katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano Katika kuendeleza Sayansi na Elimu Watiwa Saini Kati ya Tanzania na Saudi Arabia

    Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano Katika kuendeleza Sayansi na Elimu Watiwa Saini Kati ya Tanzania na Saudi Arabia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Aprili 13, 2025, nchini Saudi Arabia, imesaini Hati ya Makubaliano ya ushirikiano na Wizara ya Elimu ya Saudi Arabia katika kuendeleza...
  2. JamiiForums Tanzania Miamvuli gani original inaweza kukaa muda mrefu katika misimu miwili ya mvua?

    Ndugu katika mapambano. Leo jumatatu nimestuka saa tisa usiku naona mvua ipo kidogo nimejilaza naamka saa 11 mapema haijapoa. Nimeshindwa kutoka mpka naandika huu Uzi hapa na nmesogea nilipo weka mwamvuli Toka mwaka jana nmeufungua vyuma vyote vimeachia Kwa kutu. Nyie mnanunua miamvuli gani...
  3. JamiiForums Tanzania Huyu ameua wazazi wake ili arithi pesa zao na azitumie katika operasheni yake ya kumuua Trump

    Ni dogo tu wa miaka 17. Amewauua alafu akaishi na maiti zao ndani. Haya ni matokeo ya afya mbovu ya akili na utoto mwingi pale vyote vinapokutana na influence ya mitandao na habari za mrengwa wa kushoto (liberals) zinazoshinikiza chuki dhidi ya Trump.
  4. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Huyu hapa ndiye dereva aliyefariki katika ajali Iliyomuua Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna watu walikuwa wanauliza sana juu ya dereva aliyefariki katika ajali ambayo imechukua Maisha ya Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO. Soma Pia: Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia Wengine wakaenda mbali zaidi kwa kusema kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania HABARI MABOSS ZANGU : JE! UNAHITAJI RAMANI YA NYUMBA AU CHOCHOTE KATIKA UJENZI? BONYEZA 👇👇👇

    Habari! Nawakaribisha sana kwa yeyote mwenye kuhitaji ramani ya jengo aina yoyote ikiambatana na 1. JENGO LOLOTE (RESIDENCIAL AND COMERCIAL BUILDING) 2. Makadirio ya UJENZI (BOQ) 3. KUJENGEWA NYUMBA UKINUNUA MATERIALS AU KUTUKABIDHI PESA 4. USIMAMIZI WA JENGO LAKO BEI ZETU NI NAFUU SANA...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya Utambulisho katika usaili wa utumishi

    Habari wadau, samahani naomba kuuliza kuhusu Barua ya utambulisho kutoka serikali za mitaa inatakiwa iwe na sifa gani ili nipokelewe katika usaili wa utumishi? je inasainiwa na Afisa mtndaji au mwenyekiti wa mtaa ?
  7. JamiiForums Tanzania Kufahamu vituo vya kazi katika taasisi mbalimbali kama vile NEMC, IAA, TBC,VITUO VYA USAILI: ARUSHA, DAR ES SALAAM, DODOMA, MBEYA, MWANZA NA ZANZIBAR

    Habari wanaJF, kama naomba kufahamu kwa upande wa dar ni wapi panafanyikia huo usahili wa MCHUJO(WRITTEN INTERVIEW) katika taasisi tofauttofaut zilizotolewa juzi kama vike AICC, TBC, IAA, ,TPSC, VETA, SUA. maana wao wameandika "VITUO VYA USAILI: ARUSHA, DAR ES SALAAM, DODOMA, MBEYA, MWANZA NA...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Nina omba Msaada nina laki tisa nifanye Biashara gani? Mimi sio mwenyeji wa Tanga ila ningependa kufanya Biashara katika mkoa wa Tanga. Nipeni maoni

    Nina mtaji wa laki tisa nipo Tanga naomba mnisaidie Msaada wa mawazo nini nifanye ili kujipatia kipato na kukuza mtaji wangu.
  9. JamiiForums Tanzania Jamani acheni kujihusisha katika kutoa mimba

    Mnaua kiumbe kilichoanza uhai ndani ya mfuko huo ambapo ndipo haki yake ilipo. Usitoe uhai kwa maana tu uliteleza Usitoe uhai kwa sababu unajisikiaga raha ukiwa haujavaa kondomu. ABORTION IS SATANIC
  10. JamiiForums Tanzania Trump aanza kulainika katika vita vya tarrifs, aondoa bidhaa za marafiki zake katika tarrifs.

