katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania yashiriki katika Mkutano wa Dunia wa Jumuiya ya Habari (WSIS), nchini Uswisi

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Moses Nnauye (MB), akiongozana na Naibu Katibu Mkuu, Nicholaus Mkapa ameongoza kikao kazi cha ujumbe wa Tanzania katika ofisi ya balozi na mwakilishi wa wakudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa kabla ya...
  2. JamiiForums Tanzania SoC04 Uwekezaji katika maendeleo ya watu kutaifanya Tanzania kutegemewa Duniani

    Nchi nyingi Duniani zina mambo zinayoyafanya kwa upekee na ueledi mkubwa jambo linazozipa nafasi ya kutegemewa Duniani. Mathalani zipo nchi kama Korea zinazotegemewa kwa uzalishaji wa vifaa vya kielekroniki Duniani. Zipo pia nchi zinazotegemewa kwa uzalishaji wa malighafi za viwanda na mazao...
  3. JamiiForums Tanzania RC Makonda anaishi katika ulimwengu wa pekee katika dunia hii

    Aminini Aminini nawaambieni. Mwenye macho halazimishwi kuona ikiwa atakaza fuvu basi hamtaweza kuona kile mnachoambizana,na kwanini tusisemezane kwa mazuri na tukayasahau mabaya yote? Mbora wenu zaidi ni yule mwenye kusamehe. Mh PAUL MAKONDA ni zao la kikwete limestawi katika bustani ya...
  4. JamiiForums Tanzania Jicho langu katika teuzi za Viongozi

    Huko miaka ya nyuma viongozi walikuwa wanachaguliwa kutokana na mafunzo ya uongozi waliyo yapata kutoka katika vyuo husika,,mfano husika ni kile Chuo cha CCM Kivukoni. Huko viongozi walikuwa wanapikwa na kuiva haswa na kuwa tayari kuihudumia jamii,walikuwa wamelelewa katika maadili ya uongozi...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini Wajita hawaui nyoka aina ya kifutu? Bado wanaamini katika nyoka hao?

    Kuna mila na imani nyingi saana potofu. Niliishi kwa wajita huko kijiji fulani karibu na kibara. Kuna siku nyoka mkubwa aina ya kifutu alionekana cha kushangaza badala ya watu kuanza kumshambulia walianza kukimbia kila mtu kutafuta njia yake. Baadae wakaja na mfuko eti wanambembeleza aingie...
  6. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Haki ya kuabudu kwa walemavu wa kusikia

    Kwa kifupi kuabudu ni haki ya kikatiba kwa kila mtanzania. Walemavu wakusikia kama walivyo alemavu wengine wamesahaulika kabisa sehemu za ibada kama misikitini,makanisani.hata katika baadhi ya makusanyiko ya kijamii Walemavu wa kusikia wanakutana na changamoto kadhaa katika maeneo ya ibada...
  7. JamiiForums Tanzania Dkt. Msonde anatumika katika kuwapiga "fix" walimu?

    Sijajua kwanini , Kwa manufaa ya nani! Dk Msonde (naibu waziri upande wa elimu) anazunguuka nchi nzima kwa kile anachoita kuwasalimia walimu wenzake, lakini ndani yake kuna agenda ya kuwajaza matumaini HEWA walimu, Na sana ni zile story za vifaranga vya kuku kunyonya kesho! Iko hivi.. Baada...
  8. JamiiForums Tanzania Maelfu ya mbu waliobadilishwa vinasaba (GMO) wameachiliwa nchini Djibouti katika kukomesha kuenea kwa spishi vamizi malaria

    CHANZO NI BBC SWAHILI Mbu dume wasiouma aina ya Anopheles stephensi mbu waliotengenezwa na Oxitec, kampuni ya teknolojia ya kibayoteknolojia yenye makao yake makuu nchini Uingereza, hubeba jeni inayoua watoto wa kike kabla ya kukomaa. Mbu jike pekee ndio wanaouma na kusambaza malaria na...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Staili ya Makonda katika ziara yake inatakiwa kukemewa

    Nimefanikiwa kuona clip ya mkutano wa Makonda katika Wilaya ya Longido kwenye Shule ya Wasichana wa Mama Samia. Kwanza nimpongeze Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo kwa taarifa nzuri na matumizi mazuri ya fedha katika ujenzi wa shule hiyo. Staili ya Makonda katika ziara yake inatakiwa kukemewa...
  10. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mchango wa Uhuru wa Habari katika Maendeleo ya Uchumi wa Tanzania katika miaka 25 ijayo

    Mwanzo wa kunukuu, UHURU WA VYOMBO VYA HABARI UNATOKANA NA UTASHI WA KISIASA - WAZIRI NAPE 03rd May, 2024 Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb) amesema uhuru wa vyombo vya habari unaoshuhudiwa sasa unatokana na utashi wa Kisiasa wa Rais wa Jamhuri...
  11. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mchango wa Rais Samia katika Kuendeleza Utalii kupitia Filamu kwa Maendeleo ya Uchumi wa Tanzania katika miaka 25 ijayo

    Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa akiongoza Tanzania katika wakati wa mabadiliko makubwa, akilenga kuleta maendeleo na ustawi kwa nchi yake. Mojawapo ya mikakati ambayo Rais Samia ameifanya ni kutumia tasnia ya filamu kuendeleza utalii na kusaidia ukuaji wa uchumi wa Tanzania. Katika miaka 25...
  12. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kichwa: Uvumbuzi wa Michezo ya Kubashiri kwa vijana na Maendeleo ya Tanzania katika miaka 25 ijayo

    Michezo ya kubahatisha imekuwa sehemu muhimu ya utamaduni wa vijana duniani kote, na Tanzania haiko nyuma. Kwa miaka 25 ijayo, michezo ya kubahatisha inaweza kuwa na jukumu muhimu katika kusaidia maendeleo ya nchi kwa njia mbalimbali. Kwanza kabisa, michezo ya kubahatisha inaweza kuchangia...
  13. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni aibu kubwa sana CHADEMA kupigana ngumi katika Uchaguzi mbele ya Naibu katibu Mkuu wake Benson Kigaila

    Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA ni chama cha ajabu sana,ni chama kinachotia aibu sana,ni chama kinacholeta fedheha kubwa sana,ni chama kinachoendeshwa na kwenda utafikiri mtu aliyepofuka macho,ni chama kisicho heshimu hata uwepo wa viongozi wake wa ngazi za juu,ni chama ambacho kinawakatisha na...
  14. JamiiForums Tanzania SoC04 Muda uwe ni dira kuu katika ujenzi wa uchumi wa taifa

    MUDA ni sehemu muhimu sana katika mpangilio wa mambo mengi duniani, na hii ni tangu kwa kuumbwa kwake, kutokana na maandiko ya vitabu vya dini, vimeandikwa kwamba hata Mungu aliutumia muda katika kuumba ulimwengu, na kuongeza kuwa Dunia iliumbwa kwa siku sita na ya saba ikawa ni mapumziko yake...
  15. JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali iangalie namna nzuri na madhubuti ya kubaresha mtandao unaosuasua hususan na kuchunguza eneo ambalo lina shida katika utoaji wa huduma

    Kuelekea miaka 5 ijayo tz ijipange kuboresha huduma ya mtandao ili kuzuia uhalifu na matumizi mabaya ya mtandao hivyo serikali ichukue hatua kuboresha sekta ya mawasiliano ili kupata tija nzuri katika matumizi ya mtandao. Pia serikali iangalie namna ya kuboresha huduma za mtandao kwani...
  16. JamiiForums Tanzania Wataalamu hivi Kuna faida gani katika mwili kuingia kwenye maji yenye mabarafu

    Wataalamu hivi Kuna faida gani katika mwili kuingia kwenye barafu mengi Mara nyingi tumekuwa tukiwaona hata wachezaji wakia kwenye pipa lililojaa mabarafu mengi sana
  17. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Taswira mpya ya Tanzania kuelekea 2030, katika nyanja tofauti tofauti za kimaendeleo

    Dira ya Tanzania Tuitakayo: Kukumbatia Mustakabali Tanzania inapokaribia enzi mpya, ni muhimu kuweka dira inayotupeleka kwenye mustakabali wa ustawi na endelevu. "Tanzania Tuitakayo" inajumuisha matarajio ya pamoja na mikakati inayoweza kutekelezeka ambayo inaweza kuubadilisha taifa letu katika...
  18. JamiiForums Tanzania SoC04 SAUTI YA KESHO: Safari ya Uhuru katika Vyombo vya Habari na Mtandao Tanzania

    MWANZO Tanzania ina fursa ya kujenga jamii iliyo wazi zaidi, yenye demokrasia imara na uchumi endelevu katika miaka 5 hadi 25 ijayo. Uhuru wa vyombo vya habari na mtandao ni nguzo muhimu katika safari hii. Ni dhairi, ulazima wa VPN (japo nayo imepigwa marufuku) ili kupata baadhi ya mitandao kama...
  19. JamiiForums Tanzania SoC04 Maporomoko ya maji ya asili katika vijiji, yawe chanzo cha umeme katika Kijiji husika na vijiji jirani, ili kuongeza ufikiwaji wa umeme nchi nzima

    Utangulizi; Kurahisisha ufikishaji wa umeme nchi nzima na utoshelevu, ni lazma vyanzo vipya vya uzalishaji wa nishati viongezeke kutokana na mazingira husika. Kama sehemu yenye milima iliyo na maporomoko ya maji Kama njombe na milima ya upare, ambayo ina maporomoko mengi ambayo hayatumiki...
  20. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo ni elimu itolewe kwa jamii kuhusu malezi ya watoto hususani Vyuo Vikuu

    Jamii ya sasa imeachia mitandao ya kijamii kulea vijana ni wakati Sasa elimu itolewe juu ya mabadiliko haya ya sayansi na kukua kwa teknologia, vijana wengi wa vyuo vikuu wanatumia mitandao pasipo kujua ni faida zipi na hasara ndani yake. Ni muda Sasa elimu ielekezwe kwa vijana tukizingatia ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…