kati

Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Kati ya Mpunga na Mchele, kipi kinawahi kuharibika?

    Habari zenu wadau. Naomba kujua tafadhali. Kipi bora kati ya hivi : 1. Ninunue mpunga nikoboe zitoke kilo elfu moja niweke ndani kwa ajili ya matumizi ya familia. Au ninunue mpunga, niweke ndani then niwe nakoboa debe kumi kumi za mpunga kila baada ya miezi miwili au mitatu. Debe moja la...
  2. SoC04 Mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vya kati na vyuo vikuu itolewe kwa wote watakaoomba

    Miaka ya nyuma, yaani 1995 na kurudi nyuma, elimu ya vyuo vya kati na vyuo vikuu vya serikali, iligharamiwa na serikali kwa asilimia 100. Miaka ya 1990, kufuatia utekelezaji wa mageuzi ya kiuchumi (“Structural Adjustment Programme”), mpango uliofadhiliwa na Benki ya Dunia (“World Bank - WB”) na...
  3. SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kuwepo na utofauti kati ya vyama vya siasa vya uraiani na vile vinavyotumika vyuo vikuu na kati

    UTANGULIZI Nchi yetu ni ya kidemokrasia, na mifumo yote ya kiutawala inazingia misingi ya kidemokrasia. Hivyo Kila Raia anayo Hali ya kuchagua chama Cha siasa anachokiona Bora. Zipo tawala mbali mbali nchini zinazotumia mifumo ya vyama vingi kupata watawala au viongozi. Tawala Moja wapo ambazo...
  4. Asome kozi gani kati ya hizi ili kuendana na soko la ajira la sasa hapa nchini

    Habari wanaJF, Natanguliza shukrani. Kuna mdogo wangu kwenye haya matokeo ya mwaka huu mwezi wa pili ya kidato cha nne alipata ufaulu wa DIV 2 YA 18(CIVICS: C, HISTORY: B, GEOGRAPHY: C, KISWAHILI: B, ENGLISH: C, LITERATURE: C, CHEMISTRY: C, BIOLOGY: B, MATHEMATICS: D, PHYSICS: D). Alipangiwa...
  5. Una shida, utamchagua Mchungaji yupi akuombee kati ya hawa?

    Mchungaji Masanja au Mchungaji Irene?
  6. Kati ya Julai 2023 hadi Aprili 2024 kulikuwa na Kesi 1,034 za Watu wasiotunza Watoto wao

    Kuhusu huduma za Mahakama kwa watoto, Wizara imeendelea kuratibu huduma za Ustawi wa Jamii katika Mahakama za Watoto 133 nchini. Katika kipindi cha Julai 2023 hadi Aprili 2024, mashauri 4,462 yalipokelewa yakijumuisha mashauri 1,034 ya matunzo (maintenance), 952 ya uangalizi wa mtoto (custody)...
  7. Chagua idea ya nyumba unayopenda ili nikubunie ramani ya kuendana na uchaguzi wako

    Unaweza kutana na picha nzuri ya nyumba na ukapenda nyumba utakayojenga ifananie hivyo hivyo. Kwa gharama ya Tsh 50,000 nakuchorea ramani na makadirio ambavyo vitaendana na muundo wa hio picha ya nyumba utakayo kuwa umechagua. KARIBUNI. WHATSAPP: 0755325977
  8. Wawekezaji Afrika kusini wanataka makubaliano kati ya ANC na DA

    Randi ya Afrika Kusini imeimarika kwa kiasi mapema leo Jumatatu, huku wachambuzi wakisema wanatarajia kwamba mazungumzo ya kisiasa wiki hii, kuunda serikali yatachochea zaidi thamani ya sarafu hiyo. Hii ni baada ya chama tawala cha African National Congress ANC kushindwa kupata idadi ya viti...
  9. Asome Fani gani VETA Kati ya hizi zifuatazo?

    Salaam! Kijana wangu kahitimu kidato cha nne, Ana division FOUR ya point 26, Nimeazimia kumpeleka VETA asome fani yoyote ambayo kwa sasa ni marketable, Naomba Ushauri wenu kati ya hizi zifuatazo ipi aisome? 1. Truck Mechanics 2. Heavy Duty Mechanics 3. Electronics 4. Machine Tool Maintenance 5...
  10. X

    Special thread: Mgogoro kati ya Urusi na NATO

    Uzi huu unaangazia kile kinachoendelea kuhusu mgogoro ulioibuka sasa wa NATO na Russia katika vita vya Ukraine. Ikumbukwe kuwa katibu mkuu wa NATO Jens Stoltenberg, alitaka silaha za misaada kwa Ukraine sasa zianze kutumika kushambulia moja kwa moja ndani ya mipaka ya Russia hasa miltary...
  11. Ni nani kati ya hawa wanne anadanganya?

