katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Michezo haramu katika mikopo chechefu. Je, Martin Masese anapata wapi taarifa nyeti kama hizi?

    Martin MM ameandika makala ndefu katika mtandao wa X akionyesha ni kwa jinsi gani wanasiasa na wanachama wa chama cha mapinduzi wasiozidi kumi walivyojinufaisha na mikopo ya benki na baadaye wakaenda mahakamani kupinga kulipa mikopo hiyo. Kwa unyeti wa taarifa hizi ni wazi kwamba wapo watu...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Farhia Middle leo amekwama kumuondoa Jaji Warioba katika mada ya Muungano

    Farhia Middle katika kipindi cha Dakika 45 ITV alikuwa anamuhoji Warioba kuhusu miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Katika mahojiano hayo Farhia alijitahidi sana kumuondoa katika hoja ya msingi na kujaribu kuingiza mambo ya katiba na mengine yaliyokuwa nje ya mada. Lakini Mzee...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali tunaomba ufafanuzi wa milipuko ya kila siku katika Milima ya Uluguru

    Nikiamini kwamba ulinzi wa taifa unaanza na sisi raia. Na kila raia ana wajibu wa kulilinda taifa. Ninaomba kuiuliza serikali hii milipuko mikubwa inayosikika kila siku nyuma ya milima ya uluguru ni ya nini? Kila siku kwa muda wa miezi miwili sasa kuna milipuko mikubwa sana nyuma ya Milima ya...
  4. JamiiForums Tanzania Kagera : Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na Chadema

    Leo ikiwa ni siku ya Kwanza ya Maandamano ya Amani , ya kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi nchini Tanzania , yaliyoandaliwa na Chadema , na ambayo yanatarajiwa kufanyika kote Duniani , Tumejipanga kuunganisha na matukio yote kutoka kote duniani . Usiondoke JF kwa Taarifa za...
  5. JamiiForums Tanzania Katika Matumizi ya Dozi ya Dawa 1x3 = kila baada ya Saa 8. Sio Asubuhi, Mchana na Jioni

    Katika Mahojiano Maalum na Mwananchi, Aprili 7, 2024, Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Tumaini Nagu amesema moja ya sababu kubwa za Usugu wa Vimelea dhidi ya Dawa ni kutokumaliza au kutotumia Dawa vizuri hasa za Antibayotiki. Prof. Nagu amesema mtindo wa kuwaandikia Wagonjwa Dawa 1x3 au 1x2...
  6. JamiiForums Tanzania Usitumie kigezo cha dini katika kuoa au kuolewa

    Watu wengi hujikuta wanawaacha wachumba ambao wanawapenda na ambao wanaendana kwa kigezo cha dini. Dini haina uhusiano wowote na kumfanya MTU kuwa na hofu ya MUNGU, utu hekima wala maarifa. Jambo kubwa na la msingi unabidi kuangalia MTU Kama mnaendana, kifikra, kimtazamo n.k. Watu wengi wapo...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa ulinzi wa anga wa Iran ulipigwa katika shumbulizi la Israel

    Uchambuzi wa picha za satelaiti zilizopatikana na Iran International unathibitisha ripoti za vyombo vya habari kwamba sehemu ya kati ya mfumo wa ulinzi wa anga katika kituo cha anga cha Irani huko Isfahan ilipigwa na shambulio la Israeli siku ya Ijumaa. Shambulio la usiku mmoja limekuwa suala...
  8. JamiiForums Tanzania Shemsa Mohammed: CCM Haitambeba Mtu Katika Uchaguzi Mkuu Ujao, 2025

    Shemsa Mohammed: CCM Haitambeba Mtu Katika Uchaguzi Mkuu Ujao, 2025 MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohammed amesema chama hicho hakitambeba mtu wakati wa uchaguzi mkuu utakaofanyika mwakani na kuwa atabebwa kutokana na matokeo yake ya kukitumia chama hicho...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tiktok yatakiwa kutuma ripoti kila baada ya Miezi 3 katika udhibiti wa maudhui yasiyofaa

    Wizara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ya Kenya imewaambia Wabunge kuwa kuwasilishwa kwa Ripoti za Utekelezaji kila baada ya Miezi 3 Wizarani ni sehemu ya mpango wa kushughulikia athari hasi zinazohusiana na TikTok, badala ya kuifungia nchini humo Waziri wa Habari na Mawasiliano John...
  10. JamiiForums Tanzania Jokate Mwegelo Aainisha Mapinduzi Makubwa Katika Sekta ya Elimu Zanzibar

    📌📌KOMREDI JOKATE MWEGELO (MNEC) AAINISHA MAPINDUZI MAKUBWA KATIKA SEKTA YA ELIMU ZANZIBAR Asema Vijana wanayo kila Sababu ya Kumuunga Mkono Dkt. Mwinyi Mambo Mengi makubwa Dkt. Mwinyi ameyafanya kwa Kipindi Kifupi Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Konresi Jokate...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto katika utoaji huduma ofisi za Bima ya Afya ya Taifa (NHIF)

