katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Leo katika kumbukumbu

    19 Oktoba 2021 — Rais Samia alifanya ziara Mikoa ya Kilimanjaro na Arusha Katika ziara hiyo, Rais Samia alifungua barabara ya Sanya Juu–Elerai yenye urefu wa kilomita 32.2 na kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Jengo la Mama na Mtoto katika Hospitali ya Rufaa ya Mawenzi, Kilimanjaro.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Waislam tuwaige wasiokuwa waislam katika maendeleo ya taifa letu

    Nawapongeza sana waumini wa dini ya nyengine ambayo sio waislam kwa kweli wapo juu sana ktk elimu Wanavyuo vikuu vingi, na wamesoma sana, sekta ya afya wapo juu na wameshika uongozi ktk Taasisi nyingi sana. Matokeo (outcome )yake ni haya, Maendeleo yetu kama taifa katika Maendeleo sekta ya...
  3. JamiiForums Tanzania Ukishazaliwa afrika unatambulishwa katika ujinga. Katika usawa huu wa Elon Musk na magari ya kupaa sisi tuna Doto Magari na yule dada wa toa duku duku

    Hakuna vitu positive na kuntu katika taifa hili, watu wenye stori chanya na impact kabambe wanawekwa kapuni ila sasa wale wehu wehu ndio wanapewa airtime ni video tu za wadada wenye makebo na matusi ya dotto magari na chawa wa upande ule
  4. M

    JamiiForums Tanzania KERO Bodaboda na bajaji standi mpya ya Kigoma zinatumia njia za waenda kwa miguu, jambo hatari hili

    Bodaboda na bajaji katika eneo la Stendi Mpya ya Kigoma zimekuwa zikitumia njia za waenda kwa miguu kukwepa taa za barabarani, hali inayosababisha uharibifu wa taa za pembeni mwa barabara na wakati mwingine ajali. Watembea kwa miguu tunasikitishwa na tabia hiyo, tunakitaka madereva wa bodaboda...
  5. JamiiForums Tanzania Katika pita pita zangu huko mitandaoni nimeliona hili.

    Kenya ina viwanda milion 7, vyote vipo registerd lakini vingi siyo viwanda vikubwa ni viwanda vya kati,ndivyo vingi kwa 75%. Tanzania tuna viwanda 80,000 tu ,vingi ni vya kati.(Semi registerd) Au baadhi havijulikani! Kama vya tofali n.k. Juhudi zinahitajika tufikishe walau viwanda milion 3.
  6. JamiiForums Tanzania Wito Mawakili Kushikamana, Kusimama Imara Kudai Haki, Heshima na Utu kwa Kusimama na Rais wa TLS Wakili Boniface A.K. Mwabukusi.

    Wanabodi, Hii ni Taarifa muhimu kutoka TLS. Nime C& P TAARIFA KWA UMMA Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) linaendelea kufuatilia kwa ukaribu shauri la maombi namba 4 ya mwaka 2026...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Traffic police wetu katika utenda kazi uliotulikà. Tumpe maua yake!

    Hii ni Kitonga akiongoza magari kuhakikisha usalama
  8. JamiiForums Tanzania Maisha ni safari ambayo unajua unapokwenda lakini haujui utakacho kutana nacho katika safari hio

  9. S

    JamiiForums Tanzania Niwaambie ukweli wa moyoni; ningekuwa raisi wa Tanzania katika mazingira yaliyopo, na mtazamo uliopo wa wananchi juu yangu na mwanangu, NINGEJIUZULU!

    Yaani nigekuwa raisi katika mazingira haya - nikiwa na stress kama ziivyoorodheshwa hapa chini,nadhani ningekubali yaishe nibwage manyanga. Stress kwamba mimi ndio mhusika mkuu wa mauaji ya wananchi wasio na hatia ya 29 Oktoba kwa sababu mimi ndio nilitoa amri ya kuua Stress ndani na nje ya...
  10. O

    JamiiForums Tanzania WATAALAMU WA BEAT MBONA MIMI NAHISI NYIMBO NYINGI ZA SOUTH HASA AMAPOANO NA KWAITO HAZINA SAUTI NZURI YA WAIMBAJI KATIKA USIKIVU KAMA BONGOFLEVA

    je hii ni shida au ndo maamuzi yao wazalishaji wa nyimbo hizo maana unakuta jitu linacheza club ukiliuliza ni kinaimba. Nlasambaa, nakasolembwaa x2 kah yaani sauti iko chini biti kuliko bongofleva atleast inakuwa juu ya biti au ni style sio kwamba wanakosea
  11. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba na Mwenza wake Bi. Neema Nchemba wakiwa pamoja na Mama Maria Nyerere katika Misa Takatifu ya Kumbukizi ya J. Nyerere

