kataa ndoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. John Sin

    JamiiForums Tanzania Kataa ndoa wenzangu wamenitenga

    Imefikia mahali hadi nakosa raha kabisa yani watu niliwaamini kama ndugu zangu humu JF leo wananitenga nakunipakizia kashfa mbaya mbaya na chafu. Mimi kama kijana nilikua sitaki kuoa nikuwa kijana lengo langu lilikua ni kuchakata mbususu hadi ntapofika umri wa miaka 70- 80+ ndo nitimize nusu ya...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wafaham Vijana wa kampeni ya "Kataa Ndoa " !!

    Baada ya Kupita pita kwenye mitandao ya kijamii mbalimbali Kwa lengo la Kuona ni Kwa ukubwa gan hii kampeni ya Kataa Ndoa imefikia, na kundi gan la Vijana linaloshadidia hii kampeni , nikagundua yafuatayo 👉Vijana Hawa wengi wao ni hawana Ajira Rasimi japo wapo wenye Ajira ,,,yan Kwa ufupi ...
  3. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Jamaa amrekodi mkewe akinywa sumu, mpaka kufariki dunia

    Hii habari nimekutana nayo Twitter, sijajua ukweli wake hasa ni nini lakini si mbaya niki-share nanyi -- Anaitwa DJ Brownskin... Alimrekodi mkewe akinywa sumu. Alimshawishi mwanamke huyo anywe sumu, kisha akamwita housegirl ili amnyweshe maziwa huku akiendelea kurekodi mambo yote. Mmoja wa...
  4. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Faruku Mhamadi: Mke wangu alinichoma kisu nikiwa usingizini

    Dah inasikitisha sana bwana faruq kutoka Muleba alikuwa akihojiwa leo asubuhi katika channel ya crouds kiukweli ni kuwa wanawake wa kileo wana roho mbaya sana😢 ====== Faruku Muhamadi "Nilipata maswahibu ya kuchomwa kisu na mke wangu. Nilikuwa nimelala na haukuwepo ugomvi au ilikuwa...
  5. Sajo

    JamiiForums Tanzania Operation Kataa Ndoa - SAWA, vipi kuhusu child support, nayo utakataa? Jifunze hapa kuhusu malezi na matunzo ya Mtoto (Sheria ya Mtoto) ujipange!!

    Operation imepamba moto, vijana wanahimizana kukataa ndoa kwa kutokuoa ila hakuna anayepinga kuhusu suala la kujaza ulimwengu. Mizagamuano na misuguano inaleta sio tu raha na burudani kwa wafanyaji bali pia inaleta watoto kwenye dunia. Wakishakuja sasa wapenzi wanaanza kukimbiana na wengine...
  6. ChatGPT

    JamiiForums Tanzania Nifanye Mapenzi, Ama Nisifanye?

    Siku hizi kuna kundi la watu wanaopinga ndoa (KATAA NDOA) na kuhamasisha watu wasifunge ndoa - lakini wengine wamekuwa wakifanya 'me-time' na kujisaidia wenyewe. Ndio maana leo hii nataka kuandika makala "Kwanini tufanye tendo na kwanini tusifanye tendo." Kupitia makala hii, nataka watu waelewe...
  7. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Baada ya Tafakuri naachana na kampeni ya kataa ndoa, nahiitaji Mwanamke wa kuoa

    Ujana una mengi na siwezi danganya mengi nimefanya. Sifa zangu Urefu Futi 5.9 Elimu: degree moja Kazi Mwalimu wa secondary (Government) Kabila Haya Sifa za Mwanamke Awe Bikra Elimu sio lazima Cha muhimu kusoma na kuandika Kiswahili Dini Muslim Sifa kuu awe bikra na smart kichwani That all...
  8. Nyaubikra

    JamiiForums Tanzania Wale team kataa ndoa sio wanaume tu hadi wanawake pia wapo

    Hiko kipande cha video hapo juu nimekitoa huko twitter. Sasa huyu binti akutane na mjumbe wa JF huku ambaye hataki ndoa sijui itakuaje hilo penzi(mahusiano). Tukae mbali na mafeminist wakuu.
  9. ChatGPT

    JamiiForums Tanzania Kuwa Mama Bila Kupata Mimba | Baba Bila ya Mama Mjamzito

    Unaifahamu Surrogacy? Surrogacy, au uchukuzi wa mimba, ni njia ya kusaidia wanandoa ambao hawawezi kupata mtoto kwa njia ya kawaida. Njia hii inahusisha mama mbadala ambaye huzaa mtoto kwa niaba ya mwanamke na mwanaume fulani (wanandoa hao). Kuna aina mbili za surrogacy: "traditional...
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Changamoto wanazopitia vijana wetu mpaka wanakuja na kampeni za kataa ndoa

    min -me nimetimiza ahadi mada hii hapa..! Kila kitu huwa na mwanzo huwa na chanzo, vijana walianza kulalamika siku nyingi wakitafuta ushauri huku na kule.. Wengi walikatishwa tamaa na aina ya ushauri waliopewa na wakubwa.. Haukuwa na weledi Masaibu yao hasa yalikuwa kwenye vipengele hivi...
  11. Dr Count Capone

    JamiiForums Tanzania Kataa ndoa vs kubali ndoa (online poll)

    Ashakutakia Happy Valentine? Kama bado Mambo yasiwe mengi, shikilia hapo hapo! Waungwana kwa muda tumeona nyuzi baada ya nyuzi akina Liverpool VPN dronedrake na wenzao wakipiga kampeni kali kabisa kukataa ndoa huku wakitoa mifano ya visa vya kweli Na mzee wa busara Mshana Jr na wengine...
  12. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa lipa shika tuondoke ndio mnataka tuoe sio?

    Wanawake mchawi wenu Ni wanawake wenzenu Mnalalamika hamuolewi wakati wenzenu wanagawa Bei sawa na bure Kiufupi Maisha yamekuwa Magumu Sana kwa kila Mtu so watu wanatafta unafuu ulipo Mnabidi jinsi mlivyo anzisha kampeni yenu ya feminist ndo mpambane kuwazuia wanawake wenzenu wanaogawa uchi...
  13. Sajo

    JamiiForums Tanzania Usidanganywe na stori za vijiweni, ijue Sheria ya Ndoa na Talaka

    NDOA NA MATOKEO YA NDOA (TALAKA, UGONI) Mambo ya ndoa sio mageni sana masikioni mwetu kwani wengine tupo ndoani na wengine marafiki zetu wapo ndoani na hata wazazi wetu wamekuwa ndoani. Kwa hiyo baadhi yetu ni matokeo ya ndoa za wazazi wetu na wengine tumepata matokeo ya ndoa zetu wenyewe...
  14. Kinumbo

    JamiiForums Tanzania Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)

    Maana ya Ndoa Ndoa ni muunganiko kati ya mwanamume na mwanamke, walio amua kwa ridhaa yao wenyewe kuishi pamoja kama mke na mume mpaka mwisho wa maisha yao ya ndoa. Aina za ndoa kwa mujibu wa sheria Kuna aina mbili tu za ndoa zinazotambulika na sheria ya ndoa Tanzania Ndoa ya mke mmoja na mume...
Back
Top Bottom