kati

Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.

View More On Wikipedia.org
  1. Naomba ushauri wa Kozi hizi za Veta

    Naomba ushauri vip kuhusu hizi course veta ipi soko lake liko vizuri 1. Electrical installation 2. Auto Electrical 3. Motor vehicle mechanic
  2. Watu wa kipato cha kati wengi wanaishi kwa hofu za kurogwa na ndugu na marafiki waliowazidi

    Mtu akioata kazi nzuri au biashara ya kueleweka, akajenga Nyumba, Akawa na shamba, na gari la kusafiria au akamuongezea mkewe kadogo ka kutembelea wengi wanaona aliowazidi wanamuonea wivu au wanamvizia wamloge. Hasahasa wale waliokulia kwenye umasikini mkali, na akapata mwanga kuliko wenzake...
  3. L

    Kuna uhusiano gani kati ya kupokea zawadi kutoka Kwa manabii na mtu kupotea kimaisha

    Tumeshuhudia anguko la goodluck gozbert baada ya kupokea zawadi kutoka Kwa nabii mkuu ..tutarajie Nini baada ya dada yetu mpendwa shusho kupokea million kumi kutoka Kwa nabii mkuu pamoja na dada yetu huyo kusemekana kuishi kinyumba Kwa muda na mtume maarufu wa kuuza mafuta ya upako... Jamani...
  4. L

    Kuna uhusiano gani kati ya kupokea zawadi kutoka Kwa manabii na kupoteza kimaisha?

    Tumeshuhudia anguko la goodluck gozbert baada ya kupokea zawadi kutoka Kwa nabii mkuu...je tutarajie Nini kutokea baada ya dada yetu mpendwa shusho kupokea million kumi Kwa nabii mkuu pamojaa na kusemekana kuishi kinyumba na mtume maarufu wa kuuza mafuta ya upako Ila spiritual life is real ...
  5. Ni Mfumo upi masbariki ya kati imetimiza malengo

    Kwa kuanza, niwafahamishe maana ya mifumo ya ulinzi .. hii ni dhana nzima inayohusu kulinda watu, wapiganaji na mali zao kwa ujumla dhidi ya pande korofi, mifumo yote ya ulinzi ina lengo la 1. kuweka raia na wapiganaji salama, hili ndilo lengo la kwanza kwa Taifa lolote timamu utu ni jambo la...
  6. Tatizo la gari za Nissan kushtukashtuka(misfire) kati ya speed 40Km/h mpaka 60Km/h

    Shida hii ipo karibu kwenye kila gari ila kwenye Nissan Hali ni mbaya mno. mfano wa gari zenye hiyo shida ni Dualis, Xtrail T31, Note, Juke na Tiida. Gari inawaka vizuri, Ila ukianza kuitafuta 40kph ndio unaona hiyo shida hasa kama hujaikanyagia sana na hasa maeneo ya vilima, hata kama ni...
  7. A

    Mashariki ya kati: IDF ilituma zaidi ya ndege za kivita 100 Tehran kushambulia kambi za kijeshi zaidi ya 20

    Jeshi la Israel 🇮🇱 lilituma zaidi ya ndege 100 kwenye anga la Iran 🇮🇷 na kushambulia kambi za jeshi zaidi ya 20 ,huku Iran ikijitahidi kutumia mifumo yake ya ulinzi wa anga kupunguza madhara, vinaropoti vyanzo mbali mbali. Mpaka sasa Iran haijathibitisha kutokea kwa madhara, huku IDF...
  8. Mahakama ya Juu yasitisha utekelezaji wa Mkataba wa Usambazaji Umeme kati ya Serikali ya Kenya na kampuni ya Adani Group

    Jaji Bahati Mwamuye alitoa maagizo ya kihafidhina, kusitisha utekelezaji wa makubaliano hayo huku akitaja kuwa mkataba huo umeibua wasiwasi juu ya usiri, ushiriki wa umma, na kufuata katiba Kampuni ya Usambazaji Umeme ya Kenya (KETRACO) ilitia saini mkataba wa Ksh 95.68 bilioni na Adani Energy...
  9. Huyu Dada alikuwa ni kati ya Mashabiki wa kweli wa Yanga. Sasa hivi yuko wapi!?

    Nimeileta hii hapa ili kummpa heshima. She was the best fan. Miaka ile ya kina Ngasa, kabla. Ya filters ktk cm.. 2011..2013.. Mimi binafsi nilimpenda na nikamfolow FB. YUKO WAPI SASA, ANYONE p'se.
  10. A

    Tunawezaje kutofautisha kati Uislamu, Ukristo na Uyahudi?