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba na Mwenza wake Bi. Neema Nchemba wakiwa pamoja na Mama Maria Nyerere katika Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere, iliyofanyika leo Oktoba 14, 2026 Kanisa Kuu la Mtakatifu Epifania, Sumbawanga, Rukwa. Katika Ibada hiyo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Jude Ruwa'ichi: Nchi yetu sasa hivi haisimami kwenye misingi ya uadilifu. Katika mengi tunaenda ovyo

    "Nchi yetu sasa hivi haisimami kwenye misingi ya uadilifu. Katika mengi tunaenda ovyo. Ubinafsi umeshamiri, ufujaji umeshamiri. Na karibu misingi yote ya maadili hakuna anayeihangaikia tena. Ni kweli kanisa linatambua kwamba tunapaswa kutembea katika misingi ya uadilifu na kanisa linahubiri na...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Huu Ndio Ujumbe Mzito Wa Rais Wetu Mpendwa Katika Kumbukumbu Ya Hayati Mwalimu Nyerere

    Ndugu zangu Watanzania, Huu ndio Ujumbe Mzito wa RAIS wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Ambapo Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Ametoa Ujumbe huo Mzito katika Siku ya Kumbukumbu ya Hayati Baba Wa Taifa...
  14. JamiiForums Tanzania Viongozi mbalimbali wa serikali wakiwa katika kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru 2026 mkoani Rukwa

    📍Uwanja wa CCM Nelson Mandera, Sumbawanga Baadhi ya Viongozi wa Serikali wakiwa pamoja katika Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru 2026, Sumbawanga Mkoani Rukwa. Mwenge wa Uhuru unaendelea kuwa alama ya umoja, uzalendo na uwajibikaji wa pamoja. Ni jukwaa linalounganisha Serikali na wananchi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nifa, dada yangu katika Uislam, NAKUPENDA sana ❤️🤍

    Nimekuchagua wewe kukutumia ujumbe huu kwa sababu nakupenda sana, nakuheshimu na ninakutakia kheri duniani na Akhera. Sina nia ya kukuhukumu, kukukosoa au kujiona bora kuliko wewe. Nimekuandikia kwa upendo wa dhati, kwa sababu ningependa kukuona ukiwa karibu zaidi na Allah na ukiwa sababu ya...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Maji Mhe Mhandisi Kundo Andrea Mathew katika mkutano na wananchi wa Kijiji cha Ichemba, Ulyankulu wilaya ya Kaliua.

    https://www.instagram.com/p/DebIsVnonyy/
  17. JamiiForums Tanzania Huu muunganiko wa BASATA na manispaa katika Kutoa leseni ni kwamba IT wao uwezo wao mdogo au wamefanya kichaka Cha kuiibia serikali?

    Niende katika hoja Moja Kwa Moja Kwa Sasa ukitaka kuomba leseni Kwa baadhi ya biashara unatakiwa kwanza kuomba kibali Basata Yani ukiingia tu katika mfumo wa kuomba leseni unatakiwa kwanza uingize code ulizopewa basata ndio uweze kuendelea Sasa Cha kushangaza unaingia katika mfumo wa Basata...
  18. JamiiForums Tanzania Ukipona katika ajali ni muujiza au siku yako ya kufa haijafika?

    Mimi nafikiri kupona katika ajali ni bahati tu. Inategemea ulipokaa, ukubwa wa ajali, jinsi ajali ilivyotokea na huduma ya kwanza na matibabu baada ya ajali.
  19. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Huu ni ufisadi wa kutisha! Haujawahi kutokea katika kulihujumu Taifa, na unafanywa na viongozi wakuu wa Serikali!

    Ni aina kubwa ya ufisadi mkubwa wa kutisha ambao katika historia ya Tanzania na nchi nyingine duniani labda haujawahi kutokea. Na tatizo kubwa ni kwamba unafanywa na viongozi wakuu wa serikali pamoja na ndugu zao. Ni hivi. Kuna wakuu wa serikali na ndugu zao ambao wapo katika nafasi ya kuwa na...
  20. JamiiForums Tanzania Rushwa na Matumizi mabaya ya fedha za Umma katika ujenzi wa Soko wilaya ya Kaliua. Waacha eneo lililotengwa kwa ajili ya soko, watafuta eneo jipya.

    Halmashauri ya wilaya ya Kaliua chini ya Mkurugenzi na Mwenyekiti wa Halmashauri wameingia katika mgogoro na Wananchi kwa kuacha maeneo mawili yaliyotengwa kwa ajili ya kujenga Masoko na kutafuta eneo lingine ambalo litagharimu mabilioni ya fedha kulipa fidia kwa wamiliki wa ardhi. Wananchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…