katiba

  1. JamiiForums Tanzania Watanzania tupambane kupata Katiba Mpya kabla ya 2025

    Ni mtanganyika gani asiyetaka bandari iwe na ufanisi ili kupata mapato na kuendeleza uchumi wa taifa letu? Mkataba wa DP World una ukakasi ndio maana Watanganyika tunapinga. Tuwe na Katiba, Rais akiwa na kashfa kama hizi anachunguzwa na akibainika anashitakiwa. Tukomae ili tupate Katiba mpya...
  2. JamiiForums Tanzania The Emirate of Dubai siyo nchi na uhusiano wa kimataifa ni jambo la Muungano ila ina uwezo wa kuingia makubaliano ya kimataifa kwa mujibu wa Katiba

    Mh. Madeleka ametumia ibara ya 120 ya katiba ya Umoja wa Falme za Kiarabu kujenga hoja kuwa The Emirate of Dubai siyo nchi na haina uwezo wa kuingia mikataba na nchi nyingine kwa sababu uhusiano wa kimataifa ni jambo la Muungano. Kwa bahati mbaya sana Mh. Madeleka anapotosha. Ni kweli The...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa nondo zile za Lissu siioni Katiba Mpya!

    Nimemsikiliza Lissu tangu juzi akiwa kariakoo na pale Kibamba leo kwa hakika ujumbe anaotema ni mzito sana sidhani kama Samia ana kifua cha kuuhimili. Kama Magufuli aliyejiita chuma, Jiwe, Kamongo hakuweza furukuta mbele ya makombora ya Lissu nimewaza sana kuhusu Samia. Japo taarifa za ndani...
  4. JamiiForums Tanzania CHADEMA, zoezi la kumzuia Rais Samia 2025 likipita na zoezi la katiba litasimama hadi 2035

    Kila mtu anajua kuwa wanachokitaka wapinzani sio katiba mpya bora sana ya kuongoza nchi, ila wanataka katiba mpya ambayo italeta Tume ya uchaguzi tofauti na ya sasa wakiamini Tume nyingine ya Uchaguzi itawaingiza Ikulu na kuwapa wabunge Wengi sana kirahisi, hisia za wapinzani ni kuwa hawashindi...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kama kweli suala la DP World limewagusa basi nguvu kubwa ielekezwe kwenye kudai katiba mpya

    Inakera, inaudhi na inauma sana kuona katiba yetu inawafanya wananchi kuwa wanyonge. Hawana sauti, hawana maamuzi na wala hawawezi kupindua chochote kilichoamuliwa na viongozi (serikali). Chanzo cha upuuzwaji huu wa sauti za wananchi, uvizwaji wa nguvu ya wananchi na viongozi kutoogopa/...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Prof. Shivji apuuzwe, ni kigeugeu. Alisaliti machapisho yake ya serikali tatu wakati wa bunge la katiba

    Prof. Shivji haaminiki tena huwa anatumika na ni kigeugeu hivyo apuuzwe ktk hoja zake anatoa kupinga ubia wa serikali ya Tanzania na DP World kuendesha bandari.. Kama mnakumbuka prof. Shivji ameandika machapisho mengi sana kuhusiana na utata na udhaifu wa muundo wa muungano wetu wa serikali...
  7. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa usafi wa Mazingira nao uwekwe kwenye Katiba?

    Utaratibu wa usafi wa Mazingira nao uwekwe kwenye katiba? Nimekuwa nikitatizika sana na usafi wa mitaa yetu. Hakuna jitihada zozote zinazoongelewa kuhusu usafi wa mazingira yetu. Inasikitisha sana kwamba tupo na ngazi za uongozi kutoka kwenye mitaa lakini hakuna utashi wa kuhimiza watu...
  8. JamiiForums Tanzania Wakati wa Katiba Mpya ni sasa

    Spika wa bunge, msemaji wa serikali na Waziri mkuu wanamjibu nani kuhusiana na hili sakata la bandari kuuzwa? Je wanawajibu wananchi au Wabunge waliuopotasha umma au wanawajibu DP World? Tunahitaji kujua walikosimama wao wakati wakitoa hoja zao. Sina hakika kama wanajua wanachokifanya! kama...
  9. JamiiForums Tanzania Jaji Mugasha Apewe Maua Yake Kupinga Uvunjifu wa Katiba Ukomo wa CJ, ila Mbona Hili ni Dogo Tuu, Kubwa ni Katiba Yetu Imenajisiwa! Why Wako Kimya?!.

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa. Makala ya leo ni pongezi kwa Jaji Stella Mugasha wa Mahakama ya Rufani Tanzania, kusimama kidete, kupinga uvunjifu wa katiba uliofanywa na Rais wa JMT, kumuongezea muda wa kuhudumu katika nafasi ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Profesa Shivji anasema mkataba wa Dubai/DP World uko kinyume na katiba; Je kusigina katiba sio kosa la uhaini?

    Leo wakati akiongea katika mdahalo uliofanyika UDSM, mhadhiri mwandamizi wa sheria profesa Issa Shivji ameeleza kuwa mkataba wa uendeshaji bandari kati ya Tanzania na Dubai una dosari kutokana na vifungu vilivyotajwa hapo juu kukinzana na matakwa ya kikatiba ya Tanzania. Na akaeleza kesi inaweza...
  11. JamiiForums Tanzania Wakili Mgongolwa: Katiba inamruhusu Rais kumuongezea muda Jaji Mkuu

    Kupitia kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa kupitia Clouds FM, Mwanasheria wa kujitegemea Alex Mgongolwa ameeleza kuwa Rais anayo Mamlaka na hajavunja Katiba kwa kumuongezea muda wa kuhudumu Jaji Mkuu wa Tanzania Msikilize hapa, kisha tujadili nini maoni yako? Pia soma > Profesa Ibrahim...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hivi ile peremende ya maridhiano na upatikanaji wa katiba mpya bado ipo vinywani mwa wapinzani ama imeyuyuka??

