Kama katiba mpya italeta hali kama Ya Kenya heri isiwepo

tufahamishane

Member
Jun 22, 2024
28
30
Salaam wana jamvi mimi ni mzalendo ambaye muda wore najivunia kuwa M Tanzania. Nimekuwa nikifatilia Hali ya nchi ya Kenya kusema kweli Kenya inasikitisha
1: Kenya haiheshimu Rais
2: Uhuru wa kuongea umepitiliza kiasi kuwa kila mtu anaweza kumtukana kiongozi wa nchi kwa kusingizia Katie

Nalazimika kusema kama katiba Mpya itakuja kuleta vurugu kama katiba Mpya inakuja kuleta mkanganyiko wa taifa kama tunayoshuhudia Kenya ni heri tubaki na katiba yetu ambayo imetuongoza toka uhuru mpaka Leo

Natamani kuendelea kuiona Tanzania ambayo itaendelea kuwa heshimu viongozi na kuwa thamini

Natamani kuendelea kuiona Tanzania Yenye Amani upendo Amani na furaha

Mwisho watanzania tusikubari kugawanywa na watu wenye Nia mbaya

Na
 
Back
Top Bottom