katiba mpya

  1. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Tulipo, Uzoefu Utumike - Katiba Ipo

    Inajulikana kuwa katiba mpya inahitajika na wengi. Wapongezwe Chadema kwa kuchukua jukumu la kuanzisha na kuratibu msukumo wa kurejelewa kwa mchakato huu muhimu wa kupatikana kwake. Hatua hii isiyokuwa na chembe ya ubinafsi iliyojaa dalili zote za hatari, ni ya kupongezwa sana na kila mpenda...
  2. JamiiForums Tanzania Malisa GJ: Umuhimu wa Katiba Mpya

    Muda wangu wa kuchangia nimeutumia kujibu maswali matano yanayoulizwa na wengi huko mtaani kuhusu Katiba (5 common questions). 1. Kwanini mchakato huu umeandaliwa na BAVICHA? Mnapigania Katiba ya nchi au ya Chadema? #Jibu: Mchakato wowote wa katiba ni wa kisheria na kisiasa. Katiba ni jambo...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Katiba Mpya, CHADEMA sio pekee wenye wananchi

    Kwa namna Mambo yanavyoenda, viongozi wa CHADEMA wanazidi kukosa njia sahihi za kushughulika na maswala badala yake wanaendelea kuzidisha uanaharakati hata pale harakati zisipohitajika Kwa watu makini wanafahamu kabisa jambo bora hutokana na fikra tulivu zisizo na purukushani wala marumbano...
  4. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya haipo kwenye Ilani wala ahadi za CCM, Tusimsumbue na tusimuwekee Rais Samia maneno mdomoni

    Lipo wimbi la waliokosa hoja za maendeleo kutaka kutuyumbisha. Rais Samia atapimwa kwa utekelezaji wa Ilani ya CCM tu kwani huo ndio mkataba rasmi na wananchi kati yao na Serikali iliyopo. Katiba mpya haipo kwenye Ilani ya CCM na mgombea (Hayati Magufuli ) na mwenza wake (incumbet president)...
  5. JamiiForums Tanzania Sekeseke la Katiba Mpya ilikuwa ni ajenda ya CHADEMA?

    Wasalaam Wakuu!. Leo CHADEMA walikuwa na jambo lao waliloliita KATIBA DAY ambapo viongozi wao wakuu wa Chama pamoja na wanachama wao mashuhuri walihudhuria katika kongamano hilo. Suala la Katiba mpya ni lenye umuhimu kwa maslahi mapana ya taifa letu.. Lakini, tujitafakari! Hii ilikuwa agenda...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Katiba Mpya: Hoja ya Rais Samia haina mashiko

    Rais Samia anasema eti suala la kipaumbele kwake ni uchumi kwanza halafu mambo ya katiba mpya ni ya baadae huko mbeleni. Ningependa kumkumbusha Rais Samia kuwa, hoja ya Katiba Mpya ni hoja nyeti, ni suala muhimu sana na haliwezi kuwa option ya pili katika mambo yanayopaswa kufanyika nchini kwa...
  7. JamiiForums Tanzania HURUMA: Mdude Nyagali awatoa machozi wajumbe wa Kongamano la Katiba Mpya

    Mfungwa wa Kisiasa aliyeishinda Serikali ya Tanzania Mahakamani , baada ya kupangua mashitaka ya uongo yaliyotungwa na RPC wa Mbeya Ulrich Matei na washirika wake ya kusafirisha na kusambaza Madawa ya kulevya , leo amehudhuria Kongamano muhimu la Katiba (Katiba day) ambapo wameonekana watu...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Ukweli Usiosemeka

    Mazingira yanaoizunguka katiba mpya ni muhimu yakajulikana yote wazi wazi. Inafahamika kuwa CCM walio wanufaika wa katiba iliyopo, hawana sababu yoyote ya kujitia kitanzini kwa kuridhia ujio wa katiba mpya kirahisi. Kutokupatikana kwa katiba mpya kutaifanya CCM kuwa imefanikiwa katika...
  9. JamiiForums Tanzania Mbowe: Hatutakubali Bunge lililopo litengeneze Katiba Mpya

    Mwenyekiti wa kudumu wa CHADEMA amemuonya Rais Samia kuwa asikubali kuliruhusu bunge lililopo sasa hivi lianze mchakato wa katiba mpya. Mbowe amesema Rais akiruhusu hilo wao kama chama cha upinzani nchini hawatakubali kamwe. "Kwanza tuna amani mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa ni haki ya...
  10. JamiiForums Tanzania Kudai katiba mpya sasa hivi ni sawa na kuchenji buku kwa njaa ya usiku mmoja wakati haujui kesho yako itakuwaje?

