katiba mpya

  1. B

    JamiiForums Tanzania Wasiokuwa tayari kuipigania katiba mpya waufyate

    Tuwe wawazi, tena kIroho safi tu. Kupigania haki dhidi ya serikali za kiafrika si kazi ndogo: Mtanzania gani mwenye kuwa na uhalali (moral authority) wa kumbeza Odinga kwenye harakati za huko kwao? Nisiwachoshe, tusichoshane. "Katiba mpya tunayoitaka ya kupewa mezani haipo. Asiyekuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Victor Kweka: Bajeti ya Mwaka Huu Haina Fungu la Mchakato wa Katiba Mpya

    HOTUBA YA WAZIRI KIVULI WA KATIBA NA SHERIA-ACT WAZALENDO NDG. VICTOR KWEKA KUHUSU MPANGO WA BAJETI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/24. Utangulizi. Jana tarehe 25 April 2023 Wizara ya katiba na sheria iliwasilisha hotuba ya bajeti kwa mwaka wa fedha 2022/23. Bunge...
  3. JamiiForums Tanzania Tusirudie tena Makosa Kwenye mchakato wa Katiba Mpya

    Waziri wa katiba na sheria ameshatangaza rasmi kwamba mchakato wa katiba mpya utaanza mwezi wa Saba mwanzoni. Nilikuwa na ushauri kwamba makosa yaliyopelekea mchakato wa katiba mpya mwaka 2014 kukwama yasijirudie. Nimeanisha makosa Kama yafuatayo: 1. Tume ya katiba ndio ipewe mamlaka ya...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa kauli ya Waziri wa Sheria na Katiba, CHADEMA acheni maridhiano hakuna Katiba Mpya

    Wadau nimeshanganzwa sana na kauli ya Waziri mwenye dhamana ya sheria na katiba. Nilitarajia waziri huyu angekuwa bega kwa bega na wananchi wanaotaka katiba mpya kwani ni haki yao, kauli hii ya Waziri ni kauli ya Serikali na kama ni ya Serikali basi hata Rais anahusika. Nipende kuchukua nafasi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndumbaro acha kupotosha umma, Tunataka Katiba Mpya iwe na uwezo wa kutatua changamoto zetu. Ikiwezekana kumshtaki Rais na Mawaziri

    Huko Usa haki zikivunjwa unaenda mahakamani na mahakama ipo hutu
  6. JamiiForums Tanzania Kipi muhimu kati ya Lugha au Katiba Mpya?

    Habari wakuu, hamjambo? Kipekee ningependa kuchukua wasaa huu kuwatakia waamini wa dining ya Kiislamu na madheebu yake yote kwa ujumla heri ya sikukuu na kuwakaribisha kuendelea na maisha ya Kila siku katika jamiii. Nimetatizwa na jambo nikaona sio vibaya kama nitapata ufafanuzi kiasi. Hivi...
  7. JamiiForums Tanzania Je, Katiba mpya ni mhimu kwa sasa?

    Habari zenu wanaharakati.. Nimekubali kuwa mjinga ili nielewe umhimu wa kuwa na katiba mpya. Najieleza, katiba ni muhimu kwa nchi yeyote kwani ndiyo inayotoa mwongozo katika utungaji wa sheria na kanuni, na ni mwongozo katika utekelezaji wa miradi ya kimaendeleo hasa taifa la tanzania. Hoja...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya tutumie ile ya Warioba badala ya kuteketeza pesa

    Binafsi kama mpenda maendeleo. Mimi ningekuwa Mama ningependekeza katiba ya warioba iongezewe vitu vichache tu. Tutengeneze Mtandao ambao raia watatoa maoni yao kwa kuna AI sasa hivi tunazichakata hizo taarifa within a few days(wazee wa data science na python wapo mtaani kibao). Then inapelekwa...
  9. JamiiForums Tanzania Katiba mpya ni chachu ya mabadiliko tanzania?

    Natamani kujua kwa undani nini hasa kinawndelea juu ya katiba mpya maana kila kukicha tuko pale pale tunab8shana tu kwa kua tunajuana sana. Mimi nadhani katiba mpya itakua chachu pale tu chama husika kitakua na mabadiliko ya lweli ju ya wananchi wake
  10. T

    JamiiForums Tanzania Dira ya Taifa ya maendeleo ya 2025-2050 na Katiba mpya kama njia za kujenga upya( Rebuilding). Hakika Rais Samia anastahili pongezi kubwa

    Serikali ikiwa ipo katika mchakato wa matayarisho ya dira mpya ya Taifa ya maendeleo ya miaka 25 ijayo kuanzia 2025-2050 na hapo hapo kukiwa na mkakati wa kuendeleza mchakato wa katiba mpya, kwa hakika nauona mwanzo mpya chini ya Rais Samia. Rais Samia akiwa anaongozwa na falsafa za 4R zikiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia, ili kuondokana na huu uchafu, harakisha Katiba Mpya

