Facts
- Ni wazi kuwa wapinzani (wa kweli), wanaharakati, CCM Zanzibar, CCM wapenda mabadiliko bara na watanzania wengi kwa ujumla wao wanataka mabadiliko ya katiba ili kuondoa changamoto nyingi za kisheria na kiutawala zilizopo sasa.
- Ni wazi kuwa wazanzibari wengi (Mh. Rais akiwemo)...
Kuna upotoshaji mkubwa dhidi ya hoja za wanaoitisha kurejelewa kwa mchakato wa kupatikana kwa katiba mpya.
Mama wamemfanya kuamini kuwa hizo ni chokochoko.
Katiba ni haki ya raia. Kudai katiba mpya dhidi ya iliyopo yenye mapungufu hakuwezi kuwa ni chokochoko.
Hoja hupingwa kwa hoja.
Katiba...
Mabilionea wengine walishaachana na siasa za rejareja wakiwemo Rostam Aziz, Mo Dewji, Yusuf Manji na Mkono na sasa amebakia " MWAMBA" Freeman Mbowe wa Chadema.
Je, Mwamba atatuvusha kwenye katiba mpya au atatuacha njiani?
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Mimi ni mdau ambaye naunga mkono sana mabadiliko ya Katiba lakini mpangilio wa sasa ambao unaongozwa na CHADEMA sijaupenda na hautasaidia mafanikio haya kwasababu zifuatazo
1. Rais mpya Samia hawezi kukubali kufanya katiba wakati mapema kwa kuzingatia ameingia majuzi tu na kachukuwa madaraka...
KATIBA INARUHUSU LAKINI NI NGUMU SANA BUNGE KUMWONDOA RAIS MADARAKANI
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi,
Leo nimeona nije na hili jambo la kusisimua lililopo kwenye katiba yetu lakini lisilotekelezeka. Halitekelezeki kwa sababu CCM haijawahi teua mgombea mwenye matatizo yasiyo ya...
Aliyekuwa mwenyekiti wa Tume ya Katiba mpya Jaji Warioba amesema wananchi hawa wanaoitwa " Wanyonge" ndio wenye nchi.
Warioba amesema Rais Samia amesimama imara kwenye utendaji wake baada ya kifo cha hayati Magufuli na amekubali kushughulikia suala la katiba mpya.
Jaji Warioba amesema kuna...
Mjadala ulioshika kasi nchini ni madai ya Katiba mpya, hasa kutoka vyama vya upinzani.
Naweka bandiko hili baada ya kusoma michango wa ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk. Benson Bagonza. Nanukuu baadhi ya michango yake:
Hoja ya...
Kwa nijuavyo mimi siasa ni mchezo wa kusoma vizuri alama za nyakati, tangu wanasiasa wakomavu hata wachanga hutafuta mambo mazito na magumu anayokabiliana nayo mwananchi siku kwa siku.
Hayo mambo ndiyo hutangulizwa mbele kuwa chambo cha kampeni yoyote mnayopiga. Nakumbuka kwa mfano CHADEMA...
Siku za hivi karibuni kumezuka Wanasiasa na Wanaharakati wanaohanikiza kupatikana kwa katiba mpya, huku wakijaribu kuiaminisha jamii ya Watanzania kwamba kupatikana kwake ndio itakuwa mwisho wa Matatizo ya nchi hii.
Kwa muda wote ninajaribu kuwasikiliza mmoja baada ya Mwingine na bado sioni ni...
KATIBA MPYA NI KETE KWENYE ILANI YA CHADEMA 2025.
Leo 09:15hrs 07/07/2021
Je CCM itakuja na agenda hii kwenye ilani ya kutafutia kura? Je tumeutafakari uzuri na ubaya wa katibs tuliyonayo!? Je tumeshatafakari uzuri na ubaya wa katiba Mpya tunayoitaka!?
Katiba tuliyonayo haikutuvusha wakati wa...
Mwana JF,
Hebu fikiria hili. Katiba yetu inasema Tume ya Uchaguzi ikishamtangaza mtu hakuna mtu anaruhusiwa kupinga matokeo mahakamani. Ulishafikiria siku mwenyekiti wa tume akimtangaza mtu yeyote kuwa Rais itakuwaje? Yaani fikiria akitamka kuwa rafiki yake (mathalani Hashimu Rungwe) ndiye...
Kwa katiba tuliyo nayo mhe Samia anaweza kuteua familia yake yote na kuipa vyeo tofauti tofauti. Anaweza kumpa mtu yeyote cheo cha aina yeyote muda wowote. Uwe unataka ama hutaki.
Kwa mfano anaweza kuamua kumteua:-
- Mumewe kuwa waziri wa fedha.
- Mwanawe kuwa mhazini mkuu wa serikali
-...
Kwa mfumo uliopo in ngumu kupata katiba mpya na bora kabisa kama hatutakuwa na ajenda ya kwanza kupeleka mswada wa dharula bungeni kuondoa vipengele vya KINGA.
KINGA zikiondolewa hata hii katiba iliyopo itaheshimika.
Hoja: la muhimu zaidi ni heshima kwa sheria, na kwa vile Katiba ni sheria mama, basi heshima husika iwe kwenye sheria zilizomo kwenye katiba.
Hali ilivyo sasa: ni kweli katiba iliyopo ina mapungufu mengi. Na ni kweli kuwa mapungufu hayo yanaathiri maeneo mbalimbali hususan haki za...
Jambo la msingi ni kutengeneza kwanza watu waadilifu na taaisis zilizo imara kabla ya hiyo katiba yenyewe, kwasababu hata Katiba iwe nzuri kiasi gani tukija kupata Rais Dikteta ataikanyaga na mtaufyata mkia.
Rais Samia endelea kupiga kazi usiguse kabisa mambo ya Katiba hadi utapopata muhula wa...
Kwa mujibu wa Katiba yetu hii mbovu ktk ibara ya 52 (2).
(..)Rais atamteua mbunge wa kuchaguliwa kutoka katika Jimbo la Uchaguzi, kuwa waziri Mkuu (..)
N.B. Kila kwenye (..) kuna maneno nimeyaruka.
Sasa huyu mhe Majaliwa alichaguliwa na wananchi ktk Jimbo lake? Jibu ni HAPANA hakuchaguliwa na...
Sheikh Mselem Ali, mmoja kati ya Masheikh wa Uamsho ambao wametoka Gerezani amesema mihadhara yao ilikuwa na nia ya kuwaamsha watu kudai Katiba Mpya.
Amesema kwa kipindi kile walifanya hivyo kwa kuwa kulikuwa na fursa ya maoni kuhusu Katiba Mpya. Walifanya hayo kwa mujibu wa sheria kwa kuwa...
Mimi ni mwana CCM, kwanza nakubaliana na mama Samia kuwa tuwe na subra juu ya Katiba Mpya. Lakini mbadiliko ya Katiba ni lazima yatokee kuziba mapungufu makubwa tuliyoyaona Awamu ya Tano.
Mifano ya mambo tuliyaona yakikiukwa wazi wazi Awamu ya Tano:
1. Rais Lazima awajibike kwa Wananchi kupitia...
Kamanda Asiyechoka huwa naona mbali sana.
CCM wanajua fika taifa letu tukipata katiba mpya basi huo ndio mwisho wao
Tume huru itakuwepo na hapo tutawakaba.
Mgombea binafsi atakuwepo na hapo ndio watakoma.
Mafisadi wa CCM tutawadhibiti mithiri ya panya kwenye mtego wa kubana.