kataa ndoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Team kataa Ndoa, nawaasa msikatae maarifa!

    Napenda kuchukua dakika chache, kabla hamjaruka tena kwenda "self-care vacation" Zanzibar, kuwaeleza maneno machache yenye uzito wa mawe ya Mbudya kisiwani na utani wa nyanya wa Tandale. Tumejua mnaendelea kukataa ndoa kwa visingizio vya; Wanaume wote ni mbwa 🙄 Wanawake wa siku hizi wanapenda...
  2. Friji la mtumba

    JamiiForums Tanzania Team kataa ndoa mnasahau kwamba hata simu mpya ina matatizo yake?

    Watu wa “sitaki ndoa, sitaki stress, nataka amani” mnasahau kitu kimoja muhimu: Hata ukiamua kubaki single, maisha hayana warranty ya furaha ya kudumu. Mnasema ndoa ina kelele? Basi tuambieni single life haina shida ya upweke usiku? Au haina pressure ya kulipa kila kitu mwenyewe...
  3. Friji la mtumba

    JamiiForums Tanzania TEAM KATAA NDOA – Ulevi wa Ubinafsi Usio na Maono

    Ni ajabu sana kuona kizazi kinachojiona "kimeamka" kikikumbatia falsafa ya ubachela kana kwamba ni mafanikio ya juu kabisa ya maisha. Team Kataa Ndoa wamechagua njia rahisi ya kuepuka majukumu, wakijificha nyuma ya visingizio vya uhuru, starehe, na "kupambana kivyao." Je, kweli wana akili...
  4. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu ila yupo tayari kutoka nje ya ndoa, kataa ndoa mna point 3 za ushindi

    Huyu ni mke wa mtu, nimefanya kumtania tu ila tayari ameingia kwenye kumi na nane. Binafsi ntachelewa sana kuoa kama wanawake wenyewe ndio hawa...
  5. X-Agent

    JamiiForums Tanzania Nimechapiwa rasmi nikaribisheni team kataa Ndoa!

    Rejea kichwa cha habari.
  6. KENZY

    JamiiForums Tanzania Tamko la kataa ndoa dhidi ya chama cha CHAPUTA!.

    Awali ya yote natumai mu buheri wa afya.. Mimi kama katibu wa chama cha kataa ndoa, napenda kutoa rai ama ushauri juu ya chama cha CHAPUTA yani chama cha wapiga punyeto Tanzania!. Kwanza ieleweke hivi kwa watu wote chama chetu cha kataa ndoa si kwamba kukataa ndoa ndo kukosa mpenzi!, la...
  7. Now and then

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kataa ndoa mmefikiwa sasa lazima muoe tu.

    Wakuu sasa hivi ndoa umekuwa mchezo wa kuigiza . Yule Kijana Aba OG ambaye alikuwa akiikaa Kama mwanamke na kufanya mambo ya kike hatimaye na yeye Kaoa . "https://www.facebook.com/share/v/12HFo54gqsc/"
  8. Nikola24

    JamiiForums Tanzania Mawazo ya ngono yananisumbua sana. Soma stori yangu

    Mimi ni kijana wa miaka 27 na siku kadhaa. Ni member wa team KATAA NDOA. Sina mahusiano ya kimapenzi na demu yeyote.Na focus zaidi kwenye shughuli zangu za kimaisha rather than girls. Sasa Nina hili tatizo kichwani. Kila wakati mawazo ya fantansty sex yananijia.Mara nawaza nafanya mapenzi na...
  9. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

    Maana ya Ndoa Ndoa ni muunganiko kati ya mwanamume na mwanamke, walio amua kwa ridhaa yao wenyewe kuishi pamoja kama mke na mume mpaka mwisho wa maisha yao ya ndoa. Aina za ndoa kwa mujibu wa sheria Kuna aina mbili tu za ndoa zinazotambulika na sheria ya ndoa Tanzania Ndoa ya mke mmoja na mume...
  10. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli ya Nani kama Mama ndio mjue Timu Kataa Kuoa Kataa Ndoa Tuliona Mbali sana

    Kisa cha Ally Kamwe na Baba yake kinawasanua wabishi wote, sisi tumekaa pale tunawaangalia na haubadirishi msimamo, kuoa ni ushetani na kuoa ni gereza huwezi kwa ujinga wako na upofu ukabeba shida za mwanamke unachanganya na za kwako. Wakati mwanamke anakuja na shida zake ili kujikwamua na...
  11. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya vijana kukataa ndoa ni matokeo ya kumtenga mtoto wa kiume katika malezi

    1️⃣ Tumeshuhudia ongezeko la vijana wa kiume wanaokataa ndoa au kuikwepa. Hili si jambo la bahati mbaya, bali ni matokeo ya malezi yaliyomwacha mtoto wa kiume bila mwongozo wa kutosha. 2️⃣ Kwa miaka mingi, harakati za kumwinua mwanamke zilihamasisha elimu, ajira, na haki za wanawake, jambo...
  12. Setfree

    JamiiForums Tanzania Wanaopiga kampeni ya “Kataa Ndoa” waonywa!

