katiba

  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuna kosa la Katiba ambalo Rais au kiongozi akimaliza muda wake anatakiwa kutokuwa Serikalini kabisa wala jambo lolote la Serikali

    Haya ndio matatizo ambayo Katiba iliyofanya yaani Rais kama kamaliza muda wake kutojihusisha na serikali. Leo hii tumejionea kwa Jakaya Kikwete yaani unaweza kusema bado yupo Serikalini na anafanya kazi kama Rais. Upande wa chama chao unaona kabisa kama ni mwenyekiti wa maamuzi...
  2. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu: Hatuwezi kuandika Katiba Mpya kila mtu ameshika jiwe mkononi, rasimu ya Warioba haijachomwa ipo kwenye ilani

    "Hatuwezi kuandika katiba mpya kila mtu ameshika jiwe mkononi, rasimu ya Warioba hajachomwa ipo kwenye ilani"
  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Watuhumiwa 93 wa kesi ya kudai uchaguzi huru na wa haki, na mabadiliko ya katiba wamefikishwa mahakamani wakiwa wanalia, je wanateswa vizuizini ?

    Watuhumiwa 93 wa kesi ya kudai uchaguzi huru na wa haki, na mabadiliko ya katiba wamefikishwa mahakamani wakiwa wanalia, je wanateswa vizuizini ? Vyombo vya habari vya ndani vimechapisha vijana hao wasio na hatia walionekana kwenye vilio, ikumbukwe vyombo vya usalama vimeshtumiwa zaidi ya mara...
  4. Ileje

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo ulipokuwa na akili timamu: Katiba mpya inapatikana kwa vurugu!

    https://twitter.com/Ndolezi_Petro/status/1992542007432990932?t=Fwrcy6pC7f5hy5BUPN4o4A&s=19
  5. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya itamke, pale ambapo senti ya serikali imetumika kwenye Tume ya Uchunguzi, ripoti lazima iwekwe wazi

    Ya Mzee Kibao ilisemaje? Huyu Jaji Othman ashaandika ripoti ngapi kwa mfano? Ziko wapi? Au huyo Balozi Ombeni Sefue, mshamsikia kwenye matume mangapi ? Ziko wapi ripoti alizoshiriki? Kwa nn huwa hawadai ripoti zao zifanyiwe kazi kama ambavyo Jaji Warioba anaishi akihubiri rasimu ya Katiba...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Video: Mkanganyiko wa katiba Zanzibar kumbe 'Mufti(kiongozi mkuu wa waislamu)' huteuliwa na Rais

    Kila siku tunasema hapa sisi waislamu hatuna chombo cha kutusimamia,inakuwaje Mufti wa Zanzibar ateuliwe na Raisi? Tena serikali inamlipa mshahara na kuihudumia ofisini yake.. Mbona wakatoliki,wasabato, KKKT na Waanglikana viongozi wao hawateuliwi na Raisi?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Katiba inazuia DPP kuingiliwa

    Hivi hii Ikulu imejaa mamburula kiasi gani? na Mwanasheria wao wa kuanika juani, hawaijui kabisa Katiba? Au kwa kuwa walikwishadai ni kakijitabu tu?
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nitakao wateua mjiandae kisaikolojia, tutawabadilikia

    Rais Samia amesema Nitakao wateua mjiandae kisaikolojia, tutawabadilikia
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Majukumu ya Waziri Mkuu wa Tanzania kwa mujibu wa Katiba

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari ameyaweka wazi majukumu makubwa ya Waziri Mkuu wa Tanzania kama yanavyoelezwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Majukumu hayo na mengine ndiyo yanayotarajiwa kutekelezwa na Dkt. Mwigulu Nchemba aliyeteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan...
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watu wapo ikulu na bungeni wakijifanya viongozi kwasababu majengo yapo wazi wananchi mnapaswa kuyathibiti tuunde serikali yetu kwa muujibu wa katiba

    Watu wapo ikulu na bungeni wakijifanya viongozi kwasababu majengo yapo wazi wananchi mnapaswa kuyathibiti tuunde serikali yetu kwa muujibu wa katiba Utawaona wakijaribu kuunda serikali yao isiyo ya kiraia ya kujiteuwa wenyewe kwasababu majengo yapo wazi tutakapo yathibiti tutaunda serikali yetu...
  11. Griss

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya katiba yakija vijana tugome kuongozwa na wazee

