katiba

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hiki kilichototea bungeni. Je, kwa ubabe huu tunahitaji katiba mpya au Watanzania tuamke tudai nchi yetu?

    Habari jf, Hiki kiilichotokea bungeni sio mara ya kwanza kwa mambo kupitishwa kwa nguvu. Sasa kwa huu ubabe unaona kabisa katiba mpya inaweza isiwe suluhu ya hili tatizo . Bil 47 za posho zimepitishwa kwa nguvu ,watanzania tuko kimya hivi tunashida gani ? Hawa CCM watakuja mitaani ambako...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Sharia law haifai kuwekwa katika katiba ya nchi aina ya Secular state

    Sharia Law ni muunganiko wa sheria zinazomuongoza Mwislamu maisha yake yote. Sharia ya Kiislamu Ina hasara kubwa kwa atu wasio waumini wa Kiislamu hasahasa Wakristo na nitazioanisha hapa kama zifuatavyo. Inaminya uhuru wa kuabudu: Hakuna uhuru wa kuabudu Kwa watu wasiokuwa Waislamu katika nchi...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali kupitia Wizara ya Katiba na Sheria imezindua mwongozo wa ushirikiano wa wadau katika upelelezi, uratibu na kupambana na makosa hayo

    SERIKALI YAZINDUA MWONGOZO WA USHIRIKIANO WA WADAU KATIKA UPELELEZI, URATIBU NA KUPAMBANA NA MAKOSA YAO Katika kupambana na vitendo vya ugaidi na utakatishaji fedha haramu, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Katiba na Sheria imezindua mwongozo wa ushirikiano wa wadau...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

    Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje. Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia. Sharia haijaacha...
  5. JamiiForums Tanzania USHAURI: WanaJF tuwe na sehemu ya kuwasilisha maoni yetu ya Katiba pendekezwa kwa Jaji Mutungi?

    Salaam, Wana JamiiForums, Kwa kuwa Jamii Forums ni Jukwaa lenye wasomi, wanazuoni na nguli wabobevu katika sheria na Katiba na mambo mengi ya Kijamii, kisiasa na kiutamaduni. Napendekeza uwepo utaratibu maalumu wa Jukwaa hili kuwasilisha maoni yetu kuhusiana na Katiba pendekezwa, na hatimaye...
  6. JamiiForums Tanzania Hawa ndio viongozi wa CCM tunaotarajia wajadili katiba mpya.

    CCM wanajimilikisha mpaka polisi na kuona ni utovu wa nidhamu kwa polisi kupinga kuwa CCM.
  7. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Waziri wa Katiba na Sheria akiwasilisha mpango na makadirio ya mapato na matumizi ya wizara kwa mwaka wa fedha 2023/24

    Hotuba ya Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Daniel Ndumbaro (mb), akiwasilisha mpango na makadirio ya mapato na matumizi ya wizara kwa mwaka wa fedha 2023/2024
  8. P

    JamiiForums Tanzania SoC03 Katiba Bora ndio chanzo cha Utawala Bora na Uwajibikaji katika Taifa

    Katiba bora ina jukumu muhimu katika kuleta utawala bora na uwajibikaji katika Taifa lolote. Hapa chini ni baadhi ya manufaa tunayopata kupitia Katiba bora Kugawanya madaraka: Katiba bora inakuwa na mfumo wa kugawanya madaraka ulio wazi na uliobainishwa vizuri. Inathibitisha mamlaka na...
  9. JamiiForums Tanzania Siku mpya na pumzi mpya ya harakati za kudai Katiba mpya

    Ukweli huo unaweza kupuuzwa tu na mtu mwenye kufikiria leo. Lakini kwa mwenye maono na afya ya akili, katiba iliyopo inatokana na msingi wa sheria za kikoloni na baadae kuendelea kufanyiwa maboresho ya kukidhi matakwa ya utawala wa chama kimoja na kisha kukubali mfumo wa vyama vingi kwa shingo...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Raisi Samia, kama unaona mbali, legacy kubwa ya kipekee na ya kudumu ni Katiba Mpya. Majengo na vitu vingine vinasahaulika hasa kwa vizazi vijavyo

    Katika uzinduzi wa Ikulu ya Chamwiono leo hii tarehe 20/05/2023, imejitokeza hali ya kila mmoja kutaka kuonekana ana legacy katika ujenzi wa Ikulu hiyo, lengo ni kila mtu aingie kwenye kumbukumbuku ya waliohusika kufanikisha ujenzi wa Ofisi hizo za Raisi hapa mkoani Dodoma. Katika hili...
  11. JamiiForums Tanzania Katiba ya Chama Changu Haina Kipengele cha Ukomo wa Kiongozi Mkuu.

