katiba mpya

  1. JamiiForums Tanzania HOJA Wajua Tanzania Haijawahi Kuwa na Katiba ya Wananchi?. Katiba Hii Iliyopo ni ya CCM!, Pongezi Katiba ya Samia, Ndio Katiba ya Kwanza ya Wananchi!.

    Wanabodi, Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, Utangulizi: Bandiko hili ni bandiko la manifestation ya Katiba mpya, japo hata mchakato wa Katiba mpya bado haujaanza, bandito linatoa pongezi kwa Katiba mpya ya Samia!, hii ni kufuatia kushindikana kwa mchakato wa Katiba mpya ya...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo katiba mpya: Lazima kuwe na Bunge la Senate kama Kenya na USA

    Mapendekezo katiba mpya: Lazima kuwe na Bunge la Senate kama Kenya na USA. Idadi ya wabunge ipunguzwe na iendane na idadi ya watu. Kila mkoa uwe na maseta wawili tu. Senate vilevile itasaidia kwa wale watakao laumu wana wabunge wachache.
  3. JamiiForums Tanzania Waraka kwa serikali na umma kuhusu mapendekezo ya katiba mpya

    Imetolewa: Dodoma, Tanzania 29 Januari 2026 Kumb. Na: Maoni/JMT/01 Ndugu Mheshimiwa, YAH: MAONI YA WANANCHI KUHUSU PENDEKEZO LA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Napenda kuchukua fursa hii kuwasilisha barua hii kwa heshima na uzito unaostahili, ikiwa ni sauti ya mwananchi na mchango...
  4. JamiiForums Tanzania Kudai katiba mpya ili uchaguzi uwe huru na haki ili taifa likae sawa ni kukosa hoja ? Mbowe bado kibaraka wa CCM

    Nimeona mitandaoni juu ya kauli hii ya Mbowe kuwa CHADEMA ya sasa chini Lissu haijengi hoja kama ilivyokuwa akina Mtei na Bob Makani. Hii sio kweli kabisa. Sasa Hivi Lissu na Heche ndio wanahoja za mashiko. Kwa katiba hii ya CCM ambayo hata mtu hajapigiwa kura anakuwa madarani utaingia ikulu...
  5. JamiiForums Tanzania Waungwana Wakiahidi, Wanatekeleza!, Rais Samia Aliahidi Kuanza Mchakato wa Katiba Mpya, Ndani ya Siku 100 za Kwanza, Je Atatekeleza?

    Wanabodi Hii ni makala yangu ya kufungulia mwaka kwenye gazeti la Leo la Mwananchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/kolamu/taamuli-huru-tathmini-yangu-kuhusu-hotuba-ya-rais-samia-kuaga-mwaka--5325972 Makala hii pia imetoka kwenye gazeti la Nipashe Asante Rais Samia Hotuba Mwaka Mpya, Kubwa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ACT- Wazalendo: Tusiingie kwenye uchaguzi tena bila Katiba mpya

    Viongozi wa chama cha ACT Wazalendo wanaendelea na ziara zao katika Mikoa ya Kusini ambapo jana Januari 7, 2026 Kiongozi wa Chama, Dorothy Semu, aliwasili katika Jimbo la Mtwara Mjini na kufanya kikao na uongozi wa jimbo hilo pamoja na waliokuwa wagombea wa udiwani katika uchaguzi mkuu...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya na tume huru ndio maridhiano ya kweli

    Je yakifanyika yale yale yaliofanya amani itoweke baada ya maridhiano, je maridhiano yatakuwa na maana? Maridhiano ni katiba mpya na tume huru ya uchaguzi sio sinema
  8. JamiiForums Tanzania Kwaheri 2025, Ulikuwa Mwaka wa Majanga!. Yaliyopita si Ndwele, Tugange Yajayo!. Karibu 2026, Uwe Mwaka wa Kheri!. Ni Mwaka wa Katiba Mpya!, Inakuja..!

    Wanabodi Hii ni makala yangu ya kufungia mwaka kwenye gazeti la Mwananchi la Leo ikiwa ni makala ya 52 kwa mwaka huu. Hii ni Makala yangu ya mwisho kwa mwaka huu wa 2025, ambapo Jumatano ya leo,ndio siku ya mwisho ya Mwaka huu wa 2025, usiku wa leo,ni mkesha wa mwaka mpya tunauaga mwaka huu wa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya isiweke masharti ya mgombea mwenza

    Tumepita wakati wa kulazimisha mgombea mweza kutoka upande wa bara au visiwani. Tuweke uhuru wa wagombea kuchagua mgombea mwenza bila ubaguzi wowote au kulazimishwa na sheria. Hakuna sababu yeyote tena ya msingi baada ya miaka 60 hatuhitaji upendeleo wowote tena tunahitaji watu makini bila...
  10. JamiiForums Tanzania Zimebakia siku ngapi kutimia 100 za Samia? Katiba mpya iko wapi?

