katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. Wanaume tunatafuta Amani,salama na baraka katika ndoa,wenzetu wanadumisha utamaduni.

    Ndoa ni baraka na njia ya kuendeleza misingi mizuri ya utamaduni pamoja kuongeza uzao wa jamii/familia. Katika mkisanyiko huu dhamira kuu hua ni baraka ya watoto na kipato lakini pia kupunguza matokeo hasi kwa jamii dhidi ya wazaliwa wasiokuwa na malezi ya pande mbili kwani ukweli usiopingika...
  2. M

    Ipi impact ya matamko ya Pasaka na Christmas katika siasa?

    2015, 2019,2020,2024 na 2025? Naona ushindi kila tukienda unaengezeka Nini impact yake
  3. Wafanyabiashara acheni tamaa ya uchumi wa fremu na uchuuzi kila mahali

    Tamaa za Wafanyabiashara kufikiria kila mahali Panamanian kuwa na fremu na kufanyia uchuuzi ni janga kwa taifa hili na ndio imesababisha hata Dar es Salaam kukosa open spaces za umma. Shule sio kitu cha kupunguzwa bali kuongezwa kila mahali, ni bora mngependekeza makanisa na misikiti kupunguzwa...
  4. Shambulio katika jengo la idara fulani kugharimu maisha hasa watoto.

    Tukio litafanyika ila lengo la tukio halitatimia kwa asilimia 100, kwasababu huyo kigogo wa idara hiyo hakuwepo. Kitengo cha accommodation (kinachohudumu sehemu ya kupumzika wageni) kulaumiwa kwa uzembe, na ikumbukwe kua kabla ya tukio siku chache nyuma katika idara hii kulifanyika mabadiliko...
  5. Janabi hana Exposure wala Experience yoyote ya kimataifa ya kudeal na Afya , ukiachana na nadharia zake za kutoa miongozo katika ulaji hana sifa .

    Janabi hana Exposure wala Experience yoyote ya kimataifa ya kudeal na Afya , ukiachana na nadharia zake za kutoa miongozo katika ulaji hana sifa .
  6. Miujiza ya kushangaza yafanyika katika kaburi alilokuwa amezikwa Yesu!

    Kaburi alilozikwa Yesu baada ya kufa msalabani, limehifadhiwa katika nchi ya Israeli hadi leo. Watu wanaoingia ndani ya kaburi hilo, wamekuwa wakishuhudia uwepo wa Mungu na miujiza mingi. Katika kaburi hilo ndipo ulipofanyika muujiza mkubwa wa kufufuka kwa Yesu. Baada ya hapo miujiza mingine ya...
  7. Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mobhare Matinyi ameelezea namna anavyofanya majukumu yake

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi, ambaye pia anatuwakilisha katika nchi za Denmark, Finland, Norway, Iceland, Estonia, Latvia, Lithuania na Ukraine, amefanya mahojiano katika taarifa ya habari ya ZBC na mtangazaji Abubakar Harith na kueleza atakavyotekeleza majukumu yake ya...
  8. H

    Kuna ukweli wowote katika hili ?

  9. Kanisa Katoliki ndio taasisi inayoweza kumuokoa Lissu na kuirudisha CHADEMA katika uchaguzi kwa sasa.

    Kati ya taasisi ambazo zingeweza kupiga kelele kushinikiza Lissu asihukumiwe kwa uhaini ni balozi za Marekani na Umoja wa Ulaya lakini kwa sasa ni dhaifu sana na zimepoteza hadhi na heshima ya kutiliwa maanani na dola. Taasisi muhimu iliyobaki yenye ushawishi mkubwa katika jamii inayoweza...
  10. Je, Ni Lazima Utumie SPSS Katika Kila Aina ya research unayoifanya?

    Habari yako mwana JF, natumai umzima. Siku ya leo nimekuandalia thread nyingine inayohusu mambo ya research na leo tutaangalia kitu kinaitwa obsession ambayo imefocus na matumizi ya SPSS kuhusu kuanalyse data Je ni lazima utumie SPSS kwenye kila aina ya research unayoifanya? Twende...
  11. 'Nyaraka yenye utata' yaibuka Mahakamani wakati shahidi akitoa ushahidi katika Kesi ya Mwalimu kutuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wake

    Shahidi wa tatu upande wa Jamhuri katika Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39), Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi Africana, anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi (11) ametoa ushahidi Aprili 15, 2025. Katika ushahidi huo ambao ulitumia takribani saa tano...
  12. Amakweli kifo cha Simba furaha kwa Swala, ACT Wazalendo wanatumia matatizo ya CHADEMA kama fursa katika Chama chao

