Wanabodi,
Karibuni, tujadili kwa msingi wa uhalisia wa sasa na kwa maana halisi ya Katiba.
Serikali ni taasisi inayoundwa kwa mujibu wa Katiba ili kutekeleza mamlaka ya nchi. Mamlaka hayo yanatoka kwa wananchi. Hivyo serikali si wananchi, bali ni chombo kinachopaswa kuwajibika kwa wananchi...