katiba mpya

  1. JamiiForums Tanzania Rais wa TLS, Harold Sungusia ataka mjadala wa Kitaifa kujadili mkwamo wa Katiba Mpya

    Akizungumza wakati wa mkutano mkuu wa mwaka wa chama hicho unaofanyika leo, Alhamisi Agosti 01.2024, jijini Dodoma, Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) Wakili Harold Sungusia amesema Katika eneo la utoaji wa elimu kwa umma TLS (Chama cha Mawakili Tanganyika) tumeweza kufanya makongamano...
  2. JamiiForums Tanzania Ni muda sahihi Rais Samia kutupatia Katiba Mpya kwa manufaa mema ya Taifa letu

    So far Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mambo mengi ya kimaendeleo na ameona hali ya kisiasa nchini(to me, mama Hana deni at all, ameeendeleza miradi na kutuletea maendeleo, Amewajua fake and real kwa nchi yetu, briefly hana cha kupoteza) Naamini mama aliletwa kwa mipango ya Mungu ya kuifanya...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Inawezekana tukapata KATIBA MPYA Mizengo Pinda akiwa Makamu Mwenyekiti wa CCM

    Pamoja na mapungufu yake mengi, ninachomkubali Mizengo Pinda ni uumini wake kwenye Katiba Mpya. Nilishawahi muangalia akitoa maoni TBC akiwa mjumbe wa kikosi cha kutazama hali ya demokrasia nchini na kusema kweli aliunga mkono suala la Katiba Mpya. Pamoja na mapungufu yake mengi ,ninachomkubali...
  4. JamiiForums Tanzania Samia amefanikiwa kuibrand Tanzania. Ila bado tunahitaji Katiba Mpya

    Natembea sana nje ya Tanzania. Natembea sana ndani ya Tanzania. Najua dunia inaenda wapi na inahitaji vitu gani kwa sasa! Kwa maeneo mengi ya nje ya Tanzania niliyotembelea, Tanzania inasemwa vizuri saivi, hali ya kuvutia uwekezaji wa ndani na nje inasemwa kuwa nzuri sana! Hata Dar ambapo ndo...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Slaa: Namuunga mkono Mbowe kushiriki chaguzi zijazo hata kama Serikali haitokuwa tayari suala la Katiba Mpya

    MWANASIASA mkongwe na Katibu Mkuu wa zamani wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa amesema anamuunga mkono Mwenyekiti Chadema, Freeman Mbowe kuhusu uamuzi wa kutangaza kushiriki katika chaguzi zijazo hata kama Serikali haitakuwa tayari kuwapatia Watanzania Katiba mpya. Akizungumza na MwanaHALISI Online...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uandaliwe mpango mkakati wa kuiondoa CCM madarakani. CHADEMA somesheni vijana!

    Mpango mkakati wa CHADEMA nadhani umejikita katika kipindi kifupi na ndiyo mkakati ambao umetumiwa na vyama mfu vya upinzani kuindoa CCM Madarakani. Nilishangaa sana CHADEMA kumpokea LOWASA na LAZARO NYALANDU wote hawa hawakua chaguo sahihi kwa chama kikubwa cha upinzani. Mipango mkakati ya...
  7. JamiiForums Tanzania Asking Aloud: Rais Samia anajua Katiba yetu ni batilifu, na Sheria mpya ya uchaguzi aliyosaini ni Sheria batili kinyume cha Katiba?

    Wanabodi, Kama kawa, kila nipatapo fursa, huja na makala elimishi za kwa maslahi ya taifa, ambazo huwa na maswali, hoja, majibu utaweka mwenyewe, swali la leo ni kujiuliza kwa sauti, asking aloud: "Je Rais Samia anajua kuwa Katiba yetu ina ubatili fulani, uliochomekewa kiubatili hivyo...
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inawezekana kweli Katiba mpya ni Kitabu tu, Kenya Rais wao amegoma Kabisa kuitii Mahakama na hawana la kumfanya!

    Tanzania tumekuwa na hamu sana ya kutengeneza Katiba mpya bila kujali kama Wananchi wanajua maana ya Katiba ama la Kenya Wana Katiba mpya lakini Rais Ruto amesema Mahakama inamuhujumu hivyo hataisikiliza bali ataendelea na KAZI zake kama alivyopanga Ruto amesema Mahakama ni kakikundi la Watu...
  9. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya inatakiwa kwa hali na mali

    Habarini za humu ndani ndugu zangu Mimi kama ni mwana Jamii Forom, tena mwenyeji wa muda mrefu sana humu ndani, naomba nami nichangie mawazo yangu hasa kwenye Tanzania tuitakayo kwa ajiri ya kizazi kilichopo na kijacho. 1. Katiba mpya itaweza kuja na mwarobaini hasa kwa Rais aliyepo...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kizazi bora Tanzania kiongozwe na agenda nne muhimu

    Ukiangalia nchi inakoelelekea kwa kizazi kipya na cha kileo Tanzania, bila kujali itikadi ya chama chochote, dini, kabila na ukanda, agenda muhimu kwa sasa ni Katiba Mpya, Tume Huru, Ulinzi wa Raslimali za nchi, upatikanaji wa teknolojia bora, maisha rahisi na bora kwa nchi yetu. Na hivi...
  11. JamiiForums Tanzania Katiba mpya iongeze wigo wa uwajibikaji, sio kupanua demokrasia.

