katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, unapata changamoto katika kuandaa au kuwasilisha TRA Returns zako?

    Je, unapata changamoto katika kuandaa au kuwasilisha TRA Returns zako? Usihangaike tena — tupo hapa kukusaidia kwa haraka, usahihi na kwa kuzingatia sheria zote za TRA. Tunatoa huduma zifuatazo: ✔ Kuandaa na kuwasilisha VAT Returns ✔ Income Tax Returns (Individuals & Companies) ✔ SDL, PAYE &...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Ni Muda muafaka kwa picha ya Rais Samia kuwekwa katika Fedha zetu hususani elfu kumi

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa kila jambo na wakati wake na majira kwa kusudi maalumu chini ya Mbingu. Kwa hakika huu ni wakati na muda muafaka na majira sahihi kabisa kwa Benki Kuu Ya Tanzania kubadilisha Muonekano wa Fedha Zetu kwa kuweka Picha ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha...
  3. JamiiForums Tanzania Kiufupi ni kuwa watu kama IPM na kapola wame master sanaa ya kufanya zogo na watu wanaopitia msongo kutokana msoto wa maisha na inawalipa sana aisee.

    Waliona namna watu walivyokuwa confused toka utotoni na mambo ya kufikirika na pia wakaangalia ni namna gani mtu mwenye msongo na confusion anapenda maneno ya faraja Waka combine hivo vyote lakini ili kuongeza kuaminiwa zaidi inabidi wajipatie title, sasa ndo maana kila mmoja wao either ajiite...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (kulia) akitoa mada katika Mkutano wa Afya kati ya nchi za Afrika na Nodiki jijini Stockholm, Swede

    Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (kulia) akitoa mada katika Mkutano wa Afya kati ya nchi za Afrika na Nodiki jijini Stockholm, Sweden.
  5. JamiiForums Tanzania Hitler aliwekeza katika kutafuta nguvu za miujiza na uchawi kwa kuwatuma watu wake duniani kote wakazisake ila hawakuambalia chochote.

    Alifanya hivi ili iweze kumsaidia katika ambition yake ya kuitawala ulaya nzima. ila wewe 35+ bado unaaamini haujapata mganga mzuri na mafuta uliochukuwa kwa ben haukuyaambatanisha na sadaka nzuri ndio maana tabu hazijaisha
  6. H

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu kumwakilisha Rais Samia katika mazishi ya mzee Edwin Mtei

    WAZIRI MKUU, Mwigulu Nchemba, leo Januari 24, 2026, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), ambapo anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika mazishi ya marehemu Mzee Edwin Mtei, yanayofanyika Tengeru...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kujiondoa katika vifungo vya uchawi, husda na nuksi bila ya kwenda kwa waganga na wachungani/mashehe feki

    Karibuni ndugu zangu maana hali sio hali
  8. E

    JamiiForums Tanzania Faida, changamoto za matumizi miundombinu ya kidigitali katika VICOBA

    Kwa muda mrefu wananchi wamekuwa wakichangishana fedha na kukopeshana kwa mfumo unaoitwa benii za vijijiji (VICOBA). Kupitia mfumo huo, wanachama waliokubaliana huchanga fedha na lkuziweka kwenye sanduku linalokaa kwa mjumbe mmoja kati yao aliyeteuliwa kukaa na funguo. Kisha wameweka utaratibu...
  9. JamiiForums Tanzania Rais wa Senegal akiwa na wake zake katika hafla ya kupokea kombe la AFCON

    Hii ni picha kutoka Ikulu ya Senegal. Rais wa nchi hiyo akiwa na wake zake wawili, wakipokea kombe la AFCON baada ya timu ya taifa ya nchi hiyo kutwaa taji hilo.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Kimya katika Sera ya Marekani kwa Afrika: misaada kama chombo cha kuhudumia mkakati wa taifa

    Katika mwaka mmoja uliopita tangu Donald Trump kurejea Ikulu ya White House, sera ya Marekani kwa Afrika imeanza kubadilika kimya kimya. Barua ya ndani ya mkuu wa Idara inayoshughulikia mambo ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani Nick Checker, iliyovuja hivi karibuni, ilifichua...
  11. JamiiForums Tanzania Ungepata nafasi ya kuzaliwa tena je, bado ungechagua kuzaliwa katika familia hiyo hiyo na wazazi hao hao?

