Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,124
- 879
19 Oktoba 2021 — Rais Samia alifanya ziara Mikoa ya Kilimanjaro na Arusha
Katika ziara hiyo, Rais Samia alifungua barabara ya Sanya Juu–Elerai yenye urefu wa kilomita 32.2 na kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Jengo la Mama na Mtoto katika Hospitali ya Rufaa ya Mawenzi, Kilimanjaro.