    Watu maskini na wajinga usiwapatie demokrasia pana sana, maana wataitumia demokrasia hiyo kwenye kuandamana, kidai huduma na kugomea mipango yote ya serikali Kila siku bila wao kitimiza wajibu wao. Tunataka katiba mpya ambayo itawalazimisha watu wote kufanyakazi na kuwajibika kwa matendo yao...
  12. JamiiForums Tanzania Kama katiba mpya italeta hali kama Ya Kenya heri isiwepo

    Salaam wana jamvi mimi ni mzalendo ambaye muda wore najivunia kuwa M Tanzania. Nimekuwa nikifatilia Hali ya nchi ya Kenya kusema kweli Kenya inasikitisha 1: Kenya haiheshimu Rais 2: Uhuru wa kuongea umepitiliza kiasi kuwa kila mtu anaweza kumtukana kiongozi wa nchi kwa kusingizia Katie...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Bila kuwa na katiba mpya itakayoondoa wabunge vilaza tutegemee migomo zaidi au pengine maandamano kama ya Kenya.

    Hii sio wiki nzuri kwa nchi zetu za Afrika Mashariki hasa Tanzania na Kenya. Wakati Kenya wanaandamana kihuni kupinga kupitishwa kwa sheria mpya ya fedha huku Tanzania kuna mgomo wa wafanyabiashara. Hawa wafanyabiashara wana hoja kadhaa za msingi ingawa pia wanazo hoja zingine za kipumbavu...
  14. JamiiForums Tanzania Kama Taifa nashauri tukubaliane kwa kauli moja kwamba majadiliano ya katiba mpya yaanze rasmi baada ya uchaguzi mkuu 2025

    Kutokana majukumu ya maandalizi mazito ya kazi za kikatiba kitaifa, kwa mfano ya uchaguzi wa serikali za mitaa nchini nzima, pamoja na uchaguzi mkuu wa mwaka ujao 2025.. Mambo haya muhimu kwa taifa, yanahitaji muda mwingi wa kutosha kijipanga na kuyaandaa, yanahitaji umakini, utulivu, uangalifu...
  15. JamiiForums Tanzania Wakili Harold Sungusia: Kama tunatazama maslahi mapana ya Taifa basi tutatoa mapendekezo ya Katiba Mpya ambayo hayana ubinafsi

    https://www.youtube.com/live/3CV9o7c2fo8?si=_pUk3LIG7gbkpfIq Rais wa Tanganyika Law Society (TLS) Wakili Harold Sungusia amewataka washiriki wa Mdahalo wa wazi juu ya mchakato wa kupata katiba Mpya Tanzania kuangalia maslahi mapana ya Taifa na sio maslahi binafsi,au maslahi ya Taasisi,Dini...
  16. JamiiForums Tanzania Kiongozi aliyemezwa na tamaa kwa kuwadhulumu mafukara haamini kama kuna siku ya kiama

    Wewe ni kiongozi. Unaona watu unaowaongoza wanalalamikia uvunjifu wa katiba, kanuni, miongozo, na taratibu ambazo wewe kiongozi kwa viapo vyako na ahadi yako kwa CCM uliahidi kuvilinda, kuvitetea, na kuvihifadhi. Mheshimiwa Rais anasisitiza haki, lakini wewe husikii; umeweka pamba masikioni...
  17. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katiba Mpya imefanya Mapinduzi ya Kiuchumi, Kenya imezipiku Mapato ya Tanzania, Uganda na Rwanda kwa Pamoja

    Kanuni ni zile zile kwenye uchumi na hata kwenye maisha ya kawaida. Ili ujenge uchumi wako mfukoni unahitaji kukusanya mapato, kubajeti matumizi na kidhibiti upotevu na matumizi holela ya Fedha zako mwenyewe. Kwenye upande wa kudhibiti matumizi na kuhakikisha hakuna ukwepaji wa kodi, upotevi...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Natamani katiba mpya iseme ukimaliza chuo kikuu huna ajira ulipwe nusu mshahara mkopo wa elimu ya juu usiombwe upewe lazima.

    Amesema mtazamo wake kuhusu katiba ni kuleta nafuu kwenye maisha ya kila siku mf. Wanawake wasio na ajira wapewe mikopo bila riba mtu akifa maiti isidaiwe chochote na kijana akihitimu masomo na serikali haijampa ajira baada ya miaka mitano ianze kumlipa nusu mshahara mpaka atakapo pata ajira.
  19. E

    JamiiForums Tanzania Hakuna haja ya Katiba Mpya kwa sababu katiba iliyopo inajitosheleza

    Katiba Mpya imekuwa ndo wimbo pendwa kwenye midomo ya wanasiasa wengi kwasasa kwahiyo na mie nina sema kuwa hakuna haja ya katiba mpya kwa sababu katiba iliyopo inajitoshereza. Sasa hivii linalotakiwa kujadiliwa ni ajira kwa walimu na afya kwani shule na vituo mama kajenga lakini wafanyakazi...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya ni sasa.

    Hawa ccm wanafikiri watanganyika ni wadanganyika. Yaani wachota mabilioni ya Kodiak zetu kuanzisha mchakato wa katiba mpya. Halafu walivyo ona katiba mpya itawatowa madarakan8 wakaamuwa kuzima mchato mzima ,bila hata huruma ya Kodi za Masikini zilizo kwisha tumika. Sasa bila katiba mpya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…