    Wakuu, naombeni experience zenu hapa chini! Mdahalo huu unalenga tafakari ya kina kuhusu nafasi ya familia katika maisha ya mtu. Swali ni “Ungepata nafasi ya kuzaliwa tena je, bado ungechagua kuzaliwa katika familia hiyo hiyo na wazazi hao hao?” Kuanzia malezi, upendo, changamoto, maadili, na...
  12. JamiiForums Tanzania Dudu Baya hapati utamu kwenye kauli zake pasipokutamka neno shoga

    Dudu Baya huwa hapati kabisa utamu pasipokutamka neno shoga kwenye kauli zake Nikama akili ya Dudu Baya imejaa ushoga Hakuwahi kuzungumzia swala lolote pasipokutamka shoga Hapatagi utamu anapokuwa na wanaume pasipokuwatukana mashoga Sijafahamu kiwango cha ushoga katika akili yake ni cha...
  13. JamiiForums Tanzania Mwafrika mwenzetu akielezea uzoefu wake katika Jeshi la Urusi wakipigana na Ukraine

    Waafrika twendeni kwa wingi kuwasaidia ndugu zetu Russia dhidi ya Mabeberu. Ukrainian troops from the 63rd Mechanized Brigade captured a Ugandan man, Richard Akantoran, who said he was lured to Russia with promises of civilian work and then forced to sign a military contract under threat of...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari amnunulia dawati mwanaye baada ya kuona wanafunzi wanakaa chini katika shule ya Msingi Mwilamvya

    Nimeona ile stori ya Mwananchi mwenzangu wa Kigoma aliyoandika kuhusu Shule ya Sekondari Buhanda iliyopo Kigoma Mjini kuwa na upungufu wa madawati, ni kweli shule hiyo na nyingine kadhaa hazina madawati na ni changamoto ambayo ipo kwenye shule kadhaa. Nishee stori moja, kuna Mwandishi wa Habari...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ashiriki katika ufunguzi wa Ofisi ya CRDB Dubai

    Mgeni Rasmi ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo akipokepelewa na viongozi wa Serikali pamoja na uongozi wa Benki ya CRDB katika hafla ya uzinduzi wa kihistoria wa Ofisi ya Uwakilishi ya Dubai, tukio linaloashiria upanuzi wa...
  16. JamiiForums Tanzania Gift Macha ni aina ya wanaume wadhaifu wanaotengeneza kundi kubwa katika jamii hii inayofukazana na usasa usio na tija

  17. JamiiForums Tanzania Mnasemaga tunashobokea wazungu ila ndio wa kwanza kuwapokea katika tabu, jana mmejionea kiasi tu ya mambo waarabu/barberic wanayoweza kuwafanyia

    Maduka ya wa senegali yaliyopo mjini yamevamiwa na kuharibiwa na mashabiki wa morocco Mashabiki weusi waliokuwamo katika kundi la wamoroco wamezongwa na kusemewa maneno ya kibaguzi. Wanaijeria baada ya kuwashinda walgeria, mashabiki wa algeria walianza kuwaambia kuwa watawahasi na kuchukua...
  18. JamiiForums Tanzania Je, Kukosekana kwa Uadilifu wa Kitaaluma katika Taasisi za Dini ni Sababu ya Wanaume Kukwepa Ibada?

    Wanabodi katika jamii yetu, taasisi za dini zimekuwa zikitarajiwa kuwa mfano wa maadili mema, uadilifu, uwajibikaji na haki. Hata hivyo, katika miaka ya karibuni kumekuwepo na malalamiko ya wazi na ya siri kuhusu baadhi ya viongozi wa dini kujihusisha na vitendo vinavyokwenda kinyume na misingi...
  19. JamiiForums Tanzania Dhahabu ya bei mbaya yamkwamisha Burna Boy uwanja wa ndege Morocco

    Mkudha: Rais wa CAF asema Burna Boy alizuiwa katika uwanja wa ndege wa Morocco kwa sababu ya thamani ya vito vyake vya dhahabu Rais wa CAF, Patrice Motsepe, anasema Burna Boy alizuiwa kwa muda mfupi katika uwanja wa ndege wa Morocco baada ya maafisa kuhoji kiasi cha vito vya dhahabu alichokuwa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Kuna siku Lissu ataenda kumsalimia mbaya wake katika mahabusu ya ICC

    Hii naomba muichukue kama ilivyo kwani ni swala la muda tu. Itakuwa ni kama vile Lissu alipoenda kusalimiwa pale Nairobi baada ya kumiminiwa risasi na jeshi la Farao wa wakati ule. Muda utaongea.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…