katiba

  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ona katiba mpya ya Kenya inavyowatesa Wakenya

    Kamwe fahari wawili hawawezi kaa zizi moja. Katiba yao mpya iliweka fahari zaidi ya watatu katika zizi moja. Ona sasa mambo ya utawala wa nchi unavyokuwa mgumu.
  2. JamiiForums Tanzania Muswada wa Marekebisho Sheria-2020: Unajua watu hawataweza kudai haki kwa niaba ya Wanyonge? Viongozi wa juu Serikalini hawatashtakiwa moja kwa moja!

    Asasi za Kiraia 220 zimefanya uchambuzi wa muswada huo wa sheria na kuwasilisha mapendekezo ya mabadiliko ya muswada huo kwa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria. Taasisi hizo zimeeleza kuwa japo kuwa zinafahamu muswada huo una lengo wa kusasisha Sheria iliyopo sana huku ikibaki kuendana na...
  3. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Jeshi awaagiza askari walinde Katiba juu ya maandamano na sio kumlinda Trump na kauli zake

  4. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Sheria: Rais, Makamu wake, Jaji Mkuu, Waziri Mkuu na Spika wa Bunge kutofunguliwa kesi Mahakamani

    MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) kwa kushirikiana na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) wamepinga muswada wa sheria wa marekebiaho ya sheria mbalimbali nchini namba 3 wa mwaka 2020. THRDC na LHRC wametoa tamko la kupinga muswada huo leo Alhamisi tarehe 4 Juni 2020 mbele...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Je, CCM itaruhusu wanachama wake wachukue fomu za kugombea Urais kama Katiba yao inavyoelekeza?

    Hili ni swali tu ndugu zangu na wala halina uhusiano na jambo lolote lile. Maana tumeanza kuona vyama vingine vya siasa vikiruhusu watia nia kujitokeza na kujitangaza. Je, CCM nayo itafuata misingi ya demokrasia kama dunia na katiba ya nchi inavyoelekeza?
  6. J

    JamiiForums Tanzania Nimeipitia katiba ya CHADEMA hakuna namna Mwenyekiti anavyoweza kugusa fedha ya chama bila baraka za kamati kuu

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Nimeichambua taratibu katiba ya Chadema ibara kwa ibara na nimejiridhisha hakuna pahala panapotoa fursa Mwenyekiti wa chama kujihusisha directly na fedha za chama. Katiba inatoa fursa ya Mwenyekiti kuongoza vikao vitakavyoamua fedha za chama zitumikeje...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Sioni wa kutuletea katiba sio Magufuli wala Mbowe

    Watanzania tunatakiwa kujitoa kuitafuta katiba na tume huru kwa udi na uvumba wanasiasa wetu mnawajuwa wenyewe. tunatakiwa kuingia barabarani maelfu kwa mamia kudai katiba ya warioba na tume huru ya uchaguzi. Ni aibu sana kizazi cha 1980 kuja leo kuwa na katiba mbovu kiasi kile hata watu mil...
  8. JamiiForums Tanzania Tumsadie Lijualikali na wengine kuzijua Katiba za Vyama vya Siasa

    Hii ni katiba ya CHADEMA kila anayejiunga na chama hiki nikuwa amesoma ameikubali, na unapochukua fomu ya kugombea uongozi ni lazima unakuwa uneikubali kwanza Katiba ya Chama. Sasa kelele za Lijualikali hazina maana zaidi ni propaganda za waliomrubuni asaliti chama tu na mkumbuke Lijualikali...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Katiba ya CHADEMA inavyosema kuhusu Wabunge wake kuchangia chama

  10. JamiiForums Tanzania Je, mwanasiasa anayepewa kinga na ya kutoshtakiwa na Katiba ya nchi yake anaweza kushtakiwa kwenye nchi nyingine akistaafu?

    Wanaojua sheria za kimataifa hivi mfano Mimi ni rais halafu kwa sheria zetu ninakinga ya kutoshtakiwa kwa Mambo niliyoyafanya nikiwa madarakani. Je, siku nikiondoka madarakani halafu nikaenda India kutibiwa kwa mfano? Je, wanaonitafuta wanaweza kunifungulia mashtaka nikiwa kwenye ardhi ya...
  11. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai hii nchi siyo yako fuata Sheria na Katiba

    Siku za hivi karibuni spika Ndugai ameonekana akitoa maamuzi yanayoenda kinyume Cha sheria na Katiba ya nchi Hasa kuhusu ubunge wa Cecil Mwambe na Wabunge waliofukuzwa jana na Chadema Anthony Komu,Wilfred Lwakatale, David Silinde na Joseph Selasini.Jana kabla hajapokea document yoyote ya chama...
  12. JamiiForums Tanzania Nini adhabu ya kiongozi anaye dharau katiba?