    Uislam, Ukristo na Uyahudi ni dini za Kiabrahama zinahusisha imani za kidini ambazo zinatokana na urithi wa kiroho wa Nabii Ibrahim (Abraham), ambaye anachukuliwa kuwa baba wa imani hizo. 1. Uislamu: Imani ya kwamba kuna Mungu mmoja (Allah), na Nabii Muhammad ndiye mjumbe wake wa mwisho...
  11. Hii inamaanisha nini? BRICS Watoa Wito wa kukomeshwa Vita ya Urusi na Ukraine na pia Mash. Ya Kati

  12. M

    Je kati ya mwanamke na mwanaume nani anafaidika sana kwenye mahusiano ama ndoa ?

    naomba mnisaidie kujibu ili swali maana watafiti hewa wamenichanganya na mchoro wao huu chini
  13. Tanzania imesaini MoU na Iran leo

    Kutoka Tehran, IRAN taarifa zimesambaa kutokana na Taarifa iliyowekwa kwenye habari picha kwa mujibu wa Chombo cha Habari cha Iran.
  14. Kati ya elimu na afya kipi kitolewe bure na serikali?

    Elimu na Afya ni huduma muhimu sana katika jamii,ila nina uhakika kwamba moja wapo ni muhimu zaidi hivyo inapaswa kutolewa bure. Nakusanya data kwa kazi maalumu ya kiutafiti,naomba nisaidie kufanya voting kulingana na mtazamo wako. Baada ya polling hii nitakuja na muendelezo ili utimiza adhma...
  15. X

    Ujumbe kwa waoaji: Kuna tofauti ndogo sana kati ya haya makundi 4 ya wanawake

    Kuna haya makundi 4 ya wanawake yanafanana sana Mwanamke mcheza porno Mwanamke mcheza onlyfans Malaya anayejiuza Mwanamke asiye bikira (mdangaji) hili ndilo kundi ambalo wanaume wengi miaka hii wanaoa Jambo kuu wanalofanana hao wote ni kwamba wanaitumia miili yao ili kuingiza pesa na pili...
  16. Bila kuleta udini na uhafidhina, kati ya Israel na Palestina nani aliyevamia eneo la mwingine?

    Japo katika kujibu swali hili kutahitaji historia, naomba tujitahidi tusilete udini bali chanzo halisi cha mgogoro huu wa Palestina na Israel. Ninachokijua kime-base kwenye dini na ndio maana nashindwa kukiweka hapa, nawaomba wataalamu wa Historia ya Israel na Palestina watusaidie, pia mtu...
  17. A

    Sababu kuu za vita na mgogoro kati ya Israel na Lebanoni

    1. Mgogoro wa Nchi na Mipaka: Mgogoro wa ardhi ni moja ya chanzo kikuu. Eneo la kusini mwa Lebanon, hasa Shabaa Farms, ni sehemu yenye utata ambapo Israel na Lebanon wanadai umiliki. 2. Kundi la Hezbollah: Hezbollah ni kundi la wanamgambo na kisiasa lenye makao yake Lebanon, ambalo linapinga...
  18. Siku moja baada ya maafa ya Golani Airbase, inaonesha kushindwa kwa ulinzi mwingine katika kituo cha kati katika eneo la Sharon

    Wanaukumbi. ⚡️Vyombo vya habari vya Kiebrania: Hillel Bitton Rosen: Ndani ya bomba la maji taka-hivi ndivyo askari wetu walivyoonekana leo, mara mbili, wakati wa operesheni za kengele katika eneo la kati, kutokana na ukosefu wa nafasi za ulinzi katika msingi mkubwa na wa kati. Makamanda wa...
  19. B

    Derby kati ya waliopo na waliotoka kwenye ndoa VS wanaotaka kuoa

    Wanajf habar gani? Mambo niaje pande hizo. Kazi iendelee na kwingine people powers. Kimsingi ni kwamba hii vita ni kali 1. WALIO NDANI YA NDOA na WALIOTOKA KWENYE Ndoa wanasema ukiona mwenzako kanyolewa zako tia maji -Wengine wanasema wasiwasi ndo akili - Wengine wanasema akikupenda mama...
  20. Nini tofauti kati ya kwenda sekondari au college

    Nimeona kwa sasa kijana anaweza kutoka shule ya msingi akapangiwa moja kwa moja kwenda sekondari form one au la wakampangia kwenda chuo (college) cha ufundi. Au akatoka form four akapangiwa kuendelea na sekondari fomu six au akapangiwa kwenda college. Ipi ni njia bora kati ya hizo kwa kijana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…