katiba mpya

  1. JamiiForums Tanzania Tunisia: Mkuu wa Kamati ya Mapendekezo ya Katiba Mpya alaani Rasimu iliyochapishwa na Rais Kais Saed

    Sadok Belaid, Mtaalamu wa Katiba na Sheria na aliyekuwa Msimamizi wa Uundwaji wa Katiba mpya nchini humo amesema waraka wa mwisho wa Rasimu ya Katiba uliochapishwa na Kais Saied wiki iliyopita ni hatari Amesema kuwa baadhi ya vifungu vinaweza kufungua njia kwa utawala wa kidikteta na rasimu ya...
  2. JamiiForums Tanzania Jamaa anasa dis train ya Katiba Mpya kwa mbele ya behewa

  3. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wameshatolewa kwenye reli, Vita ya ufisadi na Katiba Mpya siyo sera zao tena

    CCM wanajua siasa na kimsingi ndio chama pekee cha siasa nchini. Jiulize baada ya CCM kuzitekanyara sera za Chadema ile Vita ya mafisadi iliyoasisiwa na Dr Slaa ft Tundu Lissu pale Mwembe Yanga na hii ya Katiba mpya sasa Ufipa wamebki na nini? Mambo ya Katiba mpya sass CCM imeyabariki na...
  4. J

    JamiiForums Tanzania CCM wanawacheza mchezo gani haswa? Maana hata iweje hawana nia na Katiba Mpya kabisa

    Wakuu jana CCM wametoa press na kusema kuna haja ya kufufua mchakato wa Katiba mpya Katiba mpya ambayo imekuwa kilio cha muda mrefu cha wapinzani na wataka mabadiliko nchini, inatarajiwa kukuza demokrasia, kuleta uwajibikaji, ugatuaji wa madaraka na ufanisi wa kuendesha serikali Sasa CCM ambao...
  5. JamiiForums Tanzania CCM Kukubali Mjadala Katiba Mpya, Tumpongeze Rais Samia

    Wakati fulani mwaka 2018, aliyekuwa rais wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akizungumza katika kongamano la kujadili hali ya siasa na uchumi alisema "SERIKALI YAKE HAINA MPANGO WA KUANZISHA UPYA MCHAKATO WA MAGEUZI YA KIKATIBA KWA SABABU KUNA MASUALA MENGINE YENYE KIPAUMBELEKWA SERIKALI"...
  6. JamiiForums Tanzania Awamu ya tano ni chachu ya uharaka wa Katiba Mpya

    Hakuna mtanzania mpenda haki anayetamani kuona katiba hiihii tuliyonayo inakutwa na kutumiwa na kiongozi anaefanana hata kwa nusu tu na yule kiongozi wa awamu ya tano (RIP). Awamu ile ni sawa na kusema kuwa nchi ilikuwa imetekwa na watu kutoka sayari nyingine. Ni katiba ambayo kila mtu...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Wabunge 19 ni sawa na watumishi hewa kwa kuwa hawatambuliki kokote

    Ndugu zangu watanzania, Salaam Mimi nawauliza tuu wavuja jasho wa nchi hii tunaonyonywa sana na kitu inaitwa CCM! Ikiwa kina Mdee na wafuasi wake hawatambuliki popote pale kisheria na hata kikanuni zozote zile za wao kuwepo Bungeni mpaka sasa...! Kwa maana nyingine, kodi yangu Mimi...
  8. JamiiForums Tanzania Rasimu ya Warioba ipo tayari, tupate Katiba Mpya ndani ya mwaka huu tuwakatae wabunge vibogoyo na bunge lao lisilofaa

    Kama CCM wenyewe wamekubali kuwa sasa hivi katiba ni hitaji la kitaifa na huu ndio wakati muafaka basi sasa ndio wakati wa kuweka mambo sawa. Tuna bunge kibogoyo linalotafuna pesa za walipa kodi na huku wananchi wakiwa na maisha magumu. Hatusikii bunge likifanya kazi yake kama bunge ya...
  9. JamiiForums Tanzania Pamoja na suala la Katiba Mpya, Halmashauri ya CCM ilipaswa kujadili hujuma dhidi ya mradi wa JNHP, bei za mbolea na mafuta ili waliohusika wakamatwe

    Ninashangaa sana kusikia eti katiba mpya imekuwa ina umuhimu sasa hivi wakati kuna kikosi kazi kilisema mpaka mama akishinda uchaguzi wa 2025 ndio mchakato uanze. Sio mbaya maana sasa ni hitaji la kitaifa na mchakato uanze mapema, lakini kwa nini CCM wabadili gea? Mbona masuala ya msingi kama...
  10. JamiiForums Tanzania Mwinyi alileta upinzani uliofutwa, Samia anaenda kuileta katiba mpya, Kwa hili inabidi niweke hisia zangu pembeni kwa wazanzibari

    Yes, mimi kiukweli ni mmoja wa watu ambae huu muungano sijawahi kuupenda hata kidogo hasa pale ninapoona uongozi wa bara tunachangiana na wazanzibar lakini huko kwao ni wao wenyewe wanajiongoza, huwa inaniuma mno. Ila kuna kitu nimetafakari hapa juu ya mchango wa hawa wenzetu wanaposhika...
  11. JamiiForums Tanzania CCM yaridhia Katiba Mpya, kwamba ni takwa la Wananchi, je itaafikiwa na Wananchi?

    Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekubaliana na umuhimu wa kupatikana katiba mpya kwa kuzingatia mazingira ya sasa hivyo kimeishauri Serikali kuona namna bora ya kufufua, kukwamua na kukamilisha mchakato wake kwa maslahi mapana ya Taifa na Watanzania wote. ==== 1...
  12. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mikutano ya CCM: Maridhiano ya kitaifa, Mchakato wa Katiba Mpya, Uteuzi, Pongezi kwa Rais Samia na Mwinyi

    Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Jumatano 22 Juni 2022 Makao Makuu ya CCM katika Ukumbi wa White House Jijini Dodoma kimetoka na maazimio yafuatayo kwa masilahi ya taifa. 1...
  13. JamiiForums Tanzania Kelele za mchakato wa Katiba mpya kuanza na spidi ya ufisadi ikitamalaki kabla ya upatikanaji wake!

    Watanzania! Poleni KWA tozo,ugumu wa maisha na kizungumkuti cha kodi ya kichwa ijayo! Mungu atupe uvumilivu katika mateso tunayopewa na Watoto tuliowazaa sisi wenyewe! Wakati kelele za mchakato wa Katiba mpya zikipigwa hadi kikosi kazi feki kikaitishwa Ili ku spin mchakato usianze mapema na...
  14. JamiiForums Tanzania Katiba mpya kizingiti cha uonevu na ufisadi, ipatikane kabla ya 2025 kuliokoa taifa letu. Itazuia kila uovu, uonevu na ufisadi unaotamalaki sasa hivi

    Bila kuwa na katiba yenye meno haya yanayotokea huko Loliondo yatakuwa kama jambo la kawaida. Kutafuna pesa za walipa kodi kwa safari za viongozi zisizo na tija au manufaaa kwa umma zitakuwa ni jambo la kawaida. Wananchi kutozwa tozo za ajabu ajabu na zenye uonevu mkubwa itakuwa ni jambo la...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tupate Katiba Mpya haraka ili tumfute kazi Rais Samia na Bunge kibogoyo la CCM

    Bila Katiba Mpya dalili zinaonyesha tunakwenda kuumia kabisa. Tunakwenda kuuzwa kama manyumbu. Mradi wa LNG lindi hauta tufaidisha hata kidogo bali utafaidisha Samia na genge lake la CCM ya wajanja. Tupate katiba mpya ambayo itatupa wananchi nguvu ya kumkataa. Nguvu ya kuvunja bunge kibogoyo...
  16. JamiiForums Tanzania Ongezea, kumbukizi kuhusu katiba mpya

    Wamesema wengi kuhusu ongezeko la UJINGA uliokithiri miongoni ndani ya jamii yetu, Tanzania. Sijui ni vipimo gani vimehusishwa na hilo. Ila tunao usemi ule kwamba lisemwalo na wengi laweza kua kweli, hata kitakwimu hii inakubalika ... yale ya normal distribution kuhusu data za collective...
  17. JamiiForums Tanzania Uzi wa wanaopinga Katiba Mpya

    Wale wanaopinga katiba mpya huwa wana hoja hizi; 1. Katiba Mpya ni gharama kubwa sana. Tufafanulienei ni gharama kiasi gani? 2. Katiba mpya haitaleta pesa mfukoni au chakula mezani. Katiba ya sasa inafanya haya mambo? 3. Katiba mpya ni ya wanasiasa wanaotaka kuingia Ikulu. Hii katiba ya sasa...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanajua kutengeneza ajenda, Katiba Mpya imekuwa ajenda kuu ya Taifa

    Baada ya uchaguzi mkuu uliovurugwa, think tank ya Chadema iliona njia nzuri ya kulazimisha hayo yasitokee tena ni kuanzisha vuguvugu la kudai katiba mpya. Leo kila chama ajenda kuu ni katiba mpya. Kwa hali ilivyokuwa miaka 5 iliyopita nani alijua leo rais atahudhuria sherehe ya ‘Sugu’, nani...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Mbowe havai T-Shirts za Katiba Mpya?

    Wanaukumbi. Vijana wa Ufipa jiulizeni mbona mwenyekiti wenu hajavaa T-Shirt za Katiba Mpya? Hapo angefikisha Ujumbe vizuri kwa Mlengwa? Anakenua tu… Juzi nilishangaa sana kuona vijana wa Bavicha wanalazimisha kuingia uwanjani na T-Shirts zao za Katiba Mpya hawafahamu kama Fifa wa wamepiga...
  20. Z

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali isituwekee link au mfumo wa kimtandao ili wananchi watoe maoni yao kuhusu Katiba Mpya

    Kwa sasa technologia imesonga mbele sana.kwa nini tusiwe na link au mfumo wa mtandao ili wananchi watoe maoni yao kuhusu katiba mpya?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…