katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ukosefu wa Usawa katika Mikopo ya Kibiashara

    Ni jambo la kushangaza na lenye kuibua maswali makubwa kuhusu usawa katika mazingira ya biashara kati ya Tanzania na China. Mfanyabiashara wa China anapokopa katika benki za kibiashara nchini kwao hulipa riba ya takribani asilimia 3 pekee. Lakini mfanyabiashara wa kitanzania anapokopa katika...
  2. JamiiForums Tanzania KERO Foleni kubwa katika kupata huduma katika Mabenki

    Habari wakuu. Bila kuwapotezea muda, kwa kila ambaye amewahi kutumia huduma za kibenki hapa Nchini kwetu Tanzania kuna tabia ya uchelewevu wa huduma na upotevu wa muda sana hasa ukifika Matawini na ATM. Leo nataka tuangazie hili la huduma za kwenye matawi hasa zile za kufuata ndani ambazo kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Eti hawa ndio at some point man utd walitegemea watawarudisha katika ukuu wao wa zamani

    Hawa sio waimba singeli kabisa hawa..
  4. JamiiForums Tanzania Takukuru yabaini mapungufu katika miradi Rukwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Rukwa imetekeleza ufuatiliaji wa matumizi ya fedha za umma zenye thamani ya zaidi ya Shilingi bilioni 6.7 katika kipindi cha Aprili hadi Juni 2025. Kwa mujibu wa taarifa ya TAKUKURU, kiasi cha Shilingi 422,280,519 kilichotolewa kama...
  5. JamiiForums Tanzania Apple event Septemba 9, Imewekaa Viwango vipya katika vifaa vyake

    Apple event ya Septemba 9 imetoa muelekeo mpya wa kimkakati wa kampuni hiyo katika kuimarisha utawala wake wa soko la vifaa vya elektroniki. Badala ya tu kutangaza bidhaa mpya, Apple imeonyesha jinsi inavyoendelea kuunganisha bidhaa zake na kuwa mfumo mmoja wa kipekee, huku ikiboresha utendaji...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hali ya wasiwasi ya washirika wa Marekani yaendelea kutanda

    Korea Kusini inamtuma waziri wake wa mambo ya nje kwenda Marekani katika juhudi za kuzuia hali ya kutoridhika inayozidi kuongezeka kufuatia msako wa uhamiaji kwenye kiwanda huko Georgia, isiendelee kuwa mgogoro mkubwa unaoweza kudhuru kwa muda mrefu uhusiano kati yake na mshirika wake muhimu...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais kupitia CCM, Dkt. Samia akiwa katika Kampeni - Makambako Mkoani Njombe, Septemba 6, 2025

    https://www.youtube.com/live/ir1LWQnv3m0?si=YhzAuPVswyg_nq9Z Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea na Kampeni ya Uchaguzi Makambako Mkoani Njombe leo tarehe 06 Septemba, 2025. Wananchi waliojitokeza...
  8. JamiiForums Tanzania Upi ni mstari wako pendwa katika kitabu cha biblia unaokupa nguvu, faraja, amani, tumaini, silaha/ushindi katika vita vya kiroho?

    1)Zab 68:20 Mungu kwetu sisi ni Mungu wa kuokoa; Na njia za kutoka mautini zina YEHOVA Bwana. 2)Yohane 14:13 Na chochote mtakachoomba kwa jina langu nitafanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana. 3)Zab 46:1 Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, Msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso...
  9. JamiiForums Tanzania Miaka minne na nusu ya Utawala wa Rais, Samia Suluhu Hassan: Wilaya ya Mbogwe imepiga hatua gani?

    Leseni 41 za utafiti wa madini zimetolewa Leseni 548 za wachimbaji zimetolewa Leseni 147 za maeneo tengefu Vituo vya afya vimeongezeka mara mbili zaidi kutoka 14 wakati anaingia madarakani na kufikia 28 vilivyopo sasa. Ongezeko la wataalamu wa afya kutoka 181 kufikia 283 Ongezeko la Shule za...
  10. JamiiForums Tanzania Mambo muhimu 2 ya kuzingatia katika ulimwengu huu wa watu kupenda fedha kuliko kumpenda Mungu

    Kwanini nimeandika Uzi huu? Kuna Uzi mmoja nimeusoma humu na kuna jambo moja wiki iliyopita lilitokea. Jamaa mmoja tulionana kujadili issue fulani ya kibiashara (dili). Jamaa anaona kama namtupa kwenye game akataka kujua kikwazo nini. Nilimweleza jambo la kawaida tu ila jamaa akawa serious...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Sio shida wala aibu kwa chama kuwasafirisha wanachama wake

    Akizungumza leo Septemba 5, 2025 mgombea urais kupitia CCM Samia Suluhu Hassan akiwa, Tukuyu (Rungwe) mkoani mbeya katika mwendelezo wa kampeni za chama hicho amesema ''Ni hakika lakini hatutoi kutoka Wilaya moja kwenda nyingine, tunatoa ndani ya Wilaya hiyo hiyo,,,siyo aibu kwa Chama...
  12. JamiiForums Tanzania Sababu gani hupelekea watu kujenga na kuishi juu ya milima katika jiji la Mwanza? Maisha ya makazi huko milimani huwa yakoje?

