katiba

  1. S

    JamiiForums Tanzania Bila U-Sri Lanka ama kuchapana kamwe Katiba Mpya iliyo bora haitapatikana

    Katiba bora ni ile inayotoa fursa sawa kwa vyama vya siasa na raia wake kwa ujumla na yenye kumuwajibisha kila anayeikiuka. Hapa nchini kuna vuguvugu la kutaka kuandikwa kwa katiba mpya. Lakini katiba itakayoandikwa kwa mazingira na mwenendo tulionao sasa itakuwa siyo bora. Itakuwa siyo bora...
  2. JamiiForums Tanzania Hatukuwahi kuwa na mchakato wa Katiba. Kikosi kazi cha nini sasa?

    Kama kuliundwa mpaka Bunge la Katiba na "Katiba pendekezwa" ikatolewa, leo Kikosi kazi kilichoundwa kinafanya kazi gani tena? CCM inajua sana kufuja fedha za Watanzania.
  3. JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais (ikiwa Katiba itakuwa hivi hivi) nitavunja Muungano

    Katiba yetu inampa nguvu kubwa sana Mh Rais, kiasi kwamba watu wengine hujikuta wanamuunga mkono kwa hofu ya kuharibiwa maisha. Mimi nikipata hii nafasi ntatumia hiyo nguvu kuvunja muungano kwa tamko moja tu. Nitaitambua nchi inayoitwa Tanzania, na nchi yangu itakuwa na mikoa bara na visiwani...
  4. JamiiForums Tanzania Andrew Chenge afika kwenye Kamati ya Katiba, awataka Wajumbe warudi kwenye Rasimu ya Warioba

    Mzee Chenge , mtu anayeaminika kuwa miongoni mwa wanaccm wachache wenye busara , leo amefika kwenye Kamati ya Rais ya kuratibu maoni ya Katiba mpya na kueleza yaliyo moyoni mwake . Chenge ambaye pia ni Mwanasheria wa Zamani wa Serikali ya Tanzania hakumung'unya maneno , amewataka wajumbe wa...
  5. JamiiForums Tanzania Nakupongeza sana Maulid Kitenge kwa kumjibu Shaka Hamdu Shaka kuhusu Katiba

    Watanzania, Binafsi nampongeza Sana Ndugu yangu Maulidi kitenge kwa nondo zilizoshiba za kumjibu Shaka Hamdu shaka kuhusu Katiba Mpya na ushirikishwaji wake KWA wananchi! Kitenge amemjibu shaka KWA kusema"wananchi wote walishashirikishwa swala la katiba mpya tena makundi yote kuanzia MAMA...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna vitu muhimu zaidi kuliko Katiba, kubali au kataa

    Bado nawashangaa sana watu waliokuwa wanaibeza Royal Tour na kusema kwamba Rais Samia Suluhu anapoteza muda bora katiba. Mimi nafikiri sasa watanzania tunapaswa kutambua kuna vitu vya muhimu zaidi kuliko katiba, hivi royal tour ingefanyika saa ngapi kama mama angeanza na katiba? Hivi mnahisi...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kauli za jeuri na dharau za viongozi wetu kwa wananchi ni matokeo ya Katiba yetu mbovu

    Katiba bora huwafanya viongozi kutimiza wajibb wao ipasavuo na kuwaheshimu wananchi ambao ndiyo wenye nchi. Hivi unadhani katiba yetu ingekuwa bora, Samia angetoa hoja dhaifu kuwajibu wananchi wanaokosoa wingi wa safari zake za nje? Anafanya hivyo kwasabb katiba mbovu imempa nyenzo na mamlaka...
  8. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya haiwezi kupatikana kabla ya 2025 na CHADEMA haitosusia Uchaguzi Mkuu

    Niliwahi kusema hapa vyama vyama vyote vya siasa vimetokana na CCM. Ni kama vile madhehebu mengine ya dini ya kikristo yalivyomeguka kutoka Katoliki. CCM ni chama kikubwa sana barani Afrika, hivyo hakuna chama hata kimoja Tanzania kinaweza kukitingisha. CCM ni kweli wamesema kwamba wanategemea...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe msimamo na kura ya Othman Masoud Othman ktk Bunge Maalum la Katiba

    ..msimamo wa Othman Masoud ulianzia ndani ya kamati ya uandishi ktk bunge la katiba. ..Othman Masoud anadai alikataa kuburuzwa na Andrew Chenge hivyo akaamua kutokuendelea kuwa ktk kamati hiyo. ..Kwa hiyo Othman Masoud alikuja kutokea bungeni siku ya kupiga kura kama mnavyomshuhudia hapo chini.
  10. JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka: Katiba Mpya sio Agenda mpya kwa CCM, Wenye Agenda ya katiba mpya ni CCM

