted katika Kazi za serikalini?

    Habari , naombeni ukweli kuhusu ilo Jambo!
  5. H

    JamiiForums Tanzania UNIDO yaahidi kuifanya Tanzania kuwa nchi ya mfano barani Afrika katika utekelezaji wa Mpango Jumuishi wa Ushirikiano na UNIDO (PCP)

    UNIDO yaahidi kuifanya Tanzania kuwa nchi ya mfano barani Afrika katika utekelezaji wa Mpango Jumuishi wa Ushirikiano na UNIDO (PCP) Ahadi hiyo ilitolewa na Bi. Fatou Haidara, Naibu Mkurugenzi Mkuu wa UNIDO alipofanya mazungumzo na Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo...
  6. JamiiForums Tanzania US kuichukua Greenland ina maana sasa hivi US ana jilinda katika kila angle ya dunia inayomzunguka

    Akiwa alasska ana tazama west europe. Akiwa maina land ana mtazama south na central america na east asia. Akiwa green land anatazama east europe.
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Matokeo ya Wanafunzi na Uadilifu katika mchakato wa kutoa alama

    NB: Lalamiko hili linawasilishwa kwa heshima na kwa nia ya kulinda haki za wanafunzi pamoja na uadilifu wa kitaaluma wa Chuo. Kumekuwa na ucheleweshaji wa kutolewa kwa matokeo, hususan kwa wanafunzi waliofanya mitihani ya marudio (Supplementary/SUP), ambapo hadi sasa baadhi ya matokeo...
  8. JamiiForums Tanzania Mwaka 2027 katika nimerolojia

    Mwaka huu (2027) katika numerolojia inatawaliwa na namba 2 ambayo inatokana na utaratibu wa kujumilsha kila namba katika mwaka na kuhakikisha namba inabaki katika dijiti moja. Inakuwa hivi: 2027= 2+0+2+7=11 11=1+1=2 ............................... Baada ya kasi na misukosuko ya mabadiliko...
  9. JamiiForums Tanzania Lema alipokutana na Heche jana alitikea Sea Cliff hotel au Arusha?

    Na walizungumza nini kwa mfano? Na mbona facial expressions na body language zao hazina chemistry ya pamoja na kwamba ni kama vile hakuna cha maana kilichojadiliwa miongoni mwao jana? au wewe umeobserve nini politically miongoni mwa mafahali hao wawili wanaokabiliwa na tuhuma za ufisadi na...
  10. JamiiForums Tanzania Nimejifunza mengi katika muda mchache

    Wakuu..... imepita kama mwezi 1 na nusu tokea nipitie changamoto ambayo baadae ilinipa funzo kuhusu namna ya kuishi kwa mipango. Nilipuuzia sana kuhusu pesa ya akiba, sikuwa na bajeti ya matukio ya imejens. Basi siku hiyo ikafika, nikamgonga mlevi mmoja alikuwa anakatisha barabarani, mlevi...
  11. JamiiForums Tanzania Usafiri wa bajaji na boda boda katika jiji la Dar

    Kwa mamlaka husika LATRA na wasaidizi wake likiwemo jeshi la polisi lenye mamlaka ya kulinda na kuhifadhi mali za raia, wameshindwa vipi kuvidhibiti vyombo hivi tajwa haswa katikati ya jiji na viunga vyake. Maana tukiachilia mbali ajali tunazo ziona kila siku barabrani vijana wengi kuumia na...
  12. JamiiForums Tanzania e-Ardhi: Serikali yaongeza ufanisi katika huduma za ardhi, Ruvuma

    Ruvuma Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeendelea kuchukua hatua za kisera na kiteknolojia kuboresha huduma za ardhi nchini, ambapo matumizi ya Mfumo wa e-Ardhi yameelezwa kuwa ni hatua muhimu katika kuongeza ufanisi, uwazi na usalama wa taarifa za ardhi...
  13. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa ardhi waendelea kunolewa katika matumizi ya mfumo wa e-ARDHI

    Wataalamu wa Ardhi Mkoani Singida wameendelea kunolewa katika matumizi ya mfumo wa e-Ardhi, hatua inayolenga kuwawezesha kutoa huduma bora na za kidijitali kwa wananchi. Matumizi ya mfumo huo yanatarajiwa kurahisisha upatikanaji huduma za ardhi, kupunguza usumbufu kwa wananchi na kuongeza...
  14. JamiiForums Tanzania NIIWEKEZE KATIKA NAMNA GANI IONGEZEKE HII PESA?

    Wakuu mimi kama kijana ninayechipukia katika kuelekea njia ya mafanikio nimejibana bana account yangu ya mpesa ina laki tano, kama mjuavyo nikisema niidumbukize yoote katika biashara ni kama kuBET japo naweza kuotea pia, kwa sasa sijapenda kuanza biashara moja kwa moja hivyo naomba mnipe idea...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Hali inayotokea katika maisha tumepangiwa au tunapanga sisi wenyewe

    Salaam Nianze na kutafakari kwanza asubuhi hii Hali hizi tunazokumbana nazo ni kwamba tumepangiwa au tumepanga sisi katika maisha haya tunayoishi sisi, Nimeenda na kuwahi kabisa kibaruani na kufata vigezo vyote sijachaguliwa kufanya kazi au Leo sio siku yangu , labda nataka niende sehemu...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Serikali imeelekeza zaidi ya Sh1.4 trilioni katika Mkoa wa Simiyu katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Sita, katika.. - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Serikali imeelekeza zaidi ya Sh 1.4 trilioni katika Mkoa wa Simiyu katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Sita, katika utekelezaji wa miradi ya umeme, barabara, maji, elimu na afya. 📍Itilima-Simiyu 🗓️Septemba 14, 2026 —————————— Amesema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Itilima, mkoani...
  17. JamiiForums Tanzania Kafara ya binadamu katika Biblia. Yeftha akimtoa binti yake sadaka ya kuteketezwa kwa mungu.

    Katika kitabu cha Waamuzi 11 kuna bwana mmoja alimtolea mungu nadhiri ahadi ya kwamba mungu akimsaidia akashinda vita dhidi ya maadui wake kiumbe chochote cha kitakachokuwa cha kwanza kuja kumpokea akiwa anatoka vitani atakitoa sadaka kwa moto wa kuteketezwa. Binti yake alikuwa wa kwanza...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini all of a sudden punyeto imekuwa focal point katika mijadala ya vijana

  19. M

    JamiiForums Tanzania Rukwa: Wananchi wateketeza kwa moto shamba la mwekezaji wakitafuta panya kwa ajili ya kitoweo!

    Moto Mkubwa uliosababishwa na baadhi ya wananchi umeteketeza eneo la Mwekezaji Suba Agro katika Kata ya Kipande, Wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa. Kwa mujibu wa Taarifa ya Mkuu wa Wilaya ya Nkasi, Peter Lijualikali amesema moto huo umesababishwa na wananchi walioukuwa wakitafuta kitoweo cha Panya...
  20. JamiiForums Tanzania Simba inaendelea kudhihirisha ubora wake katika Mashindano ya CAF

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…