katiba mpya

  1. JamiiForums Tanzania Ni mambo gani ungependa yazingatiwe katika Katiba Mpya?

    Ni reforms zipi au mambo ungependa katika mpya izingatie? ✅️ Mamlaka ya Riasi yapunguzwe na Uhuru wa mihimili yote ✅️ Zuio la mwenyekiti wa chama tawala kua Raisi wa Nchi ✅️ Ardhi ya Tanzania iwe mali ya wananchi, si Raisi, kasoro mali asili Serikali imiliki 70% ya ardhi huru na kuwapa...
  2. JamiiForums Tanzania Tunatamani kupigania katiba mpya; Tatizo tunaogopa kesi za uhaini, ugaidi na uchochezi!

    Hakuna ubishi, wito wa Mh. Makamu wa Rais, Balozi, Dr. Emmanuel Nchimbi, wa kuwahimiza watanzania kupigania katiba mpya, umepata mwitikio na hamasa kubwa kutoka kwa watanzania wote. Kwa kuzingatia maoni mbalimbali yaliyotolewa, ni wazi kuwa tupo tunaomuona Dr. Nchimbi kama kiongozi wa mfano...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Je kiitendo cha Dk. Emmanuel Nchimbi kuwaambia Watanzania wajipambanie wenyewe katiba mpya wakati yeye ndiye alipaswa kuweka mchakato huo ni U-Yuda?

    Nafikiri kitendo cha Makamu wa rais Dk. Emmanuel Nchimbi kuwaambia Watanzania wapambanie katiba mpya wakati yeye ndiye aliyepo kwenye nafasi ya kuwezesha mchakato huo lakini hata hivyo hajafanya hayo ni saliti mkubwa kwa Watanzania.
  4. JamiiForums Tanzania Kawaida amjibu Dkt. Nchimbi ''Uimara wa chama hauko katika uwezo wa kiongozi mmoja kujijengea taswira mbele ya umma''

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana wa CCM (UVCCM), Mohamed Kawaida, amechapisha ujumbe kwenye mitandao yake ya kijamii kwa kile kinachoonekana kujibu mapigo ya kauli ya Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi kuhusu kuwataka wananchi kuipigania katiba mpya. Ameambatanisha video ya aliyekuwa Mwenyekiti wa...
  5. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Tuna Bunge lisilopendwa na wananchi kutokana na yale yaliyotokea. Je, Bunge lisilopendwa linaweza kutupatia Katiba Mpya?

    Askofu Dk. Benson Bagonza wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Karagwe, akizungumza na Sauti Digital Ijumaa Julai 24, 2026 amehoji kuhusu kauli ya Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi kuhusu kuipigania KATIBA MPYA amehoji haya kuhusu KATIBA MPYA... Pia soma Dkt. Nchimbi: Hakuna sheria...
  6. JamiiForums Tanzania Dkt. Bagonza: Kama Rais anaitaka Katiba Mpya, kwanini tuipiganie?

    Askofu Dr. Benson Bagonza wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Karagwe, akizungumza na Sauti Digital Ijumaa Julai 24, 2026 amehoji kuhusu kauli ya Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi kuhusu kuipigania KATIBA MPYA Pia soma Dkt. Nchimbi: Hakuna sheria inayotengua Katiba. Watanzania...
  7. JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: "Pambaneni Mpate Katiba Mpya ya Mwafaka Itakayodumu Miaka 50" | Rasimu Kamili Ipo www.katibampya.com

    Katika Mkutano Mkuu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) uliofanyika jijini Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ametoa kauli nzito kuhusu Katiba Mpya. Alisema ikiwa angepewa nafasi ya kutoa ujumbe mmoja wa mwisho kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: "Hakuna Sheria Inayotengua Katiba, Watanzania Pambaneni Mpate Katiba Mpya!" | Rasimu Kamili Ipo www.katibampya.com

    Leo nimeona jambo muhimu sana kutoka kwa Makamu wa Rais wetu, Dkt. Emmanuel Nchimbi, aliyezungumza mbele ya umma tarehe Julai 23, 2026. Nimeamua kuandika thread hii ili kuwafahamisha wote kuhusu ujumbe wake na pia kuwaelekeza mahali pa kupata taarifa zaidi. Katika hotuba yake, Dkt. Nchimbi...
  9. JamiiForums Tanzania SI KWELI Jakaya Kikwete amesema ,usitegemee katiba mpya sasa hivi, watanzania tujikite katika kujenga nchi yetu"?

    Kumekuwepo na graphic inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikidai kuwa Rais wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, alisema:"Usitegemee katiba mpya sasa hivi. Watanzania tunatakiwa tujikite katika kujenga nchi yetu." Katika ufuatiliaji uliofanywa kwa kutumia...
  10. JamiiForums Tanzania MNEC Maganya amjibu Nchimbi, Ni nani aliyezuia Katiba mpya? Ni nani amesema hakutakuwa na Katiba Mpya?

    Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi ya CCM na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC), Rajabu Maganya, amesema mchakato wa Katiba Mpya ni sehemu ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2030. Maganya amesema mchakato huo hauwezi kukamilika ndani ya mwaka mmoja, lakini ameeleza kushangazwa...
  11. JamiiForums Tanzania Yuda anapoitamani katiba mpya

    Yuda ni yuda haijalishi kama ni yuda wa wakati uleee wa Yesu au wa wakati huu Mama ndio kila kitu. Barabara ikijengwa ni Mama. Matundu ya vyoo yakijengwa ni Mama. Hospital ikijengwa ni Mama. Hela zote ni Mama. Sasa huyu Yuda wa Peramiho katokea wapi,anataka kuzika fahari ya Mama. Deni la taifa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wanapotaka watanzania wapambanie katiba mpya, wanatakiwa kupambana na nani?

    Japokuwa kauli ya Makamu wa Rais baadhi ya watanzania hasa wanaharakati wanaiona kama ni kauli ya kishujaa na kuwahamasisha wananchi wanaodai katiba mpya kutokata tamaa Hata hivyo ni kauli yenye mashaka na inayotakiwa kuchambuliwa kwa ubongo wa ndani Kuna maswali kadhaa ya kujiuliza hapa; 1...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Napingana na Nchimbi - kupata Katiba Mpya haipaswi kuwa utashi wa rais aliyepo madarakani wala chama chake, bali inapaswa kuwa utashi wa wananchi

    Dr. Nchimbi nimemuelewa sana katika ujumbe wake kwamba Watanzania tunapaswa tupiganie katiba mpya. Nakubaliana naye 100%. Amesema pia moja ya jambo muhimu sana ili kupata katiba mpya, ni utashi wa raisi aliepo madarakani kutaka katiba mpya. Sikubaliani naye 100%. Katiba ni ya wananchi, na...
  14. JamiiForums Tanzania PHD Nchimbi anadai KATIBA Mpya, Vilaza akina Ridhiwani, Mwigulu, Abdul, wanasema Achaneni na KATIBA Mpya

    Mwigulu, na Magenge yenu yote, nyinyi fahamu ya kua JINAI HAIFI. Kama sio kuwaadhibu Nyinyi, Tutaadhibu Vizazi VYENU , Vizazi VYENU na vyenyewe vitalazimika Kuaanza Upya !!.
  15. JamiiForums Tanzania Nashauri mchakato wa katiba mpya uanze 2030s kwasasa tujenge kwanza uchumi wetu otherwise ni kuchezea hela

    Kuna watu wakishaona Tanzania imeanza kujijenga kiuchumi basi nao wanaanzisha program za kula ili mradi watu wasipate ajira, MIRADI ya maendeleo isiwepo, watumishi wasiongezewe mishahara, ili wapate hoja ya kulalamikia. Nadhani kwa mtu anayejua athari za wale panyaroad wa chadema hawezi...
  16. JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi ahimiza Watanzania tupambanie Katiba Mpya. Ni yeye au AI?

    Siongezi mengi sana ila Wacha nisikilize mawazo yenu watanzania. Soma Dkt. Nchimbi: Hakuna sheria inayotengua Katiba. Watanzania pambaneni kupata Katiba mpya
  17. JamiiForums Tanzania Watanganyika tuwe Makini: Kauli ya Nchimbi inayotututaka Wananchi kupigania katiba mpya inafikirisha sana

    Kauli ya Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, kwamba Watanzania tunapaswa kupambana kupata Katiba Mpya ni kauli kubwa na yenye uzito mkubwa kisiasa. Soma Dkt. Nchimbi: Hakuna sheria inayotengua Katiba. Watanzania pambaneni kupata Katiba mpya Kwa muda mrefu, madai ya Katiba Mpya yamekuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: Rais Samia antaka Katiba Mpya

    NCHIMBI
  19. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: Hakuna sheria inayotengua Katiba. Watanzania pambaneni kupata Katiba mpya

    Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, akizungumza leo Julai 23, 2026 katika Mkutano wa Wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unaofanyika Jijini Dar es Salaam, amesisitiza Watanzania kupambana kupata Katiba Mpya na kwamba taifa linahitaji Katiba yenye mwafaka na...
  20. JamiiForums Tanzania Tume ya Jaji Chande Imependekeza Katiba Mpya Ifikapo 2028. Swali Ni Moja: Maandiko ya Nani Yatakuwa Mezani?

    Ripoti ya Tume ya Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman iliyowasilishwa kwa Rais tarehe 23 Aprili 2026 imependekeza Katiba Mpya ipatikane ifikapo 2028, itumike katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2029 na Uchaguzi Mkuu 2030. Wengi tumeishia kwenye tarehe. Mimi nimesimama kwenye kifungu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…