    Kulitokea Wizi wakati wa Majira ya Barafu, ila kila. Mmoja alisema hakutoka Nyumbani siku ya tukio. Ukiangalia picha hii kuna mmoja anadanganya. Unadhani ni nani huyo anaedanganya kati ya hawa wanne?
  12. R

    Epuka, hii ni mojawapo kati ya makufuru!

    Salaam, Shalom!! Kumekuwa na picha zinazotembea mitandaoni Hasa mtandao wa FB ikimuonyesha mtu mwenye mapembe mwenye mkia ana six parks, ambaye ni Rahisi kumhusisha na shetani, pia mwingine anaonekana akiwa amevaa vazi jeupe naye Kwa mara kadhaa amechorwa Kwa mwonekano kama mtu mwana mazoezi...
  13. SoC04 Tanzania tuitakayo: Tuwe na 50 kwa 50 kati ya miradi ya Vitu na miradi ya watu, ili kuondoa umasikini Tanzania

    Kuwe na 50 kwa 50 kati ya miradi ya maendeleo ya watu na miradi ya maendeleo ya vitu ili kupunguza umaskini wa vipato. Tanzania ni moja ya nchi zinazo kuja juu sana kwa swala zima la ukuaji wa uchumi, na hii inachochoewa na kasi ya maendeleo hasa hasa miundo mbinu, Tuna miradi mingi sana ya...
  14. Naianza Safari ya kujenga na kuendesha Chuo cha Elimu ya Kati (Certificate na Diploma)

    Wakuu Habari za Majukumu. Imekuwa ndoto yangu kuanzisha na Kuendesha Chuo cha Elimu ya Kati,kinachotoa Elimu ya stashahada na astashahada hasa kwenye Kada ya Afya.Tayari Nina Eneo la Kutosha Kujenga Majengo.Kwa ambao tayari wanaendesha hii Shughuli nini cha kuzingatia? Sijawahi kuwa Mwalimu...
  15. Mkutano wa majadiliano ya fursa za uwekezaji kati ya Ufaransa na Zanzibar

    Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe. Ali Jabir Mwadini akizungumza katika Mkutano wa majadiliano ya fursa za uwekezaji kati ya Ufaransa na Zanzibar, ambapo Mgeni rasmi ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Park Hyatty...
  16. Z

    SoC04 Matumizi ya taasisi za Mawasiliano na mifumo ya Kidijitali kama njia ya mawasiliano (kutoa taarifa) kati ya wananchi na viongozi

    UKUAJI WA SEKTA YA MAWASILIANO NCHINI Namshukuru Mwenyezi MUNGU kwa kunipa fursa ya kuchangia mawazo muhimu yatakayosaidia TANZANIA yetu katika miaka 5-25 ijayo, kupitia Jamii forums. Dunia ya sasa imetawaliwa na mifumo ya utandawazi kupitia teknolojia ya viwango vya juu ya matumizi ya mtandao...
  17. Wizara ya Mambo ya Nje: Mikataba na Hati za Makubaliano 78 zilisainiwa kati ya mwaka 2023/24

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imesema katika mwaka wa Fedha 2023/24, Serikali ilisaini Mikataba na Hati za Makubaliano 78 baina ya Tanzania na nchi 23 Nchi hizo ni Algeria, Indonesia, Falme za Kiarabu, Zambia, India, Noway, Urusi, Uganda, Cuba, Hungary, Malawi, Korea...
  18. Rasmi wanajeshi wa Israel waingia Rafah mjini kati

    Asiye na mwana aelekee jiwe, ni mwendo wa kikomando na kufyatua fyatua, mnaojificha nyuma ya watoto pole zenu, hawa ni Wayahudi (sio Wakristo mliozoea) wanapiga tu. Shukrani sana IDF, malizeni hii shughuli tuwaze mengine, wawahisheni kwa mabikira... ================== Several Israeli tanks have...
  19. Tumalize Ubishi hapa: Ipi bora kati ya Chama kubaki Simba au kwenda Yanga?

    Salaam Wakuu, Kama ilivyo ada inapofika mwisho wa msimu baadhi ya Wachezaji pia humaliza mikataba na timu zao, Miongoni mwa Wachezaji waliomaliza mikataba yao kwa nchi yetu ni Cloatus Chota Chama ambaye kwa sasa anakipiga mitaa ya Msimbazi Kariakoo. Kutokana na umahiri wa mchezaji huyu...
  20. D

    Kama una Mume asiyechepuka, basi ana mojawapo kati ya sababu hizi

    1) Hana pesa 2) Ni Mwenye hofu ya Mungu. 3) Ni mgonjwa. Nje ya hapo, bakora ni lazima😜😜
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…