    Labda tumuache Rais ambaye naambiwa hawezi shitakiwa kwa muujibu wa katiba yetu ya sasa. Je kiongozi mwingine yeyote anaye dharau katiba waziwazi nini huwa adhabu yake wadau. Nataka angalau nijue . Labda hakuna adhabu yoyote ndo maana Mr Ndugai anaikanyaga katiba mchana kweupe. Na kama Luna...
  13. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai anaendesha Bunge kwa matakwa yake binafsi na si kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Nimestushwa sana na kauli ya Spika wa Bunge la Tanzania, aliyoitoa jana kuhusiana na wabunge wa Chadema, waliofukuzwa uanachama katika kikao cha Kamati Kuu ya Chadema. Spika Ndugai amenukuliwa akiwaambia wabunge hao kuwa hatambui kufukuzwa kwao uanachama na chama chao cha Chadema na hivyo...
  14. JamiiForums Tanzania Kutokana na mwenendo wa Spika wa bunge , Je, kuna haja ya Raia kuendelea kuiheshimu Katiba ya Tanzania ?

    Wakuu naomba kukiri kwamba mimi si mtaalam wa sheria za Tanzania , hivyo uzi wangu waweza kuwa na mapungufu kadhaa , lakini ni dhahiri kwamba kwenye nchi hii sheria za uchaguzi zinawataka wagombea kudhaminiwa na chama cha siasa , kwa maana kwamba ili uweze kukubaliwa na Tume ya uchaguzi kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Wataalam wa Sheria mpo? Hivi Ndugai hawezi kutimuliwa Uspika kwa kuikanyaga Katiba?

    Comreds hi! Hopes twajilinda vyema kwa kutulia nyumbani na Ku take precautions kwa kuvaa mask na kunawa mikono kwa sanitizers. Kwa ufahamu wangu sote tuko chini ya Katiba inayotuongoza. Kuikanyaga katiba kwa sisi watu wa imani nisawa na kumkufuru Roho mtakatibu . Mwalimu Nyerere aliwahi sema...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Manispaa Ubungo amfukuza Meya Jacob kwa kutumia katiba ya zamani ya CHADEMA ambayo haitumiki

    Meya Jacob wa manispaa ya ubungo amesema yeye bado ni mwanachama halali wa Chadema na kwamba mkurugenzi wa manispaa hiyo ametumia katiba ya zamani ya Chadema ambayo ilishafanyiwa marekebisho kumuengua. Bonny anasema aliletewa barua ya kufukuzwa umeya jana Jumapili saa 3 usiku nyumbani kwake...
  17. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

  18. JamiiForums Tanzania TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

    Rais Magufuli anatangaza kifo cha Waziri wake wa Katiba na Sheria, Balozi Dkt. Augustine Mahiga aliyefariki leo alfajiri Mei 01, Jijini Dodoma Taarifa iliyotolewa na Ikulu imesema Waziri huyo aliugua ghafla akiwa nyumbani kwake na alifikishwa hospitalini akiwa tayari ameshafariki dunia...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi wakati wa Katiba ya mwaka 1977, na mchakato wa katiba mpya 2011-2014 uchumi ulikuwa imara kiasi gani?

    Ndugu wanajamvi kuendana na kichwa changu cha habari, najaribu kuuliza uimara wa kiuchumi uliokuwepo 1977 wakati tunapata katiba hii, na uimara wa uchumi uliokuwepo 2011-2014 wakati wa mchakato wa katiba mpya chini ya rasimu ya Warioba? Kuna lugha tuliyopewa siku mbili hizi na serikali kuwa...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Napendekeza,mdahalo ya wagombea iwe ni sehemu ya Katiba

    Ndugu wanabodi nimetafakari jinsi tulivyouziwa mbuzi kwenye gunia tukampata kiongozi wa sasa ambaye mambo mengi anayofanya si tu yanakiuka manifesto ya chama chake lakini pia wananchi hatukupata nafasi ya kuelezewa kwa kina yale amabayo angefanya. Kama tungefanya mdahalo tungeweza kumpima huyu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…