    Amakweli kifo cha Simba furaha kwa Swala, ACT Wazalendo wanatumia matatizo ya CHADEMA kama fursa katika Chama chao ACT wamesikika wakishawishi Wanachama wa CHADEMA wajiunge katika Chama chao endapo kama wanataka kufanikiwa kisiasa ACT inajulikama kama Chama pinzani lakini kimekuwa kikifurahia...
  13. Hukumu ya mwenye kunywa pombe au kilevi chochote katika uislamu ni kupigwa viboko 80

    Kwa sisi tuliokunywa pombe zaidi ya mara moja inatakiwa tupigwe viboko Hadi tufe. "Enyi mlioamini msiingie katika swala mkiwa mmelewa" .. " hakika pombe, na kamari na kupiga ramli ni miongoni mwa amali au matendo ya sheitani..Hizi ni baadhi ya Aya nilizozinukuu kutoka kwenye kitabu kitukufu Cha...
  14. Kuna Msanii mmoja amefariki ila Watu wanadai amerogwa hii ni Imani ya kijinga , tujifunze kuamini katika Qadari za Mwenyezi Mungu

    Kuna Msanii mmoja amefariki ila Watu wanadai amerogwa hii ni Imani ya kijinga , tujifunze kuamini katika Qadari za Mwenyezi Mungu. Pia nyie wanawake mnaosema mtaendelea kuwakomesha Michopuko yetu kwa ulozi acheni Mara moja. Maana sio rahisi Mwanaume amuone Mwanamke Mrembo na amuache hivi hivi.
  15. PreGE2025 Chadema haidai Vita ila inadai Haki. Ni aibu Viongozi CCM kudanganya hatika hilo

    Ni jambo la aibu kubwa kwa viongozi wa Serikali na CCM kusimama hadharani na kusema uongo kuwa Chadema inataka kuleta machafuko au vita nchini. Kinachopiganiwa na CHADEMA ni Uchaguzi wa Haki na Huru na Serikali ilishakiri kuwa ni mabadiliko ya msingi ila muda hautoshi! Sasa muda utatosha lini...
  16. A

    DOKEZO KERO Halmashauri ya Buchosa toeni mikopo kwa Vikundi vilivyojisajili, mbona mmeishia kutoa kwa Viongozi wenu tu?

    Kuna tatizo kwa Vikundi katika Halmashauri ya Buchosa vina malalamiko kuhusu ile mikopo ya Asilimia 10 kwa vijana, kuna vikundi vimeomba mkopo tangu Julai 2024, hela zilitoka na zikaenda kwa Viongozi wa juu wa Halmashauri lakini upande wa pili wameshindwa kutoa mikopo hiyo kwa vikundi husika...
  17. PreGE2025 Mbunge wa Mbogwe: Huu mwaka wa uchaguzi, bora tuhukumiane wenyewe kabla ya kuhukumiwa na wananchi

    Mbunge wa Mbogwe Nicodemus Maganga amebainisha kuwa watumishi wa serikali wanatakiwa kufanya kazi kulingana na matakwa ya kazi zao ili kutowaingiza wabunge katika wakati mgumu . Amesema kumekuwa na watumishi wasio tenda haki na wajibu wao kutokana na utekelezaji kufanyika kwa asilimia 50 huku...
  18. S

    Mazingira ya ajali ya Mkurugenzi wa TANESCO hata katika picha yanatia shaka sana. Polisi wajibu haya maswali

    Tanzania lazima tujenge utamaduni wa kuhoji, sio kukubali kila tunachoambiwa, na Polisi au hata na serikali. Niliposikia juu ya hii ajali kwanza nilihoji ikiwa ajali ilitokea saa nane usiku na Mkurugenzi na dereva wote wamekufa, Polisi walijuaje dereva alikuwa anamkwepa mtu wa baiskeli? Sasa...
  19. Msaada Katika Samsung A15

    Habarini. Natumia Samsung A15 Nikimpigia MTU Mimi Nina Msikia Ila yeye hanisikii nifanyeje? Ili aweze kinisikia nitakae mpigia?
  20. Pikipiki gani inanifaa kwa matanuzi ya hapa na pale katika maisha?

    Habari wadau, sina uhakika kama jukwaa hili linafaa kwa hoja yangu hivyo natanguliza samahani kwa atakayekwazika. Nimefikiria na kuamua niishi mbali na kituo cha kazi na niwe nakuja na usafiri wangu binafsi kuliko kukaa karibu na kituo cha kazi. Baada ya kufikiri sana, nimekuja na wazo la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…