katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna Watu pamoja kwamba umri umeenda ila hawajui kuelewa maana ndani ya neno analozungumza mtu ona sasa yule mama diplomatic anavyotoswa !.

    Ile kauli kuwa "Kuna li-MTU ambaye tuliamumini anapeleka mambo yetu nje" It was a sign that ur game is over in SISIEMU politics . Sasa kwa age yako Wasifu wako Maisha kijumla. Then unaenda kumuomba mkate MTU ambaye ameshakuonesha waziwazi hakutaki . Sielewi sisi wabantu tuna shida gani...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mlioko Shuleni na Vyuoni ,ChatGTP imeleta fursa na Changamoto gani katika Taaluma?

    Bila shaka maendeleo ya teknolojia yqnaenda kwa kasi ya ajabu.Majuzi nimeshuhudia mtoto wa darasa la nne akitumia ChatGTP kufanya Home Work ! Sasa najiuliza huko.elimu ya juu Hali ikoje! ? Vijana wanafanya takehome essay kweli? Je Hali hii inaleta fursa na Changamoto gani katika kazi za...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania yaunga mkono uhuru wa chakula katika mkutano wa unfss+4 jijini Addis Ababa

    TANZANIA YAUNGA MKONO UHURU WA CHAKULA KATIKA MKUTANO WA UNFSS+4 JIJINI ADDIS ABABA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameongoza ujumbe wa Tanzania katika mkutano wa ngazi ya Mawaziri uliofanyika tarehe 29 Julai 2025, jijini Addis...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Watu maarufu walioachwa katika kinyang'anyiro cha Ubunge CCM 2025

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza majina ya wagombea ubunge walioteuliwa kugombea katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, kufuatia vikao vya juu vya chama hicho, ikiwemo Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), vilivyoketi hadi usiku wa manane Julai 28. Orodha hiyo ilisomwa na Katibu wa...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa nini watanzania hawapendelei Malipo kwa njia ya mtandao?

    GT Jambo moja ambalo huwa linanishangaza kwa watanzania ni kupenda kutumia cash katika manunuzi mbalimbali ya vitu. Faida za online transactions ni kama hizi hapa. 1. Kurahisa ukusanyaji waa kodi Kwa njia ya cash ni mtihani mzito maanake mpaka mfanya biashara awe mwamimifu kwa TRA.Lakkni pia...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ubalozi wa Marekani nchini urekebishe utaratibu wa kushughulikia maombi ya vibali vya kusafiri hasa katika upande wa mahojiano

    Nimeona ni vema kulizungumza hili kukiwa na historia inayomtaja Marekani kuwa ni Nchi kinara wa uhuru wa kujieleza na kulinda utu wa watu, lakini hali ipo tofauti katika Ubalozi wao hapa Dar es Salaam katika kitengo cha kushughulikia maombi ya vibali vya kusafiri (visa). Utaratibu uliopo...
  7. JamiiForums Tanzania Hamas wakionesha Utaalamu wa hali ya juu katika nyanja hizi. Gaza wanateswa na wao wenyewe.

    Hamas wanaiba chakula na kwenda uza na kingine kutumia kwa majidai makubwa kabisa bila kujali wenzao.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Masettler wa Kiyahudi waendelea na njama zao za kuwafukuza Wakiristo katika nchi takatifu

    Masettler wa Kiyahudi huko West bank wameendelea na harrassment yao kwa Wakiristo waishio huko. Lengo ni kuwafrustrate Wakiristo hao ili waondoke katika ardhi hizo. Mashambulizi ya Masettler wa Kiyahudi hivi karibuni ni kushambulia kanisa kongwe la St George lililojengwa maeneo hayo toka karne...
  9. JamiiForums Tanzania Meyer Lansky: Jasusi na Kamaria Mtata katika Njama za kumuua Fidel Castro

    Katika historia ya ujasusi wa kimataifa, kuna sura ambazo hazikuwahi kuvalia sare za kijeshi wala kuwa na vitambulisho rasmi, lakini walikuwa silaha kubwa katika operesheni za kificho. Mmoja wao ni Meyer Lansky, kamaria mmoja hatari na mfanyabiashara wa kamari haramu, mafia hatari, na kiungo...
  10. JamiiForums Tanzania Marekani yazidi kusogelea katika giza la udikteta, Trump atishia kuvifuta vyombo vya habari vinavyomkosoa.