    Utoaji huduma kwa jamii unatakiwa kuwa rafiki ili kufikia malengo yaliyowekwa kwa manufaa ya TAIFA letu. Mimi kama mchangiaji wa NHIF kuna changamoto nimeziona katika ofisi za NHIF (Chache kama sio zote). 1. Utashi mdogo kwa baadhi ya watoa huduma. Mteja anapohitaji kujisajili/kuendelea na...
  12. JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Teknolojia: Faida na Hasara zake katika maisha yetu

    Habari zenu wadau wa Jamii forums, Leo nimekuja na suala dogo tu kuhusiana na teknolojia faida zake na hasara katika maisha yetu ya kila siku. Teknolojia imeleta mapinduzi makubwa katika maisha yetu. Imebadilisha jinsi tunavyowasiliana, tunavyofanya kazi, na tunavyofurahia burudani. Kuna faida...
  13. JamiiForums Tanzania Nguvu za kijinsia katika tendo la ndoa

    Ni jumla ya utimamu wa kimwili, kiasaikolojia, kiakili na kiroho katika kushiriki kikamilifu kwenye tendo ndoa. Concentration ya kimwili, kiakili, kiasaikolojia na kiroho yafaa kua kwenye tendo husika. Kukiwa na setback yeyote miongoni mwa hayo tatizo la nguvu kupungua huanzia hapo. Na...
  14. JamiiForums Tanzania Bei za maji katika Nyumba za kupanga ni mateso

    Bei ya maji kwa Dar es Salaam ni Tsh. 1,663 kwa Unit moja(1) ambayo ni sawa Lita 1000 za maji, yaani Madumu 50 makubwa ya Lita ishirini. Wapangaji wengi wakiamia kwenye Nyumba za kupanga za kushare maji au kulipiwa na mwenye Nyumba unakuta anaambiwa alipie Tsh. 15,000 hadi Tsh. 30,00 kwa mwezi...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Je, kuna siasa katika utatutizi wa migogoro ya ardhi unaofanywa na Jerry Silaa?

    Mimi ni muumini wa watu wote wabunifu wanaopanga kutatua kero za wananchi. Waziri Slaa anaonekana kuwa mbunifu baada ya kuja na clinic za kutatua kero za migogoro ya ardhi. Jana akiwa Mbeya alionekana akitoa maamuzi ya mgogoro wa mtu anayeonekana ni Mchina ambaye kwa mujibu wa Waziri watu...
  16. Z

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba atapita njia ya Hayati Lowassa katika safari yake ya kisiasa

    Sio siri kuwa shauku ya mh Januari Makamba kuutaka urais ni kubwa sana pengine zaidi ya ile shauku ya mh Lowasa. Lakini kwa bahati mbaya mapito yake hayatatofautina na yale ya Mh Lowasa. Atajitahidi sana, atakusanya watu, atakuwa kwenye makundi pendwa na hata nyakati nyingine atafika katika 5...
  17. JamiiForums Tanzania SoC04 Vigezo na Masharti ya kushiriki katika Shindano la Stories of Change - 2024

    Mshiriki lazima awe mwanachama wa JamiiForums, ambapo anaweza kujisajili kwa kiunganishi hiki; Register Mshiriki anaweza kutumia jina halisi au la kubuni ‘pseudonym’. Mshiriki atatakiwa kutaja jina halisi endapo ataibuka MSHINDI. Mshiriki anatakiwa kutayarisha andiko linaloelezea TANZANIA...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuweza kufanya recover wa taarifa katika simu yangu

    Habarini ndugu zangu Niende kwene mada,nina simu yangu ambayo kutokana na uwezo wake kuwa mdogo niliamua kununua memory card Ili niweze kuongeza storage katika simu yangu.Nilipoweka hio memory card katika simu yangu niliiset kama internal storage hivyo baadhi ya taarifa kama picha...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Hadithi ya mafanikio ya Huawei ni muhimu katika kurekebisha mandhari ya uchumi wa dunia

    Hivi karibuni, kampuni kubwa ya teknolojia ya China, HUAWEI, ilitoa ripoti yake ya mwaka 2023, ambayo inaonyesha kuwa operesheni za kampuni hiyo kwa ujumla zilifikia malengo, na kutimiza mapato yanayotokana na mauzo kote duniani ya dola za Marekani bilioni 99.18, na faida ya jumla ya dola za...
  20. JamiiForums Tanzania Tetesi: Salim Abdallah ‘Try Again’ katika jaribio la kumng’oa Mo Dewj Simba!

    Moto unawaka SSC! Ni vita kubwa! Klabu ya Simba ipo katika kipindi kigumu cha vita inayozidi kukomaa kila uchwao baina ya Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Simba Salim Abdallah Muhene Try Again dhidi ya Rais wa heshima wa Simba Mohamed Mo Dewj. Wawili hao walianza kukosa maelewano baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…