    Katibu wa halmashauri kuu ya Nec Itikadi & Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka amesema, " Agenda ya katiba mpya sio ngeni ndani ya CCM, na wakati wote ni CCM ndio imeratibu maswala yote, " Aidha kiongozi huyo wa juu kabisa wa Chama cha Mapinduzi CCM Tanzania amewataka Watanzania kufahamu kuwa CCM ni...
  11. JamiiForums Tanzania Tunisia: Mkuu wa Kamati ya Mapendekezo ya Katiba Mpya alaani Rasimu iliyochapishwa na Rais Kais Saed

    Sadok Belaid, Mtaalamu wa Katiba na Sheria na aliyekuwa Msimamizi wa Uundwaji wa Katiba mpya nchini humo amesema waraka wa mwisho wa Rasimu ya Katiba uliochapishwa na Kais Saied wiki iliyopita ni hatari Amesema kuwa baadhi ya vifungu vinaweza kufungua njia kwa utawala wa kidikteta na rasimu ya...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Waloliondo kufurushwa wenye ardhi ya mababu zao ni kielelezo cha ubovu wa katiba yetu

    Kama katiba ingelikuwa nzuri. Wa-Loliondo wasingeondoka kwenye ardhi ya mababu zao. Zuio la kimahakama lingewekwa na rais angeburuzwa mahakamani. Lakn katiba yetu inamlinda rais kuhojiwa na kushitakiwa na chombo chochote kwa kosa lolote atakalolitenda akiwa anatekeleza kazi zake za urais...
  13. JamiiForums Tanzania Jamaa anasa dis train ya Katiba Mpya kwa mbele ya behewa

  14. JamiiForums Tanzania Jenerali Mabeyo: Tulimpoteza Rais Magufuli, tulisimama kidete kama Jeshi kulinda Katiba

    ==== Dar es Salaam. Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) anayemaliza muda wake Jenerali Venance Salvatory Mabeyo ametaja kifo cha Rais wa awamu ya tano John Magufuli, na matukio yaliyofuata baada ya tukio hilo, kama moja kati ya changamoto kubwa alizokabiliana nazo kwani Jeshi...
  15. J

    JamiiForums Tanzania CCM wanawacheza mchezo gani haswa? Maana hata iweje hawana nia na Katiba Mpya kabisa

    Wakuu jana CCM wametoa press na kusema kuna haja ya kufufua mchakato wa Katiba mpya Katiba mpya ambayo imekuwa kilio cha muda mrefu cha wapinzani na wataka mabadiliko nchini, inatarajiwa kukuza demokrasia, kuleta uwajibikaji, ugatuaji wa madaraka na ufanisi wa kuendesha serikali Sasa CCM ambao...
  16. JamiiForums Tanzania CCM Kukubali Mjadala Katiba Mpya, Tumpongeze Rais Samia

    Wakati fulani mwaka 2018, aliyekuwa rais wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akizungumza katika kongamano la kujadili hali ya siasa na uchumi alisema "SERIKALI YAKE HAINA MPANGO WA KUANZISHA UPYA MCHAKATO WA MAGEUZI YA KIKATIBA KWA SABABU KUNA MASUALA MENGINE YENYE KIPAUMBELEKWA SERIKALI"...
  17. JamiiForums Tanzania Awamu ya tano ni chachu ya uharaka wa Katiba Mpya

    Hakuna mtanzania mpenda haki anayetamani kuona katiba hiihii tuliyonayo inakutwa na kutumiwa na kiongozi anaefanana hata kwa nusu tu na yule kiongozi wa awamu ya tano (RIP). Awamu ile ni sawa na kusema kuwa nchi ilikuwa imetekwa na watu kutoka sayari nyingine. Ni katiba ambayo kila mtu...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Wabunge 19 ni sawa na watumishi hewa kwa kuwa hawatambuliki kokote

    Ndugu zangu watanzania, Salaam Mimi nawauliza tuu wavuja jasho wa nchi hii tunaonyonywa sana na kitu inaitwa CCM! Ikiwa kina Mdee na wafuasi wake hawatambuliki popote pale kisheria na hata kikanuni zozote zile za wao kuwepo Bungeni mpaka sasa...! Kwa maana nyingine, kodi yangu Mimi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Muda si mrefu Tanzania na Watanzania tutavuna tulichopanda kwa kukumbatia Katiba iliyopitwa na wakati

    Mjadala wa Katiba umekuwa ni suala la muda mrefu sana na watanzania walio wengi wanalichukulia ili suala kimasihara masihara lakini ukweli ni kwamba tukiendelea na hii Katiba muda si mrefu itatupatia dikteta wetu. Katiba hii imempa rais madalaka makubwa mno , rais anauwezo hata wa kulivunja...
  20. JamiiForums Tanzania Rasimu ya Warioba ipo tayari, tupate Katiba Mpya ndani ya mwaka huu tuwakatae wabunge vibogoyo na bunge lao lisilofaa

    Kama CCM wenyewe wamekubali kuwa sasa hivi katiba ni hitaji la kitaifa na huu ndio wakati muafaka basi sasa ndio wakati wa kuweka mambo sawa. Tuna bunge kibogoyo linalotafuna pesa za walipa kodi na huku wananchi wakiwa na maisha magumu. Hatusikii bunge likifanya kazi yake kama bunge ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…