    Huyu rais Samia anapaswa kuangaliwa kwa jicho la tatu. Anajua kucheza na akili za watanzania kweli kweli. Kabla ya kumleta mwarabu alianza kwa kuwaweka sawa wabunge (kama alivyotujuza mbunge wa CDM Aida Kenan). Aliwapeleka Dubai kwa ziara ya "mafunzo". Wakala bata na kupewa cha mfukoni. Suala...
  13. JamiiForums Tanzania Naitamani "katiba dikteta" kiasi kwamba hata Amiri Jeshi Mkuu hawezi wala kuthubutu kuikanyaga

    Udikteta si mzuri. Lakini demokrasia inayotokana na katiba lege lege nayo ni hatari. Kwa kawaida, dikteta hapingwi kirahisi nchini mwake. Ni ama watu wake wampende, hata kama ni kwa unafiki, au kumwogopa kwa ajili ya usalama wao. Madikteta hawakubali kudharauliwa. Imeshatokea mara nyingi, hasa...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Possi: Dubai ina uwezo wa kuingia mikataba imekasimiwa kwa mujibu wa Article 120 – 123, ya katiba ya Umoja wa Jumuia za Falme za Kiarabu

    Utangulizi: Ni ukweli usiopingika kuwa kulingana na unyeti wa rasilimali bandari kwa taifa na ukizingatia kuwa ni lango kuu la uchumi, na maswala ya ulinzi na usalama. Na zaidi sana kuwa mchakato wa kuridhia mkataba wa aidha kuuzwa (opion ya wapingaji) au kupangishwa (opinion ya wa wasiopinga)...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa la Bandari, Pongezi TLS. Katiba yetu imenajisiwa. Bunge limetunga Sheria batili. Haki za Watanzania zimeporwa. Kwanini TLS wamenyamaza kimya?

    Wanabodi, Nikiwa ni mwanachama wa TLS, nimeisoma taarifa ya TLS kuhusu issue ya Bandari na DPW, kiukweli kabisa TLS inastahili pongezi za dhati!, imefunga huu mjadala, ingekuwa mimi ni Mnyamwezi, Kinyamwezi hii inaitwa "funga kalomo", yaani funga mdomo!. Taarifa hii ya TLS ni funga kazi, na...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Kutopandisha walimu madaraja kwa kuwa na mashauri ya kinidhamu ni kukiuka katiba ya Nchi, Ibara ya 13: 6(b)

    Baadhi ya walimu waliositahili kupanda madaraja ya kiutumishi 2023 hawajapandishwa vyeo vyao kwa sababu mbalimbali. Baadhi ya sababu ni walioko masomoni, walio likizo bila malipo na walio mashtaka katika kamati za kinidhamu katika wilaya mbalimbali kwa makosa mabalimbali. Kutompandisha mwalimu...
  17. JamiiForums Tanzania Watanzania ni Watu wa ajabu. Wanapigiaje kelele jambo dogo la Bandari, lakini Mambo Muhimu ya Msingi kama Katiba na Uhuru wao wapo Kimya?

    Wanabodi Nipashe la leo, Kama kawaida yangu kila Jumapili, huwaletea makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, kuzungumzia jambo lolote la kisiasa, kiuchumi na kijamii lenye maslahi kwa taifa. Mada hizi huwa zina, swali , na hoja, kisha jibu, utalitoa wewe msomaji mwenywe. Swali la leo ni kutuhusu...
  18. JamiiForums Tanzania Mwambieni Zitto IGA ni sawa na Katiba ya nchi na HGA ni sawa na sheria ya nchi. Sasa ipi inamtegemea mwenzie?

    Zitto anasema IGA ni sawa na karatasi ya kufungia vitumbua, je anajua uzito wa IGA? Kwamsiojua Intergovernmental Agreement tunaweza kuitafsiri kwamfano kwenye NCHI tungeita ni KATIBA YA NCHI. Kisha Host Gorvanment Agreement au Mikataba ya Utekelezaji, tunaweza kuitafsiri kwamfano kwenye NCHI...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Sasa tunaitaka Katiba iwe kwa mchana na ama usiku!

    Tunaitaka katiba itakayoondoa ukiritimba na udikiteta wa viongozi Tunaitaka katiba ambayo itakuwa ni ya wananchi na siyo kuwa ya viongozi Tunataka katiba itakayoondoa udikiteta wa viongozi kupola mali zetu kwa kutumia mamlaka yao Tunataka katiba itayowapa wananchi mamlaka ya kuwawajibisha...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Maswali yatokanayo na katiba! Mambo yasiyo ya muungano huwa ya muungano katika kipindi gani? Au ni ubovu wa katiba?

    Wasalaam Mara nyingi huwa nasikia huko Bungeni na kwa wanasiasa mbalimbali kwamba, Muungano wetu ni wa kipekee, umezifanya nchi hizi mbili kuwa na mambo ambayo hayawezi kuingiliana na yale ambayo yanayoingiliana Kuna yale yanakuwa ya Zanzibari pekee na yale yanakuwa ya Watanganyika pekee...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…