    Ningependa kujifunza kuhusu watu wanaoishi milimani katika jiji la Mwanza. Nini hupelekea watu masikini kwenda kujenga na kuishi juu ya hii milima ukizingatia Mwanza bado ina maeneo makubwa tambarare? Materials na vifaa vya ujenzi huwa vinafikishwaje juu ya vilima ukizingatia kuwa havina...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba kujibu hoja ya Kafulila kuhusu rasilimali watu na rasilimali za nchi

    Wazo kuu hapa ni kwamba utajiri wa kweli wa matajiri haujatokana na kuwa na rasilimali asilia (kama mafuta, madini, au ardhi yenye rutuba) bali ubora wa rasilimali watu (human capital), yaani, ujuzi, maarifa, ubunifu, nidhamu, na uwezo wa kufanya kazi kwa pamoja wa wananchi wake. Naomba...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Je, makaa ya mawe yanafaa kupikia Katika majiko ya majumbani kama mkaa wa kawaida unavyotumika?

    Salaam! Nimepenyezewa taarifa tokea Dodoma kuwa, Wapo baadhi ya wanakijiji yanapopita marori yaliyobeba makaa ya mawe, wananchi Hawa hukaa Pembeni mwa barabara na kusubiri baadhi ya makaa ya mawe yadondokke kutoka Katika haya malori ya kubebea makaa ya mawe na kwenda kuyatumia makaa haya...
  15. JamiiForums Tanzania Mindset mbovu ya Muafrika ilijidhihirisha katika tukio hili miaka kadhaa iliopita na ever since bado tunaendelea na ubovu wetu ule ule.

    Mnamo Oktoba 15, 1987, Sankara alikuwa akikutana na washauri huko Ouagadougou wakati kikosi cha wauaji, kikiongozwa na askari watiifu kwa Compaoré, walivamia majengo. Na kushangaza compaore huyo alikuaa rafiki mkubwa sana wa sankara ambaye sankara alimuamini sana. Sankara, akifahamu hatari...
  16. JamiiForums Tanzania Kauli ya Diamond katika mtazamo chanya

    Mnaambiwa mwache kulalamika mfanye kazi malalamika tena😀, mbona nyie watu hamweleweki, Kila awamu nyie ni kulalamika tu. Tukiachana na awamu ya Nyerere na Mwinyi ambayo sina kumbukumbu sahihi, awamu ya mkapa mmelalamika, awamu ya Kikwete mmelalamika, awamu ya Magufuli ndiyo...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Jitahid kupitia ujumbe huu hauta jutia muda wako ewe mpambanaji katika maisha

    Kwa wale vijana wenzangu ambao tuko katika harakat za utafutaj wa maisha..ningependa ku share nanyi taarifa hii kuhusiana na cryptocurrency … kutokana na kukosa maarifa na kutokua na elimu ya cryptocurrency..basi huenda taarifa hii usiielewe au kuona ni utapeli..niko tayar kukupa elimu kwa kina...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya DR Congo imetangaza rasmi kusitisha elimu bila malipo katika maeneo yote yanayodhibitiwa na waasi AFC/M23

    Serikali ya DRC imetangaza kusitisha elimu bila malipo katika maeneo yanayodhibitiwa na AFC/M23. Waziri wa Mambo ya Ndani, Jacquemain Shabani, alithibitisha hilo na kusema: "Kwa bahati mbaya, watoto wetu katika maeneo yanayokaliwa hawafaidiki na elimu ya bila malipo." Hatua hii inaathiri moja...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna fundi ananiambia nimpe msingi 1.5m na ukuta 2.5m katika ujenzi wa fensi wa eneo la 27.5m x 31.5m, je ananipiga?

    Karibuni wakuu kwa mawazo yenu Msingi ni wa mawe. Ukuta ni 6ft Hapo ni bila kuchapia cement baada ya ujenzi (cement skimming) Hio 1.5m ya msingi ni kuchimba msingi na labour charges zake DeepPond RRONDO na wengine karibuni
  20. JamiiForums Tanzania Ina maana Mashekh wao huwa hawaoni changamoto katika uongozi ?

    Mashekh wetu wao wana Mchango gani kuhusu nchi yetu.? Ni nadra Sana umkute Shekh anapambania mambo ya msingi ya nchi . Inawezekana Mashek ni rahisi kutekwa na wanasiasa. hii inaweza kuchangiwa na elimu ndogo ya kuuelewa ulimwengu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…