    Kabla ya kupigania katiba ya nchi, mimi Bei Elekezi na ndugu yangu Yericko Nyerere tunataka katika za vyamabvyetu vya siasa ziweke kipengele cha ukomo wa kiongozi wajuu ili mawazo mapya yapate nafasi. Tunapendekeza kiongozi wa juu wa chama chochote cha siasa aongoze kwa miaka 5, akiongoza vyema...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usisite kwenye katiba usiweke siasa mbele!

    Mimi natoa ushauri kwa Raisi Samia asisite kwenye swala la katiba kwasababu zifuatazo 1. Akisita wasiopenda katiba kwa manufaa binafsi kama mzee wetu mstaafu wa awamu ya 4 watapa mwanja wa kukushauri na kuongeza uoga wako 2. Manufaa kwa nchi ni makubwa sana kuliko manufaa ya siasa mfano mambo...
  13. A

    JamiiForums Tanzania SoC03 Andiko kuhusiana na suala zima la Katiba ya Nchi

    Katiba ya nchi ni nyaraka muhimu sana katika kuhakikisha uwajibikaji na utawala bora. Hata hivyo, kuna changamoto nyingi katika utekelezaji wa katiba hii, ambazo zinahitaji hatua za haraka kutoka kwa serikali na wananchi. Moja ya changamoto kubwa ni ukosefu wa uwazi na uwajibikaji. Serikali...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tunasimama na Lissu, alipo tupo

    Amekuwa wazi mwana halisi wa nchi hii, Rais wa mioyo ya wengi - Tundu Antipas Lissu: Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu, amesisitiza umuhimu wa kupatikana kwa Katiba mpya kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025. Lissu ameonya kuwa ikiwa maridhiano hayatapatikana, Chadema itaathiriwa. Rais...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Hongera Sungusia kuchaguliwa rais wa TLS; matumaini ya katiba mpya yameanza kuonekana

    Naamini ujio wa Sungusia TLS utaendeleza harakati na vuguvugu la kuirudisha TLS kuwa chombo cha kitaaluma chenye nguvu na hari ya kusukuma utawala wa sheria. Kitarudi kuwa chombo kinachotazamwa na watu kama njia ya kufikia haki pamoja na chimbuko la mawazo mapya. Kitakuwa chombo chakusukuma...
  16. JamiiForums Tanzania Mjadala kujikumbusha kuhusu mabadiliko ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (uliofanyika May 13, 2023)

    Kwa kifupi tu..Kupata katiba mpya nchini Tanzania kuna hatua kadhaa ambazo zinapaswa kufuatwa. Hapa ni baadhi ya hatua hizo: 1. Kuanzisha mchakato wa kupata katiba mpya: Hatua ya kwanza ni kuanzisha mchakato wa kupata katiba mpya. Hii inaweza kufanywa na Rais, Bunge au kwa kuitishwa na...
  17. JamiiForums Tanzania SoC03 Umuhimu wa Katiba Mpya na Kasi ya Mabadiliko

    #Storyofchange2023 Mwandishi: Wa Kale Mawasiliano, Email: officialmapatotz@gmail.com Simu: +255745922142 Utangulizi: Katiba naweza kusema, ni taratibu, miongozo, kanuni na sharia zinazotumika katika utekelezaji sahihi wa majukumu mbalimbali katika maisha ya kila siku ya mwanadamu. Ikiwa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Rasimu ya Mitaala Nchini: Umri wa kuanza darasa la kwanza ni miaka 6, elimu ya msingi mwisho darasa la 6

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda Akizungumza na waandishi wa habari tarehe 9/5/2023, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya 2014 toleo la 2023 pamoja na Rasimu ya Mitaala Mipya ya Elimu ya Msingi, Sekondari na...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa vipengele vya Katiba

    Habari, Mimi ni msomaji wa vitabu na nimekuwa nikisoma vitabu vya kila aina. Changamoto inakuja kwenye hiki kitabu kinachoitwa katiba, licha ya kukisoma mara kwa mara bado nakisoma kama novel kwani kuna baadhi ya maneno siyaelewi. Naomba utofauti kati ya; 1. IBARA 2. IBARA NDOGO 3. KIFUNGU 4...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini Chadema/BAWACHA wanaingilia Uhuru wa mahakama suala la akina Mdee? Hawa ndio wanaimba utawala wa sheria?

    Chadema ni wazi kwamba wanajinasibu kwamba wanapenda saaana katiba na utawala wa sheria, na wamekaza shingo na meno wakitaka katiba mpya. Kwa nini wanataka kuingilia Uhuru wa mahakama inayosikiliza kesi ya akina Mdee na kushinikiza wao ndio wawe washindi? Yaani ili haki iwe haki basi inabidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…