kasim majaliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PostGE2025 Kwanini Mpango, Nchimbi na Majaliwa hawahusishwi kabisa kuhusika na mauaji ya Oktoba 29 wakati walikuwa viongozi?

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Nchimbi alikuwa mgombea mwenza Mpango alikuwa rais makamu Kasim alikuwa waziri mkuu Walikuwa ni viongozi wakubwa sana Lakin kwa nini hawahusishwi kabisa na haya mauaji? Kwanini wanawekwa pemben Kwanini wachambuzi wanawaweka pembeni watu...
  2. R

    GE2025 Kasim Majaliwa, uchaguzi huru na haki siyo maneno, ni process/mchakato ya kufikia Uhuru na haki! Je mchakato/Processes hizo umezifanya?

    Leo ulikuwa unazungumzia na kuwahakikishia wadau kuwa uchaguzi utakuwa huru na haki. Je mchakato wa kufikia hapo umeufanya? Kuna mapungufdu mkubwa katika mchakato mzima wa kupiga kura . Vigezo hivi sidhani kama hapa vinatimizwa inavyotakiwa. VIGEZO VYA UCHAGUZI HURU NA HAKI 1. Voter...
  3. Kasim Majaliwa kutangaza kutogombea siku ya mwisho ya uchukuaji fomu ni dalili ya roho mbaya

    Lengo lake ilikuwa nini hasa? Tulishajipanga juchukua jimbo Siku chache kabla ya kipyenga akasema anagombea nasi tukaghairi Siku ya mwisho ya kurudisha fomu anasema hagombei tena Hii kitaalam inaitwaje? Pia soma Pre GE2025 - Kassim Majaliwa, ametangaza rasmi kustaafu kugombea tena Ubunge wa...
  4. W

    PreGE2025 Majaliwa asema Ruangwa ndiyo waanzilishi wa neno 'Mitano tena'

    Akizungumza wilayani Ruangwa Waziri mkuu amesema wao ndiyo waanzilishi wa kauli ya mitano tena kisha ikasambaa nchi nzima. "Na sisi ndiyo waanzilishi wa neno la mitano tena, sisi ndiyo wasemaji wa kwanza tunataka fomu moja ya Dkt. Samia kupitia halmashauri kuu. Tulipokuwa na sherehe yetu ya...
  5. W

    PreGE2025 Nassoro Ngoma: Aliyoyafanya Majaliwa Ruangwa si maendeleo bali ni mageuzi

    Wakuu wa Jimboni kwa Waziri Mkuu mje mtuoneshe hayo mageuzi mliyofanyiwa huko. === Mkuu wa wilaya ya Ruangwa Nasoro Ngoma amesema aliyoyafanya Waziri Mkuu Kasim Majaliwa katika jimbo lake ndani ya miaka 10 si maendeleo bali ni mapinduzi. Ngoma ameeeleza mtandao wa lami uliowekwa katika kipindi...
  6. PreGE2025 Waziri Mkuu Majaliwa: Mmenitesa kuja kufungua Kituo cha afya badala ya Hospitali

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amemuagiza Waziri wa Afya, Jenista Mhagama na watendaji wa Wizara hiyo kukutana na kufanya mapitio ya vigezo ili kukipandisha hadhi kituo cha Afya cha Mama Ngoma kilichopo kata ya Kwakoa Wilaya ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro kuwa hospitali. Ametoa maelekezo hayo...
  7. M

    PreGE2025 Huko CCM mwenye uwezo wa kuiamsha serikali ifanye kazi ni Kassim Majaliwa pekee

    Mpaka sasa nchi nzima tunakubaliana kwamba utendaji wa serikali unazorota kila kukicha, wafanyakazi wa serikali wanafanyakazi wanavyojisikia, kama hauamini hili subiri utakapopata shida ya kukutana na watendaji wa serikali ndiyo utaelewa. Kwa tathimini ya haraka kiongozi anayejielewa...
  8. Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi VETA mjiajiri

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungunza na wakazi wa Igunga, Tabora. "Tumeendelea kuimarisha sekta ya elimu, Muheshimiwa mbunge ulisema unahitaji VETA tumeleta VETA, hizi VETA tumezijenga ili wewe ukasomee ufundi utusaide katika shughuli za ujasiriamali VETA...
  9. W

    Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali inatambua usawa wa kijinsia

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa akizungumza katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Kanda ya Kusini, yaliyofanyika Machi 6, 2025 katika viwanja vya Maegesho, Nachingwea mkoani Lindi. Akizungumza katika kongamano hilo, Majaliwa amesema kuwa Serikali inatambua umuhimu wa kukuza...
  10. Serikali Inatambua Umuhimu wa Kukuza Usawa wa Kijinsia na Uwezeshaji Wanawake - Majaliwa

    Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) leo Machi 6, 2025 amezungumza na wanawake katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Kanda ya Kusini, yanayofanyika katika viwanja vya Maegesho, Nachingwea mkoani...
  11. W

    PreGE2025 Arusha: Waziri mkuu awasema viongozi wanaojipanga na kugombania vyeo

    Kunazidi kuchangamka sasa, ni kama ujumbe umetumwa kwa machalii wa Arusha, Gambo na Makonda === Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewataka viongozi wa kisiasa na wa dini kuwa mstari wa mbele katika kuhubiri amani na mshikamano, akisisitiza kuwa migogoro mingi ya...
  12. Mshangao na Huzuni: Kasim Majaliwa kuelekea October 2025

    Utangulizi; Katika uwanja wa siasa za Tanzania, Kasim Majaliwa amekuwa na nafasi muhimu, lakini utendaji wake unatia huruma sana. Amepewa jukumu kubwa la kuwa Waziri Mkuu, lakini miongoni mwa wafuasi wake na wapinzani, kuna hisia tofauti kuhusu uwezo wake wa kuongoza. Kila siku, ninajiuliza...
  13. B

    PreGE2025 Ombi kwako Rais, ombi la kuendelea na Waziri Mkuu Majaliwa 2025

    Kwako Rais wetu mpendwa. Nina ombi langu kwako moja tu nalo ni kuendelea kumuamini na kumteua Majaliwa Kassim pindi utakapochaguliwa 2025. Sababu yangu kuomba hilo ni kwa kuwa Bwana Huyu majaliwa ni kuwa huyu hana uchawa wala ujambawazi. Na zaidi hajawahi kuwa na Makuu au kashfa yoyote wala...
  14. Majaliwa: Ni Wajibu wa Wahandisi kuisaidia Serikali kuokoa fedha kwa kukadiria fedha inayohitajika

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Wahandisi wazawa kuhakikisha miradi wanayoisimamia inakidhi viwango vya kitaifa na kimataifa na iendane na thamani ya fedha inayotumika. Amesema ni wajibu wa Wahandisi kuisaidia Serikali kuokoa fedha kwa kukadiria fedha inayohitajika kulingana na...
  15. G

    SoC04 Mafunzo ya udereva kwa elimu ya sekondari

    Mi na ishauri serikal hasa kwenye sekta ya elimu maana ndio chimbuko la kila wadhifa elimu ya sekondari iwekwe mafunzo ya udereva ili pindi mtu anapo maliza kidato cha nne anakuwa tayari anayo leseni hii itasaidia swala la ukosefu wa ajira mitaani maana mtu anaweza akakosa cheti cha kidato cha...
  16. Uwaziri Mkuu wa Majaliwa ni wa Mungu mwenyewe

    Kila mtu ana kumbukumbu namna Kassim alivyoipata hii nafasi. Wakati jina linasomwa kwa mara ya kwanza alikuwa nje kabisa ya bunge akiendelea na shughuli zake. Kibinadamu kabisa hakuna aliyedhania kama waziri mkuu angekuwa Kassim sababu hakuwahi kuwa hata waziri kamili wala hakuonekana mtu wa...
  17. We Kasim Majaliwa kwani Waliosaini Mkataba wa Bandari ni Vipofu na Viziwi?

    Baada ya kimya cha Mda mrefu Huyu Mheshimiwa muongo muongo ameanza kujitokeza na ngojera za hapa na pale. Ana tu please mara tuwe na Imani na serikali Sijui Mkataba haujasainiwa. Bla bla Sasa mpka.mnasaini Mkataba wa makubaliano Kwa Nini hamkuzingatia Sheria na maslahi ya Taifa Toka mwanzo...
  18. Waziri Mkuu: Vijana wamekopeshwa Shilingi Bilioni 1.88

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema serikali kupitia mfuko wa maendeleo ya vijana imetoa mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 1.88 kwa ajili ya kuwezesha miradi 85 ya vijana katika sekta za kilimo, viwanda na biashara kwenye halmashauri 28. Ameyasema hayo Aprili 16, 2023, wakati...
  19. Je, leo inaweza kuwa ndio ile siku? Ukweli halisi ni upi? Nini hasa kilitokea na kwanini tulijulishwa baada ya siku 5?

    Wanabodi Declaration of Interest Mimi Paskali sio GT, ila naweza kuandika contents kwa ajili ya ma GT only. JF ilipoanzishwa na Mkuu Maxence Melo na Mike Mushi, was meant to be a home of Great Thinkers!, Hili ni bandiko la maswali fikirishi kwa ma GT only!. Wewe kama ni mwenzangu na mimi, na...
  20. M

    Ahadi ya kuajiri askari wapya wa wanyamapori itatekelezwa lini?

    Ahadi ya Ajira ya kuajiri Askari wapya wanyamapori itatekelezwa lini?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…