    Habari wanabodi! Nilikuwa nashauri kwamba kwa sasa tumpe nafasi mama akuze uchumi maana uchumi wetu kiukweli ulipo si pazuri ukilinganisha na huko nyuma tulipotoka kabla ya hili janga la uviko. Taifa kama taifa linapitia katika kipindi kigumu sana, na hii katiba tunayolilia ni kama njaa ya...
  11. JamiiForums Tanzania Jinsi viongozi wanavyotupiana katiba mpya kama kaa la moto

    Katiba mpya ni kama kaa la moto, haishikiki kila Rais aliyepita anamrushia mwenzake, nani atakubali kuleta katiba mpya ?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Katika kudai Katiba Mpya, tuwe na Katiba Day kila mwaka na iwe ile tarehe ambayo Mzee Warioba aliwasilisha maoni ya Wananchi juu ya Katiba Mpya

    Habari Wakuu, Katika harakati za kudai Katiba Mpya kutoka kwa watawala, napendekeza moja ya mkakati ni tuwe na siku maalumu ya kitaifa kila mwaka ambapo tutaitumia siku hiyo kutoa elimu kwa umma juu umuhimu wa Katiba Mpya na kuhamasisha madai ya kutaka Katiba Mpya. Siku hiyo ikifika kila...
  13. JamiiForums Tanzania Ney wa Mitego awa Msanii wa kwanza wa Tanzania kuuona umuhimu wa Katiba mpya, atoa angalizo

  14. JamiiForums Tanzania Kibonzo: Baada ya siku 100, mama hataki kubalisha Tairi (katiba mpya) anasubiri tufike kwanza

  15. JamiiForums Tanzania Ni nani aliyeharibu Mchakato wa Katiba Mpya? Tuanzie hapo

    Mnakuja msumbua mama bure. Mchakato wa Katiba ilikuaje ukasitishwa? Ni nani alifanya uharibifu ule wa pesa? Je Rais aliyepo Madarakani alihusikaje katika mchakato wa Katiba? Mnataka mchakato uendelee kuanzia wapi? Kama kuna aliyeharibu mchakato achukuliwe hatua gani? Vipi Raisi aliyeko...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Urais wa Samia; Tumkunje angali mbichi

    Vipo viashiria kwa mbali vinaonyesha kuwa rais Samia ameanza kukizoea kiti (Hili ni jambo zuri), na pia ameanza kukipenda kiti (hili siyo jambo baya) ila ameanza kutamani kukilinda kiti kwa gharama yoyote (hili ni tatizo) Tatizo ninaloliona ni kuwa hii dhana ya ya tatu ya kutamani kukilinda...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mama yupo sana sio wakati mzuri wa katiba mpya

    Mimi ni mdau ambaye natamani katiba mpya lakini sio wakati wake. Kwenye janga la Corona na baada ya kimpoteza Raisi huwezi kudakia katiba mpya maana watu watakuwa wanajadili wakiwa na matatizo mengi sana mengine vichwani. Ushauri wangu ni kwamba vitu ambavyo wanaweza kufanya bila katiba mpya...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Nasikitika kusema kwamba, Katiba Mpya tunayoitafuta kwa nguvu nyingi haiwezi kutusaidia

    Ndiyo na ni ukweli kabisa, Katiba tunayojaribu kuitafuta kwa jasho jingi na Energy nyingi, nasikitika kusema, haitatusaidia popote kama nchi. Kama kuna mtu anapingana na mimi, Embu atusaidie kujibu maswali haya Ni kweli tumekuwa na katiba isiyokidhi matakwa yetu hususani katika mizania ya...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya kudai katiba mpya Eswatini yadaiwa kumfanya Mfalme Mswati III kukimbia nchi

    Kutokana na vurugu zinazoendelea huko Eswatini baada ya wananchi kuchoka umaskini na udikteta wa mfalme Mswati aliye busy kuponda raha na vidosho inasemekana jamaa kaamua kukimbia nchi. King Mswati III of Eswatini. Image: Reuters Thousands of...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Rais Samia suala la Mikutano ya Kisiasa ni la Kisheria. Huwezi kuomba na kujipa mwenyewe ulichoomba, bila kukubaliwa na wale uliowaomba

    Kumbe Rais Samia alikuwa na mkutano na kundi fulani la watu! Sikufuatilia aliongea nini, kwa sababu huwa napata taabu sana kufuatilia mikutano ya Wanasiasa iwe wa chama tawala au upinzani. Hata hivyo, kupitia mijadala mbalimbali nikagundua nikakutana na hoja za SSH "hataki" mikutano ya vyama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…