    Katiba pendekezwa ya Warioba, ilisema kuwa mawaziri wasiwe wabunge ili Rais awe na uwanja mpana wa kuwapata wasaidizi kwenye nafasi za uwaziri. Siku za nyuma, wakati wa utawala wa Mwalimu Nyerere, kabla ya mabadiliko ya katiba, mawaziri hawakuwa wabunge. Leo katiba yetu hii mbovu inamlazimisha...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa sasa tunamuhitaji Rais Samia Suluhu kuliko Katiba Mpya

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania... Kwanza pongezi sana kwa kila anayetamani Katiba Mpya kwa sababu nia ya Rais Samia Suluhu kutekeleza nia yake inaonekana wazi. Kwenye Bunge lijalo la Bajeti, Wizara ya Katiba na Sheria inaenda kuomba pesa kwa ajili ya mchakato wa Katiba Mpya. Ni wazi 'Mama'...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Katiba Mpya Kenya, Polisi wapiga marufuku Maandamano. CHADEMA jifunzeni kitu Hapo!

    Tunavyoiendea Katiba Mpya tujifunze kwa wenzetu waliotangulia kuzipata ili ya kwetu iwe bora zaidi Mfano hapo Kenya pamoja na Katiba Mpya bado polisi wamezuia Maandamano ya kesho sasa Wana tofauti gani na Tanzania yenye Katiba ya zamani!! Mlale unono!
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ni kuandika Katiba Mpya au Kurekebisha Sheria za Chaguzi?

    Kuna ufafanuzi unaohitajika kwa wanaoyaelewa vizuri haya maswala ya Katiba na sheria. Ni matumaini yangu kwamba baada ya uchangiaji wa mada hii wengi wetu ambao hatuna ufahamu vizuri juu ya mambo yahusuyo kazi hii inayokusudiwa kuanza, sote tutakuwa tumepata uelewa wa kutosha, na haitakuwa tena...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali: Mchakato wa Katiba Mpya na maboresho ya Sheria ya vyama vya Siasa na Uchaguzi, sasa kuanza

    MCHAKATO WA KATIBA MPYA KUTENGEWA FUNGU KWENYE BAJETI YA 2023/ 2024 Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa mchakato wa Katiba Mpya pamoja na maboresho ya sheria ya vyama vya siasa na Uchaguzi unatarajiwa kuanza kufanyiwa kazi baada kupitishwa kwa makadirio ya mapato na...
  16. JamiiForums Tanzania Ndumbaro Adai Katiba Mpya ni hitaji la Watanzania kwa sasa

    Hii ndio Taarifa inayozunguka mitandaoni kwa sasa kutoka Dodoma , ambapo Waziri wa Sheria na Katiba Dr Damas Ndumbaro amewaambiwa Wafanyakazi wa Wizara yake na Waandishi wa Habari kwamba Katiba mpya haikwepeki , kwa vile ndio hitaji la Watanzania kwa sasa. Ameendelea kueleza kwamba mchakato wa...
  17. JamiiForums Tanzania Rais umewasikiliza wanaotaka katiba mpya! Je, sisi tusiotaka katiba mpya utatusikiliza lini? Tuna hoja!

    Asalaam ndugu zangu.. Nianze kumpongeza Rais kwa kusikiliza hoja za watu wa kada mbalimbali hasa wa mlengo wa kisiasa wakidai katiba mpya. Wamesikilizwa, na ninasikia mchakato karibia utaanza. Ni jambo jema. Lakini tupo sisi ambao hatukubaliani na mchakato huo. Hatuhitaji katiba mpya na tuna...
  18. JamiiForums Tanzania Kabla ya katiba mpya ya nchi, tunahitaji maboresho ya katiba za vyama hasa CCM

    Nawaza kwa sauti ya kizalendo, Kweli tunahitaji katiba ya nchi kama taifa hiyo haiepukiki kwa sasa kwa maana mambo mengi yapo hovyo hovyo kabisa. Ila naona kwenye hivi vyama vya siasa bado kuna mambo hayako sawa kabisa, hususani namna ya miongozo na kanuni. Nitolee mfano CCM hivi kwa dunia...
  19. JamiiForums Tanzania Wakati kelele za Katiba mpya zikikolea, Ni yapi makubaliano kwenye "Muundo wa muungano, Mahakama ya kadhi, Muundo wa Tume huru na Mamlaka ya Teuzi?

    Bila makubaliano na haya. Tutegemee kukwama tena
  20. JamiiForums Tanzania CCM Wezesheni upatikanaji wa KATIBA mpya kumbukeni siku yaja nanyi mtakuwa chama cha upinzani

    Tusiseme mengi ila kumbuka hakuna dora zilizokuwa na nguvu kama Ottoman empire, Roman empire, Greek, Egypt, Babeli chini ya vyama vyenye nguvu na ushawishi lakini viliporomoka mpaka mavumbini. CCM kuamini kwamba mtatawala milele huko ni kujidaganya mchana kweupe. Chini ya CCM tunaona namna nchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…