    Mimi sifi Leo Sina kumbukizi umebakiza siku ngapi ufikishe 100 days at state house? JE, katiba mpya i-wapi mama? Je umefanya nini ndani ya siku 100? Jitokeze ubonge nasi wajuba
  11. L

    JamiiForums Tanzania Suala la Katiba mpya lisicheleweshwe

    kwa mazingira ya kisiasa ya sasa suala la katiba mpya ni suala la kiusalama serikali ipambane kuifumua iliyopo ili kujenga mazingira mapya ya kisiasa na kuridhiana. chonde chonde mchakato wa Katiba mpya uanze immediately kwa kuuutungia sheria kwa vile Bunge lipo.
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 (KUMBUKIZI) Jenista Mhagama: Katiba mpya na Tume ya Uchaguzi, Kutokutenda Haki sio maeneo ya kipaumbele kwa Watanzania

    Ukiona mtu anadharau, anashusha na kudogosha umuhimu wa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, ni mwana mtandao! si sehemu ya kilio cha wananchi.
  13. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CCM watakaa na watu wa kundi gani kufanya maridhiano na kuandika hata katiba mpya ya mchongo?

    Nauliiza hivi kwasababu naamini: 1. CHADEMA watakataa kushiriki 2. ACT nao hawatakubali kushiriki 3. CUF hawatakubali kushiriki 4.TEC hawatakubali kupeleka mwakilishi/wawakilishi 5. Kanisa la Uzima na ufunuo hawatakubali kupeleka mwakikishi/wawakilishi 6. Shura ya Maimamu hawatakubali kupeleka...
  14. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia, hukuna ushirikiano atakaoupata kuandika Katiba mpya, kuleta maridhiano na hata Tume aliyoiunda itasusiwa na wananchi wengi

    Huo ndio ukweli mchungu. Mambo hayo yanaweza kupatikana ai kufanikiwa tu wakati Samia na watuhumiwa wenzake wakiwa wanajitetea ICC au teyari ni wafungwa katika magereza mbalimbali duniani na si vinginenyo.
  15. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya Tanzania: Mchakato wa kumpata mgombea mwenza uwe sawa na wa Rais

    Kitendo cha mgombea urais kuchagua mgombea mwenza (finger picking) kinaleta Makamu wa Rais dhaifu, ambaye Rais anapofariki makamu anapokuja anapwaya na kushindwa kuendeleza dira ya taifa. Katiba Mpya ya Tanzania inapaswa kuweka mchakato wa kumtafuta Mgombea Mwenza sawa na ule wa kumtafuta...
  16. JamiiForums Tanzania Samia hawezi kutupatia katiba Mpya hata iweje.

    Ukiona watu wanagoma hizi hadaa uwaelewe sana. Machawa wanasema mama yao kasema ataanza mchakato wa katiba mpya kwahio tusimubughuzi. Hivi watanzania Mnahisi hawaelewi maana ya neno MCHAKATO? kwa kiingereza si ina maana ya PROCESS. Sasa process si ina maanisha stages nyingi? Huyu mama...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania ichague kusambaratika kwa ajili ya CCM, Vita vya Udini na Ugaidi, au ikubali katiba mpya na Tume ya Uchaguzi ili ipone

    Hiki ndiyo ninachokiona mimi,tukubali kuikumbatia CCM ambayo inafanya kila aina ya hila ili iendelee kubaki madarakani huku watu wachache wakinufaika na rasilimali za inchi kwa mgongo wa Amani, au tukubali kuingiza nchi kwenye machafuko yanayokuja mbele yetu kuanzia Udini,Utanganyika na...
  18. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ado Shaibu: Sitolala mpaka Tanzania ipate Katiba mpya

    Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amesema kukosekana kwa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kumeendelea kuwa chanzo cha wananchi wengi “kulia machozi ndani ya mioyo yao,” akiahidi kupigania mabadiliko hayo ndani ya Bunge bila kuchoka. Ado alitoa...
  19. JamiiForums Tanzania Mungu mwenye Nguvu awe nanyi mwezi huu mpya

    Hamjambo! 1. Mwezi huu uwe mwezi wenye Baraka na Neema ya Mungu naam yule MUNGU Mwenye Nguvu nyingi aliyetuumba wote. 2. Mwezi huu Mungu atuepushe na Mabaya na kushindwa na adui zetu. 3. Wokovu wa Mungu uwe upande wetu. Naye atatupa Wokovu mkuu na ushindi kwa namna isiyoelezeka. 4. Adui zetu...
  20. JamiiForums Tanzania Nani amemshikia Mawe MWIGURU mchemba?Samia alisema atatupa katiba mpya, MWIGURU kwanza ngiriba, utaliangamiza taifa

    Nipo mkoani Arusha aliko Mh MWIGURU mchemba waziri mkuu kutoka chama Cha ccm. Leo akiwa mkoani Arusha ameendeleza kauli zake ambazo ZINAZIDI kulitia taifa letu MATATIZO na ENDAPO hatojisafisha kwa kauli zake atalitia taifa katika mkanganyiko mkubwa. Leo amekuja na kauli tata sana yakuwa wanao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…