    Katika kile kinachohesabiwa na wengi kama kuanza kutepeta kwa Trump rais huyo wa Marekani ameondoa bidhaa za electronics katika vita vyake vya tarrifs na China. Hata hivyo Wamarekani wengi wamelalama wakidai sio sawa kujali bidhaa za electronics tu wakiamini inachangiwa na sababu za ukaribu...
  11. JamiiForums Tanzania Sauti za Farao zinarudi: Tanzania katika kioo cha Misri ya kale

    Queen Cleopatra Mara nyingine mimi P h a r a o h huketi na kuwaza juu ya anguko la Misri ya kale ( Ancient Egypt )—taifa lililokuwa na nguvu, hekima, na heshima iliyozidi mipaka ya dunia ya kale. Misri haikuwa tu nchi, ilikuwa moyo wa ustaarabu. Kwa karne nyingi, walitawala kwa fahari, farao...
  12. JamiiForums Tanzania Vita vya kibiashara ni haramu katika Uislamu

    Rasi Donald Trump wa Marekani anajaribu kadri iwezekanavyo bidhaa kutoka nje ziwe ghali kiasi kwamba wananchi wake wasizipate kwa urahisi ijapokuwa kwake hazipo.Na kinyume chake. Mu'az amesimulia: Nimemsikia Mtume wa Allah akisema" Mbaya ni yule anayelundika bidhaa na kuifanya iwe adimu...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bila kujali chama au cheo tofauti na Nyerere ni kiongozi gani nchini ana ueledi, unyenyekevu, uwajibikaji na utekelezaji?

    Bila kujal chama au rank, tofauti na nyerere ni kiongozi gan katika historia ya taifa letu anatik box za ueled, unyenyekevu, uwajibikaj na utekelezaji Moja ya kitu cha kishujaa niliwahi kuona ni pale Nyerere alipo admit makosa yako katika hii interview aliyofanya tena akihojiwa na mtu alie...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea kuhusu mechi ys Simba na Yanga ambayo iliahirishwa katika mazingira ya utatanishi baada ya Simba kugoma kufika uwanjani?

    Habari wadau! Mpaka sasa, tumesikia na kusoma mengi kuhusu hii mechi ambayo haikuchezwa baada ya Bodi ya ligi kuiahirisha huku Yanga wakifika uwanjani na Simba kutofika kama walivyokuwa wamepanga. Je, ni kweli jambo hili sssa liko huko CAS kwa ajili ya usuluhishi na maamuzi? Na kama kweli...
  15. JamiiForums Tanzania Hii ndio "THE NEW NORMAL" katika jamii zetu kwa sasa.

    🚩Mashoga kujivinjari na kujionesha waziwazi katika masherehe na shughuli za kutuzana, zamani mtu aliekuwa ushoga aliishi kwa usiri mkubwa sana yani unasikia juju kwa juu tu kuwa fulani ni shoga. 🚩Aina ya mwanamke alie katika utupu au historia ya skendo chafu ndio inakuwa televised na glorified...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa nini LAND CRUISER 300 ZX nyeusi?

    Natamani kufahamu utofauti wa LC 300 ZX nyeusi dhidi ya LC 300 ZX nyeupe. Nimekuta mahali LAND CRUISER 300 ZX nyeusi inapigiwa "debe" kama kwamba ni "bora" kuliko rangi zingine kama nyeupe. Nimeona pia viongozi wengi wanaotumia LC 300, magari yao ni rangi nyeusi. Naomba kufahamishwa...
  17. JamiiForums Tanzania Masikini tumebobea katika uchambuzi wa maisha ya tajiri lakini inapokuja upande wetu tukichambuliwa tunasema ni unfair huku tukipoint ni mkono wa mtu.

    🤣habari za tajiri muulize masikini. Utasikia: "Oooh yani mwanaume mzima kama yule anatembela IST" "Oooh ule ukuta hakupaswa kuufanyia vile skimming" "Ooh yani jamaa ana hela ila mke wake anasuka twende kilioni" Yakija maswala yake sasa utasikia ooh mtaani hapa watu wanafuga fisi ndio maana...
  18. JamiiForums Tanzania Magaidi 11 walioshiriki mauaji ya Oct 07,2023 waangamizwa Katika Operation zinazoendelea huko Gaza.

    IDF na ISA wamewaangamiza magaidi 11 wa Hamas na Islamic Jihad waliojipenyeza Israel na kushiriki katika mauaji ya Oct 07,2023, wakiwemo wale waliohusika moja kwa moja katika mauaji na utekaji nyara wa raia na wanajeshi wa Israel. Tisa waliuawa katika operesheni za hivi majuzi huko Gaza...
  19. R

    JamiiForums Tanzania BUSARA: Freeman Mbowe jitokeze kuonesha mshikamano wa CHADEMA katika Kesi inayomkabli Lissu. Kushiriki kwako kutaponya mgawanyiko uliojitokeza

    Ni busara ya kawaida tu kuwa katika shida, watu wanasahau tofauti zao na kuwa kitu kimoja. Siyo siri kuna mgawanyiko wa makundi mawili..Lisu vs Mbowe, yako wazi ingawa nobody wants to acknowldge this, but deeds can evidence that!! Jitokeze uwe msitari wa Mbele katika sakata la Kesi ya Lisu...
  20. JamiiForums Tanzania Kama unaamini katika hiki.."Roho za uchawi...Roho za umasikini...Roho za mauti ...Mikosi na laana" jua wewe ni Gullible of the gullibles

    Wasalaam Kuna hawa watu hasa mama zetu,mtu anakosea au anafeli katika mazingira fulani ya kibinadamu kabisa mathalani kwa uzembe wake au uzembe unaosababishwa na wengine...badala ya kukimbilia uwajibikaji kumezuka neno Roho ya... Kwa mfano mtu ni mlevi,badala ya kumwambia kuwa ni mlevi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…