    Mfalme amesema: “Anayeonywa mara nyingi akawa mkaidi, ataangamia ghafla asipone tena.” Naongea na wewe, unayepiga kampeni ili kuwafanya watu wakatae ndoa. Pole sana kwa changamoto ulizokutana nazo, zilizokusababishia “ugonjwa” wa kupiga kelele usiku na mchana: “kataa ndoa, kataa ndoa.” Unapiga...
  13. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Watu wanaongelea kataa ndoa ila hawaongelei kuepuka kuzaa na wanawake mataahira.

    Aisee mara utasikia kosea nini sijui ila usikosee kuoa. Wakuu, mimi nasema kosea yote lakini usikosee ukazaa na mwanamke kichaa au wa uswahilini. Kuna rafiki yangu ana kila kitu ila alifanya kosa na kuzaa na nusu chizi, nusu taahira. Kila akinisimulia anayopitia namuonea sana huruma, hana...
  14. Topman

    JamiiForums Tanzania Kwanini “kataa ndoa” wengi ni vijana wa kikristo?

    Ngoja tu nianze kwa kusema, This is all "Allegedly". Observation yangu ni kwamba vijana wengi wa kataa ndoa asilimia kubwa ni vijana wa kikristo, au wana background ya kikristo au ni atheists. Yes kila mtu ana experience zake but kwa mm, watu ambao nime interact nao(kweny mada za ndoa na...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Natamani kujiunga Chama la Kataa Ndoa ila Roho bado inasita-sita

    Natamani kujiunga hili Chama la Wana ila roho bado inasita-sita. Nimejifungia sehemu bado natafakari
  16. Jobless_Billionaire

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Chris Brown kaweka wazi kuwa Member wa team KATAA NDOA

    Unakubaliana na Chris Breezy?" Mwanamume aliyeoa ni mtu mfu anayetembea kwenye rehema za Mke wake. Siwezi kamwe kuoa kwa sababu yoyote ile." Chris Brown "Sidhani kama ndoa ina maana yoyote kwa wanaume. Mwanaume yeyote aliyeoa ni mtu aliyekwisha. Ninaelewa ndoa ni nini na ndio maana siwezi...
  17. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Timu kataa Ndoa kataa kuoa video ya Mama Deborah imetoa picha kwa mazezeta ambao wanafagilia Kuoa kwa kutokujua

    Ndoa na kuoa ni Gereza lenye ghiriba kubwa , ulaghai wa wazi, uchoyo wa wazi, ubinafsi wa wazi. Mwanangu Debora tumekupa Ghorofa la Bahari Beach, Nyumba Madale, Kiwanja DSM na Dodoma. Ndio mtajua hamjui shetani ametawala nyanja ya kuoa na kuolewa. Msukuma kaolewa kifala sana dharau peupe...
  18. doup

    JamiiForums Tanzania Kataa Ndoa Wazidi kupata Support: Pep Guardiola Talaka Mononi

    Nisikuchoshe ndugu msomaji Kocha hi nguli duniani Mzee Pep Guardiola wa Man City (Naweza kusema muasisi og wa Gusa Achia Twende Kwao) naye limemkuta baada ya wife kuomba taraka kisa jamaa yuko busy sana kutengeneza mkwanja Kwa ajiri ya familia ,imagine wife anakutema kisa tu uko fucus na kazi...
  19. Brojust

    JamiiForums Tanzania Kwaheri 2024, Karibu 2025, Matukio katika picha. Mpaka sasa kataa ndoa hana goli, mpinzani wake anaongoza kwa goli 3

    Hongera kwa Afande, Hivi kufuta hii kitu tena ukiwa umepiga magoti na mikono miwili tena kimahaba, huwa ina maanisha nini kwenye ulimwengu wa kiroho ? Hii picha nimeangaliaaaaa, nikawaaaza, nikaangalia tena, nikawaza. Jibu la haraka haraka likaja kwamba ndio champagne salute au inaiitwaje...
  20. Tape measure

    JamiiForums Tanzania ‘Kataa Ndoa' Inavyotishia Maadili ya Familia na Jamii: Mabadiliko ya Kijamii Duniani ya Athari Zake

    Tatizo la upungufu wa nguvu kazi linazidi kuwa kubwa duniani, na halikuwa tatizo la ghafla bali linatokana na mabadiliko ya kijamii na kisiasa ambayo yamekuwa yakijitokeza kwa muda mrefu. Kwa mfano, Urusi mwaka huu 2024 imeanzisha sera za kutoa motisha kwa wanawake kuzaa watoto, ikiwa ni pamoja...
Back
Top Bottom