    Yale mambo ya ulimwengu wa tatu ya banana republics ya mtawala hakoselewi sasa yameanza kushika kasi Marekani katika awamu ya pili ya Trump, tayari ameshamfukuzisha kazi comedian mmoja mkubwa maarufu Stephen Colbert wa CBS ambaye ni mmojawapo wa wakosoaji wake wakubwa, ameshavuna mabilioni ya...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa kutunza kumbukumbu za Kifamilia na kuziweka katika maandishi kuwa documented n.k

    Wakati nasoma historia ya ukoo wetu kuanzia mwaka 1890s mpaka 2025. Nimepata mambo yafuatayo Kila MTU aliyejaribu kuvuta Bangi alichanganikiwa na kupoteza mwelekeo. Hii ni historia ambayo nimeifanyia research . Nimeandaa Family Tree kwa kuangalia mambo mengi kuhusu Changamoto za ukoo Kama...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Yanayojiriri katika vita mpya ya Thailand na Cambodia

    Haya wabongo mnavyopenda vita za nchi nyingine Tumeletewa mgogoro mwingine mpya kati ya Thailand na Cambodia Tujuane sasa nani mthailandi wa bonyokwa na mkambodia wa kisesa....
  13. N

    JamiiForums Tanzania Plastic wrapping katika vituo vya SGR

    Kwa: Mkurugenzi Mkuu Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) S.L.P 63154 Dar es Salaam, Tanzania Yah: Ombi la Ufafanuzi Kuhusu Matumizi ya Plastic Wrapping kwa Mizigo ya Abiria wa SGR Ndugu Mkurugenzi, Napenda kuwasilisha taarifa na lalamiko kuhusu mwenendo unaoendelea...
  14. JamiiForums Tanzania Katika ufugaji usije kufuga sungura,kanga,bata na kondoo.Sababu wateja wake ni wachache

    Kama unafuga kwa kitowewo sawa ila kama unafuga kwa biashara na kupa pole sana. Ni ngumu sana kupata wateja ukilinganisha mbuzi,kuku,ng’ombe na samaki. Embu tujuzane kwa nini
  15. N

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu utaratibu unaoendelea katika vituo vya SGR ambapo abiria hulazimishwa kufunga mizigo yao kwa plastiki (plastic wrap)

    Kwa: Mkurugenzi Mkuu Shirika la Reli Tanzania (TRC) S.L.P 76959 Dar es Salaam, Tanzania Yah: Lalamiko Kuhusu Kulazimishwa kwa Plastic Wrapping kwa Mizigo ya Abiria wa SGR Ndugu Mkurugenzi, Napenda kuwasilisha lalamiko kuhusu utaratibu unaoendelea katika vituo vya SGR ambapo abiria...
  16. JamiiForums Tanzania Uzi wa kupeana updates kutoka katika Online - meeting ya CCM

    Wana-ccm wote tulioko mashambani na vijijini ambako hakuna access ya kushuhudia mkutano huu muhimu katika chama chetu wa kubadilisha katiba ndogo ya Chama Cha Mapinduzi Wajumbeeeeeeeeeh
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vibaka wamekithiri katika Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja

    Mimi ni mdau wa JamiiForums, naishi Zanzibar mkoa wa Mjini Magharibi, Shehia ya Kwahani. Kero yangu kwa mamlaka za Usalama na hasa Jeshi la Polisi Zanzibar - mbona lipo kimya sana huku kukiwa na matukio ya baadhi ya wananchi mitaa hiyo wakitembea usiku na mchana Kuna vibaka wanawapora Mali...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt Abubakar Zuberi awaalika Waislam wote kuhudhuria Maulid ya Daarul Maarif, kwenye Viwanja vya Bakwata Makao Makuu

    DAARUL MAARIFA DAY 2025 Mheshimiwa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt Abubakar Zuber Bin Ally anawaalika Waislam wote kuhudhuria katika Maulid ya Daarul Maarif, itakayofanyika Viwanja vya Msikiti wa Mfalme Mohammad VI Bakwata Makao Makuu. Mufti amewataka Mashekhe wote wa Mikoa, Wilaya, Kata...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Kiasi ina maana gani katika ukristo?

    Kiasi Ina Maana Gani Katika Ukristo Kiasi ni nini Kiasi kama tafsiri yake ilivyo ni kuwa na uwezo wa kudhibiti jambo/tendo lisipitilize mipaka yake, yaani litendeke kwa sehemu fulani tu. Katika Ukristo, kiasi ni moja ya matunda 9 ya Roho Mtakatifu. Wagalatia 5:22 “Lakini tunda la Roho ni...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna mchezaji anaitwa mousa cisse katika mechi ya CECAFA leo, bonge la mchezaji simba usajili huo

    https://youtu.be/8QcNer8ha9Y?t=95
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…