    Nyerere alikuwa Rais. akiwa na Miaka 39 tu Mwangalie Obama Rais Bora kuwai kutokea duniani. Mohamad Gadafi alikuwa kijana na mapinduzi makubwa libya Mwangalie Traore Yaani Ni Marais ambao wanafanya au walifanya mapinduzi makubwa wakiwa vijana. Ukizeeka thinking capacity yako inakufa Ndio...
  12. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jukwaa la Katiba Tanzania: Tunalaani vikali vya kuwapiga risasi wananchi wasio na hatia

    TAARIFA KWA UMMA JUKATA kwa majonzi makubwa inatoa pole za dhati kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki wote ambao wapendwa wao wameuawa, kujeruhiwa au kutoweka wakati wa maandamano yaliyozuka siku ya uchaguzi tarehe 29/10/2025. Tunalaani vikali vitendo vya kikatili vya kuwapiga risasi wananchi...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ado Shaibu auliza kuhusu katiba mpya Mgombea ZUNGU asema iko njiani

    "Ndugu mgombea mheshimiwa Zungu ningependa kufahamu katika bunge utakaloliongoza iwapo utachaguliwa kuwa spika litakuwa na mchango gani katika kuboresha demokrasia nchini Tanzania hasa katika muktadha wakujenga mwafaka wa kitaifa na kuhakikisha Tanzania inapata katiba mpya?". Mbunge mteule wa...
  14. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ya kweli lazima yahusu katiba mpya mpya na sio katiba mpya mbovu

    Nimeona makamu wa Rais nchimbi akiongelea kuhusu swala la maridhiano Kama kweli tuna nia ya kuwa na maridhiano ya kweli tunatakiwa kuwa na katiba mpya mpya na sio katiba mpya mbovu Kwanini nasema hivyo kunaweza fanyika jitihada za kuunda katiba mpya ila ikawa mbovu kuliko hii ya sasa ambayo...
  15. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kumbe Zanzibar ina Katiba yao, Msikilize Hussein Mwinyi

  16. Voltaire

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa lilitokea Oktoba 2025 naamini hata CCM wamepata madhara kwa katiba kumpa Rais mamlaka yaliyopitiliza

    Short and clear, madaraka ya rais kikatiba yanapaswa kuangaliwa vizuri mnooo...yaliyotokea ni mojawapo ya madhara hayo. Waliokuwa wanaona suala la katiba ni Agenda nyepesi naamini wameo a kilichotokea! Usimamizi ni kwenye rasilimali za Taifa je? Naamini tunaelekea kuipata katiba ya haki na...
  17. figganigga

    JamiiForums Tanzania 27January 2001, CCM iliekeza Majeshi kuua na kubaka watu Zanzibar waliotaka Katiba Mpya

    Swali kwa CCM, Mtaendelea kutumia Polisi watuue hadi lini? Watu wakilalamikia Uchaguzi tu muunatuma Polisi watubambikize kesi, wakidai katiba mpya tu risasi. Mtatuua hadi lini? Ni mauaji ya sisi kwa sisi yatafika kikomo? Mtu akishavvaa sare yya jeshi anajiona si Mtanzania. Anageuka kuua ndugu...
  18. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kwa muujibu wa katiba rais ni yule aliyechaguliwa kidemokrasia na wananchi haisemi kujiwahisha kujiapisha kuwa tayari wewe ni rais

    Kwa muujibu wa katiba rais ni yule aliyechaguliwa kidemokrasia na wananchi haisemi kujiwahisha kujiapisha kuwa tayari wewe unakuwa ni rais, haisemi kununua watu waku fanyie uchawa kuwa wewe unaweza kuwa rais kinyume cha kuchaguliwa na wananchi. Kitendo kilichofanyika ni kujitangaza kuwa ni rais...
  19. 888I

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya — Dawa ya Mifumo Inayosuasua?

    Baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025, mitaa mingi nchini imejawa na mijadala, midomo na mikono juu — wengine wakiita kilichotokea ni maandamano, wengine wakisema ni vurugu, na wachache wakiona ni kilio cha matumaini kilichopotea. Lakini tukitulia na kuangalia kiundani, pengine yote haya...
  20. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Damu Imenyesha Juu ya Katiba: Watanzania Wameuawa Kwa Kutumia Haki Zao

    Watanzania wanalia. Uchungu umefika kilele. Wale waliotoka majumbani kwao kwa amani, wakiwa na matumaini ya kutumia haki yao ya kikatiba ya kukusanyika na kutoa maoni, leo wametoweka katika kaburi la ukimya. Wameuawa kwa risasi, kwa mabavu, kwa amri za dola iliyopaswa kuwalinda. Ni aibu ya...
Back
Top Bottom